Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Lakini quran imesema Allah ataingiza mguu wake kuzimu. Ina maana hana mguu na ule ulikuwa udanganyifu?
 
Hatuna haja ya sisi kuwataka nyinyi mfuate yesu (issa) wa saudia maana hata hapo Israel yesu hawa mjui
 
🤣🤣🤣🤣 Wewe jamaa ni comedian. Kwahiyo yule wa kwenye movie unadhani ndio Yesu Kristo mwenyewe? Hujui hata sinema ni kitu gani?
 
Video inayo muhusu Muhammed ipo wewe itafute inaitwa arrisala
Wameweka alivyokuwa anatoka povu na kutetemeka wakati anatoka mapangoni na kuomba afunikwe na blanketi?🤣

Kipengele cha kuoa mtoto wa miaka sita kipo? Au kulala na mtoto wa miaka tisa pia wameweka?😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe jamaa ni comedian. Kwahiyo yule wa kwenye movie unadhani ndio Yesu Kristo mwenyewe? Hujui hata sinema ni kitu gani?
Unafosi kupatia kwa cheo cha Yesu ni udhalilifi kumfananisha na yeyote tena mzungu ambaye kwao hapa kua na mitume kwani mayahudi wenyewe waliisha
 
Wameweka alivyokuwa anatoka povu na kutetemeka wakati anatoka mapangoni na kuomba afunikwe na blanketi?

Kipengele cha kuoa mtoto wa miaka sita kipo? Au kulala na mtoto wa miaka tisa pia wameweka?
Unatupangia nini tueke nini tusieke DINI yako
 
Punguza matukano Allah alivyo ingia mti na kuongea na Musa ilikuwaje ?
 
Ni aya ya ngapi iyo mkuu
 
usipoteze muda kujadili jambo lililosemwa na mtu ambaye hata hakujua kusoma na kuandika. swallow at your own risk. angalikuwa Yesu sawa, manake Yesu alikuwa anaingia kwenye masinagogi na kusoma torati mbele za watu, alikuwa msomi though aliishi na selemala ambaye pia alitumia mahesabu.
 
Mimi ninataka nione hivyo vipengele wakati wa sinema.

Pia kwenye sinema msisahau kuweka pale jibreel amemkaba muhammad akimlazimisha asome kitabu.[emoji1787]
Kwa heshima na cheo cha mtume matukio utayaona na si sura
Sisi sio kama kama nyinyi hata nidhamu ya wakubwa wenu hamuna
 
Muongo muongo NI wewe tuseme hujui au unafanya makusudi,,hujui kama wakatoliki Wana bibilia Yao,,na waprotestant Wana ya kwao,, kwamba hujui baadhi ya vifungu vipo ktk baadhi Ya bibilia na bibilia nyingine havipo,,kama NI mvivu WA kusoma sio KAZI yangu kukutafunia Fanya utafiti mwenyewe,,

mnaanzisha mada za kichochezi hlf waislam tukiwajibu tunaonekana wakorofi,,,waislam sio wanyonge ukianzisha mada za kuuchafua uislam,,kumchafua mtume wetu na kumsingizia Mwenyezi Mungu uongo fahamu hatupoi,, hubirini hizo habari njema bila kukejeli uislam ili na dini yenu isidhihakiwe,,lkn mkianza uchochezi na Sisi tutajibu na hatutoacha mpk muache,,,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…