Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #601
Vipi jamaa amekuacha umekuwa single mother? Pole sana.Mimi siyo Muislamu dada yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi jamaa amekuacha umekuwa single mother? Pole sana.Mimi siyo Muislamu dada yangu
Mungu aliyeandikwa kwenye biblia ni mmoja aliyejidhihirisha katika nafsi tatu hivyo anaweza kutumia wingi.Samahanini hapa kwenye huu mstari maana sio msomaji sana wa hivi vitabu ila naomba kuuliza kihusu uu mstari.
''Na tumfanye mtu'' kauli ipo katika wingi inamaana wakati wanamfanya (uumbaji ukiwa unafanyika) uyo mtu huyo mfanyaji (muumbaji) hakuwa mmoja, walikuwa wengi??
Dah, wewe uko nyuma sana ya quran. Wenzio walishaacha kupinga hilo wamejikita kusema hamna sheria ya Allah inayozuia mtu kuolewa na kuingiliwa katika umri huo.
Suala la kufa na kufufuka ni la kiimani zaidi...Sijui unamaanisha nini kusema kiroho.
Yesu Kristo aliyeandikwa kwenye biblia anafahamika kama raia aliyeishi Nazareth na alifanya huduma Capernaum zaidi na kiasi Yerusalemu alikosulubiwa, akafa, akazikwa na siku ya tatu akafufuka.
Huyo issa hakuna sehemu yoyote kule Israel anakofahamika iwe kihistoria au kidini. Yaani ni mtu wa kufikirika kwenye quran ambaye wanasema aliishi Israel.
Ndio maana sioni nitafananishaje kiroho mtu halisi na huyo issa wa kufikirika.
Wewe mfia dini naona hata huelewi kinachoendelea unahoji bila hata kusoma komenti za nyuma.
Kwavile wewe ni unafikiri nje ya box nivizuri kujiuliza maswali ya mawiliMungu aliyeandikwa kwenye biblia ni mmoja aliyejidhihirisha katika nafsi tatu hivyo anaweza kutumia wingi.
Swali letu ni kwanini Allah ambaye ni mmoja na mwenye nafsi moja naye anatumia wingi?
Kusema zinajulikana haitoshi, zitaje.Za kisayansi zinajulikana wazi hazihusishi sperm kuwa damu iliyoganda wala kubadilisha nyama kuwa mifupa.
Haijatoka kwenye Quran, hiyo ni hadithi.Hili ni jambo moja la hatari sana kutoka kwenye quran ambalo nilikuwa silijui.
Hizi shutma ni nzito sana hasa kwa mtu kama Muhammad, zikija na uthibitisho zitaleta maana vinginevyo inakua kama tantalila.Katika usomaji wangu wa mambo mengi ya waislamu nimegundua kwamba muhammad alikuwa ni jamaa aliyependa kupata jina kubwa hivyo alikuwa anajifunza mambo mengi.
Kama kweli umemsoma Muhammad basi ungejua kuwa alikua aki-reason na watu, watu walihoji na wakapewa majibu.Tatizo likawa sasa akaanza kufundisha mambo ambayo hajapata uhakika wa uhalisia wake. Aliweza kuwazidi ufahamu watu wa nyakati zake ambao hawakuwa na uwezo wa kuhoji.
Kivipi? Maana ‘narration’ iko waziHii narration hapa inaonesha dhahiri muhammad alikuwa haelewi nini anaongea
Kama nilivyokwambia, hili swala ni ‘debatable’ ila kuleta Konklusheni kirahisi hivi ni makosa.maana anataka kutuambia mtu hawi kamili baada ya urutubishaji bali inakuwa ni damu na baadae nyama katika siku themanini.
Haya ni madai yako?Hii inamaanisha mtu akifanya abortion ndani ya siku themanini tangu kutungwa mimba anakuwa hajaua.
Ndio Allah kakutuma utukane hapa?Qouma la mamiyo baya
Ndugu zangu.
Sijui kama hapa kuna mtu amefanya rejea ya Prof. Keith Moore.
Huyu ni mtaalamu wa somo hili tunalojadili hapa.
Tafadhali ikiwa hakuna aliyeweka rejea hii mimi naweka hapa kwa faida ya wote.
🤣🤣🤣🤣 Alimuoa kama pambo lake, alikuwa hamuingilii. Umefurahi?Tofautisha kuoa na kumuingilia mi nimekuuliza kumwingilia unananimbia nipo nyuma sana ya Quran we leta andiko ujibiwe.
Juma...Nashukuru sana mzee wangu.
Nina mashaka sana na Championship kama kamsoma Prof. Moore au kuwa walau na idea juu ya ‘Embryology’.
Wayahudi hawamuamini Yesu kama Messiah lakini historia yao wanamtaja vizuri kabisa. Msome Josephus ambaye ni major historian wa first century anaelezea mpaka crucifixion ya Yesu.Kwa mfano, kiimani, Wayahudi hawaamini lolote linalozungumzwa kuhusu Yesu! Wayahudi (through Judaism) wanamchukulia Yesu kama ambavyo Wakristo wanavyomchukulia Muhammad!!
Na huyo ambae Christians wanamwita Yesu, wao wanamwita Yeshua! Na kwahiyo, HAWAAMINI kwamba Yeshua alikufa na siku ya tatu akafufuka!!
NdiyoNdio Allah kakutuma utukane hapa?
Ndugu zangu.
Sijui kama hapa kuna mtu amefanya rejea ya Prof. Keith Moore.
Huyu ni mtaalamu wa somo hili tunalojadili hapa.
Tafadhali ikiwa hakuna aliyeweka rejea hii mimi naweka hapa kwa faida ya wote.
Naam, tutumai hivyo.Juma...
Ikiwa sasa atasikiliza hiyo video basi ataongeza maarifa yake.
Hapo juu naona umeamua kufanya siasa kidogo. Prof Moore namfahamu na ninamjibu hapa chini mzee Mohamed Said kwahiyo nisome hapo.Nashukuru sana mzee wangu.
Nina mashaka sana na Championship kama kamsoma Prof. Moore au kuwa walau na idea juu ya ‘Embryology’.
Ndugu zangu.
Sijui kama hapa kuna mtu amefanya rejea ya Prof. Keith Moore.
Huyu ni mtaalamu wa somo hili tunalojadili hapa.
Tafadhali ikiwa hakuna aliyeweka rejea hii mimi naweka hapa kwa faida ya wote.
Qur an ni kitabu kisicho na Shaka ndani yake. tafuta tafsiri sahihi, nenda YouTube utakutana na wanazuoni, kitabu kimeshushwa Karne ya 7,hakukua na hiyo elimu. hii pekee inatosha kukutoa huko uliko na kuifata njia ilio sahihiEmbryology ya Allah na Muhammad huwa inachekesha Sana
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke
Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama ! , Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!
Ila sio makosa yake Muhammad, hakuwa na technology iliyokuwepo kipindi icho aweze kujua ukweli wa embriology kwa kuangalia stages