Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Samahanini hapa kwenye huu mstari maana sio msomaji sana wa hivi vitabu ila naomba kuuliza kihusu uu mstari.

''Na tumfanye mtu'' kauli ipo katika wingi inamaana wakati wanamfanya (uumbaji ukiwa unafanyika) uyo mtu huyo mfanyaji (muumbaji) hakuwa mmoja, walikuwa wengi??
Mungu aliyeandikwa kwenye biblia ni mmoja aliyejidhihirisha katika nafsi tatu hivyo anaweza kutumia wingi.

Swali letu ni kwanini Allah ambaye ni mmoja na mwenye nafsi moja naye anatumia wingi?
 
Dah, wewe uko nyuma sana ya quran. Wenzio walishaacha kupinga hilo wamejikita kusema hamna sheria ya Allah inayozuia mtu kuolewa na kuingiliwa katika umri huo.

Tofautisha kuoa na kumuingilia mi nimekuuliza kumwingilia unananimbia nipo nyuma sana ya Quran we leta andiko ujibiwe.
 
Sijui unamaanisha nini kusema kiroho.

Yesu Kristo aliyeandikwa kwenye biblia anafahamika kama raia aliyeishi Nazareth na alifanya huduma Capernaum zaidi na kiasi Yerusalemu alikosulubiwa, akafa, akazikwa na siku ya tatu akafufuka.

Huyo issa hakuna sehemu yoyote kule Israel anakofahamika iwe kihistoria au kidini. Yaani ni mtu wa kufikirika kwenye quran ambaye wanasema aliishi Israel.

Ndio maana sioni nitafananishaje kiroho mtu halisi na huyo issa wa kufikirika.
Suala la kufa na kufufuka ni la kiimani zaidi...

Kwa mfano, kiimani, Wayahudi hawaamini lolote linalozungumzwa kuhusu Yesu! Wayahudi (through Judaism) wanamchukulia Yesu kama ambavyo Wakristo wanavyomchukulia Muhammad!!

Kama ambavyo Wakristo wanavyomchukulia Muhammad kwamba ni Shetani na Quran ni Kitabu cha Kishetani, Wyahudi nao wanamchukulia Yesu na Injili kwa mtazamo huo huo!!

Na huyo ambae Christians wanamwita Yesu, wao wanamwita Yeshua! Na kwahiyo, HAWAAMINI kwamba Yeshua alikufa na siku ya tatu akafufuka!!

And REMEMBER: Hao Jews wengine walimuona Yeshua kwa macho yao, na waliyasikia mafundisho yake LIVE but still HAWAKUMWAMINI zama hizo, na hadi kesho vizazi vyao hawamwamini...

Je, hiyo inafanya Jesus na Yeshua kuwa WATU WAWILI TOFAUTI?!

NOTE: Nimesema tofauti za KIROHO nikimaanisha mambo YANAYOMTOFAUTISHA Yesu na Mwanadamu Mwingine yeyote yule!!
 
Mungu aliyeandikwa kwenye biblia ni mmoja aliyejidhihirisha katika nafsi tatu hivyo anaweza kutumia wingi.

Swali letu ni kwanini Allah ambaye ni mmoja na mwenye nafsi moja naye anatumia wingi?
Kwavile wewe ni unafikiri nje ya box nivizuri kujiuliza maswali ya mawili
1. Kwanini antumia wingi.
2.kwanini hatukumia umoja kama unvyosema

Lengo la muandishi lilikuwa lipi kwa mlengwa au msomaji wa hicho kitabu. Na nikukumbushe kuwa vitabu hivyo vipo kimafumbo
 
Za kisayansi zinajulikana wazi hazihusishi sperm kuwa damu iliyoganda wala kubadilisha nyama kuwa mifupa.
Kusema zinajulikana haitoshi, zitaje.
Hili ni jambo moja la hatari sana kutoka kwenye quran ambalo nilikuwa silijui.
Haijatoka kwenye Quran, hiyo ni hadithi.
Katika usomaji wangu wa mambo mengi ya waislamu nimegundua kwamba muhammad alikuwa ni jamaa aliyependa kupata jina kubwa hivyo alikuwa anajifunza mambo mengi.
Hizi shutma ni nzito sana hasa kwa mtu kama Muhammad, zikija na uthibitisho zitaleta maana vinginevyo inakua kama tantalila.
Tatizo likawa sasa akaanza kufundisha mambo ambayo hajapata uhakika wa uhalisia wake. Aliweza kuwazidi ufahamu watu wa nyakati zake ambao hawakuwa na uwezo wa kuhoji.
Kama kweli umemsoma Muhammad basi ungejua kuwa alikua aki-reason na watu, watu walihoji na wakapewa majibu.
Sina hakika kama umemsoma kweli huyu bwana.
Hii narration hapa inaonesha dhahiri muhammad alikuwa haelewi nini anaongea
Kivipi? Maana ‘narration’ iko wazi

Ila suala la wewe kutoelewewa haina maana Muhammad hakuelewa ila pengine ni wewe ambaye hujaelewa Mkuu
maana anataka kutuambia mtu hawi kamili baada ya urutubishaji bali inakuwa ni damu na baadae nyama katika siku themanini.
Kama nilivyokwambia, hili swala ni ‘debatable’ ila kuleta Konklusheni kirahisi hivi ni makosa.

Ndiyo maana nilikuuliza maana ya mwanaadamu, nasikitika hujajibu swali langu hata moja umekimbilia Konklusheni.
Hii inamaanisha mtu akifanya abortion ndani ya siku themanini tangu kutungwa mimba anakuwa hajaua.
Haya ni madai yako?
 
Ndugu zangu.
Sijui kama hapa kuna mtu amefanya rejea ya Prof. Keith Moore.
Huyu ni mtaalamu wa somo hili tunalojadili hapa.

Tafadhali ikiwa hakuna aliyeweka rejea hii mimi naweka hapa kwa faida ya wote.


Nashukuru sana mzee wangu.

Nina mashaka sana na Championship kama kamsoma Prof. Moore au kuwa walau na idea juu ya ‘Embryology’.
 
Tofautisha kuoa na kumuingilia mi nimekuuliza kumwingilia unananimbia nipo nyuma sana ya Quran we leta andiko ujibiwe.
🤣🤣🤣🤣 Alimuoa kama pambo lake, alikuwa hamuingilii. Umefurahi?
 
Kwa mfano, kiimani, Wayahudi hawaamini lolote linalozungumzwa kuhusu Yesu! Wayahudi (through Judaism) wanamchukulia Yesu kama ambavyo Wakristo wanavyomchukulia Muhammad!!

Na huyo ambae Christians wanamwita Yesu, wao wanamwita Yeshua! Na kwahiyo, HAWAAMINI kwamba Yeshua alikufa na siku ya tatu akafufuka!!
Wayahudi hawamuamini Yesu kama Messiah lakini historia yao wanamtaja vizuri kabisa. Msome Josephus ambaye ni major historian wa first century anaelezea mpaka crucifixion ya Yesu.

Hakuna taarifa zozote kuhusu huyo jamaa anayeitwa issa ndani ya Israel. Waislamu wanatakiwa kueleza ni nani huyu jamaa.

Yeshua ndio exactly imetoholewa na kuitwa kwa kiswahili Yesu. Ni jina lililotengenezwa kwa kiswahili kama tunavyoiita England uingereza au France Ufaransa au USA marekani.
 
Ndugu zangu.
Sijui kama hapa kuna mtu amefanya rejea ya Prof. Keith Moore.
Huyu ni mtaalamu wa somo hili tunalojadili hapa.

Tafadhali ikiwa hakuna aliyeweka rejea hii mimi naweka hapa kwa faida ya wote.


Huyu jama alikuwa mpigaji na baada ya kupewa pesa na Wasaudia aliandika kile walichotaka kusikia. Wala hakuwa chochote cha ziada zaidi ya kuwa prof wa kawaida tu. Na ndiyo maana mwaka 2002 alipoitwa na Wall Street Journal kwa mahojiano ya kile alichoandoka alikataa akisema imepita miaka mingi tangu aandike mambo ya Quran.

Ni ajabu kama huyu Keith ndiyo atakuwa rejea ya kuthibitisha ukweli wa Quran
 
Ndugu zangu.
Sijui kama hapa kuna mtu amefanya rejea ya Prof. Keith Moore.
Huyu ni mtaalamu wa somo hili tunalojadili hapa.

Tafadhali ikiwa hakuna aliyeweka rejea hii mimi naweka hapa kwa faida ya wote.


Majibu kwenye hoja za Prof Moore ni haya hapa:

Many Muslims claim that the Qur'an contains statements about how humans develop which could not possibly have been known at the time of its writing. If true, this would imply that the Qur'an had a divine author. Indeed, when Prof Keith Moore, the writer of 'The Developing Human', a widely used embryology textbook, first read what the Qur'an had to say about the development of the human embryo he was 'astonished by the accuracy of the statements that were recorded in the 7th century AD, before the science of embryology was established.' My purpose here is to examine what exactly was known of the human embryo at the time of Muhammad in order to see whether or not this reaction is justified.

A useful place to begin is the material out of which we are created. There are several statements which speak figuratively of man being brought forth from the earth, from clay, mud, water or dust, or even from nothing (see Sura 11:61, 19:67, 23:12, 25:54, 30:20, 32:7). These verses demonstrate that a wide variety of substances are claimed to have given rise to human life. A recurring theme is the creation of man from a drop of fluid (semen), as the following example shows:

16:4 - He created man from a drop of fluid (see also 32:8, 53:46, 56:58, 75:37, 76:2, 80:19, 20)

We must ask if seventh-century Muslims at the time of Muhammad could have known this. In Genesis 38:9 the Bible tells us that Onan 'spilled his semen on the ground to keep from producing offspring for his brother'. This predates Muhammad by centuries and does not prove divine authorship, as it is simply a direct observation of what is released in the act of sexual intercourse.

In Sura 86:6,7 we read:

He is created from a gushing fluid that issued from between the loins and ribs

In this verse, semen is apparently coming out of the area around the kidneys and back, which is a real problem for we now know that the testicles are the site of sperm production. Muslims maintain that this verse is indicating the embryological development of the testicles in the renal area before their subsequent descent into the scrotum. However, the verse states that it is the fluid rather than its organ of production that comes from this area. A delve into Greek literature reveals some interesting clues as to the origin of this idea.

The Greek physician Hippocrates taught in the fifth century BC that semen comes from all the fluid in the body, diffusing from the brain into the spinal marrow, before passing through the kidneys and testicles into the penis. This teaching was well-known in Muhammad's day, and may well explain why the Qur'an contains such an erroneous statement.

Sura 23:13-14 states that God places us 'as a drop (of seed) (nutfah) in a safe lodging; then fashioned from the drop a clot (alaqa), then fashioned from the clot a little lump (mugdah), then fashioned from the little clot bones, then clothed the bones with flesh, and then produced it as another creature'. 75:38 also says man becomes an alaqa and 96:2 says we came from alaq. We have to ask what the precise meaning of these words is in order to know whether or not the verses contain important scientific statements as Moore and others have claimed.

The use of nutfah elsewhere (e.g. 16:4, 18:37, 23:13, 35:11, 53:46, 75:37, 76:2, 80:19) makes it clear that it refers to semen. It is harder to understand what alaqa means, and many different suggestions have been made: clot, small lump of blood, leech-like clot, and 'leech, suspended thing or blood clot' (Moore, op cit). The most widely accepted translation of alaqa is 'clot', but this is impossible, since there is no stage at which the embryo consists of a clot. Moore claims that it means 'leech', and goes on to argue that a 24-day old embryo resembles a leech in its appearance. In a hadith (or Muslim tradition), however, Muhammad claimed that the alaqa referred to the embryo between days 40 and 80. The third stage, mugdah means a morsel of flesh, and according to Muhammad refers to the embryo between days 80 and 120, when the embryo is actually much bigger than a bite-sized peice of flesh!

In fact the account of the different stages in embryology as described by the Qur'an is virtually identical to that taught by Galen, writing in Turkey around 150 A.D, who taught that the embryo developed in four stages. The first is an unformed white conceptus like semen, the second a bloody vascularised foetus, the third when other features are mapped out but not fully formed, and the fourth when all the organs are well formed and joints freely moveable. Either the author of the Qur'an knew this when writing the Qur'an, or else he was describing the clot which appears when a woman is having a miscarriage. Since we know that Muhammad had at least nine wives this is entirely possible, but it does mean that the alaqa is not the stage of embryological development that some would have us believe.

Much of the embryology in the Qur'an and Hadith can be traced directly back to the ancient Greeks. For example there is a hadith in which Muhammad says 'If a male's fluid prevails upon the female's substance, the child will be a male by Allah's decree, and when the substance of the female prevails upon the substance contributed by the male, a female child is formed.'[4] Muslims claim that this refers to X and Y chromosomes which determine the sex of an infant. A far more likely suggestion is that this is simply a reflection of the incorrect belief of Hippocrates that both men and women produce both male and female sperm, and the resulting sex of the child is determined by which sex's sperm overwhelms the other in strength or quantity.[5]

It is one thing for the ancient Greeks to be teaching all this, but how do we know that the material was familiar to the Arabs of Muhammad's day? Ali at-Tabari's 'Paradise of Wisdom',[6] written in about 850 AD, says that he was following the rules set down by Hippocrates and Aristotle when he wrote his treatise. The intelligentsia of Muhammad's time were very familiar both with Greek and Indian medicine. Indeed, a major work on the history of embryology which is cited in the references in The Developing Human devotes over 60 pages to ancient Greek embryology and less than one page to Arabic embryology, concluding that the Qur'an is merely 'a seventh-century echo of Aristotle'. It is hardly surprising that the Islamic version of Prof Moore's book is not listed on the British Library catalogue and cannot be found in medical school libraries either in Britain or the US.

In conclusion then, there is not a single statement contained in the Qur'an relating to modern embryology that is not either scientifically incorrect or which was well known through direct observation by the ancient Greek physicians many centuries before the Qur'an was written. Far from proving the alleged divine credentials of the Qur'an, its embryological statements actually provide evidence for its human origins
 
Embryology ya Allah na Muhammad huwa inachekesha Sana
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke
Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama ! , Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!

Ila sio makosa yake Muhammad, hakuwa na technology iliyokuwepo kipindi icho aweze kujua ukweli wa embriology kwa kuangalia stages
Qur an ni kitabu kisicho na Shaka ndani yake. tafuta tafsiri sahihi, nenda YouTube utakutana na wanazuoni, kitabu kimeshushwa Karne ya 7,hakukua na hiyo elimu. hii pekee inatosha kukutoa huko uliko na kuifata njia ilio sahihi
 
Back
Top Bottom