Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Ha....ha.....haa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Video inayo muhusu Muhammed ipo wewe itafute inaitwa arrisala
Umenifurahisha sana leo.
Na unajua kilicho niflahisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha....ha.....haa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Video inayo muhusu Muhammed ipo wewe itafute inaitwa arrisala
Lakini quran imesema Allah ataingiza mguu wake kuzimu. Ina maana hana mguu na ule ulikuwa udanganyifu?[mention]Moderator [/mention] tunaomba huu uzi au uyu member awe banned lengo lilikua elimu kwa wanavodai ila soma mtu kama uyu anayoandika anaelimisha au kutukana imani za wengine kos ingekua kebehi ingevumilika ila mtu anafikia kutukana kiasi hiki ila malipo yapo ulie mtukana kwa mihemko yako ndo atayekulipa na sidhani hata magundisho ya dini yao ndo yanekufunza kutafuta waumini au kuelimisha watu kwa njia iyo yawezekana hata kwenye UKRISTO kwenyewe haumo[emoji120].
Sina mpango wa kukijuaHa....ha.....haa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenifurahisha sana leo.
Na unajua kilicho niflahisha
We ndo basi tena umeamua kuja kwa kubet [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lakini quran imesema Allah ataingiza mguu wake kuzimu. Ina maana hana mguu na ule ulikuwa udanganyifu?
Lete andiko linalosema Yesu aliona dunia nzima akiwa mlimani.We umerudi nipe jina la mlima nikatalii kwanza siku moja na angalia dunia nzima
Hatuna haja ya sisi kuwataka nyinyi mfuate yesu (issa) wa saudia maana hata hapo Israel yesu hawa mjuiUkienda Israeli watakuonesha mambo yote yaliyofanywa na Yesu kama ndugu yao.
Na huyapati kwa watu wa dini ya Kiyahudi tu hapana.
Unayapata kwa Wanahistoria wa Kiyahudi.
Kila mwaka watalii wanaenda kuangalia.
Eneo
Alilohukumiwa
Alilo tembea na msalaba wake
Alilo sulubiwa.
Alilo zikwa na kaburi lake lipo
Alipo paa Mbinguni.
Sasa anakuja Mwarabu anakanusha hayo yote hivi wewe utamwelewaje ?
Tena hajawahi fika Israeli kuhakiki maneno yake.
Ni kwamba Shetani alimwongopea Muhamadi kuhusu mambo mengi sana na kwakuwa hakuwa na Roho wa Mungu aliyaandika kwenye Qurani.
Moja ya hayo mambo ni Maisha ya Nabii Yesu Kristo.
Ikimsoma huyo Issa wake hakuna cha maana anacho msemea cha kumlinganisha na Yesu.
Au unataka habari za Yesu tuwasilikize Waarabu wa Saudia badala ya Ndugu zake wa Damu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]
🤣🤣🤣🤣 Wewe jamaa ni comedian. Kwahiyo yule wa kwenye movie unadhani ndio Yesu Kristo mwenyewe? Hujui hata sinema ni kitu gani?Alafu sisi usilazimishe hicho kiingereza chako hapa tunatumia kiarabu sisi kwenye maneno ya dini ya kiislamu we una copy kiingereza kama nani acha niku fundishe ukiona unatumia hoja za kiislamu tumia kiarabu huwezi kiswahili unatulazimsha Mungu awe yule mzungu mvaa kichupi au
Unapenda mada zirudiwe rudiweLete andiko linalosema Yesu aliona dunia nzima akiwa mlimani.
Wameweka alivyokuwa anatoka povu na kutetemeka wakati anatoka mapangoni na kuomba afunikwe na blanketi?🤣Video inayo muhusu Muhammed ipo wewe itafute inaitwa arrisala
Unafosi kupatia kwa cheo cha Yesu ni udhalilifi kumfananisha na yeyote tena mzungu ambaye kwao hapa kua na mitume kwani mayahudi wenyewe waliisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe jamaa ni comedian. Kwahiyo yule wa kwenye movie unadhani ndio Yesu Kristo mwenyewe? Hujui hata sinema ni kitu gani?
Unatupangia nini tueke nini tusieke DINI yakoWameweka alivyokuwa anatoka povu na kutetemeka wakati anatoka mapangoni na kuomba afunikwe na blanketi?
Kipengele cha kuoa mtoto wa miaka sita kipo? Au kulala na mtoto wa miaka tisa pia wameweka?
Punguza matukano Allah alivyo ingia mti na kuongea na Musa ilikuwaje ?Mosi haku waingia bali aliingia
Pili Mariam pia hakuingiwa Na huyo jibril ukweli uko wazi aya haisemi alimuingia
Tatu nakufundisha kumuingia mtu ni kama alivyo fanya pepo roho kaingia kwenye mwili wa yeshua iko wazi aya ulipewa pili kama alivyo fanya pepo alie kuingia Yuda
Usilete
Aya nipe andiko linalosema jibril kumuingia kwenye mwili wa yeyote kati ya Muhammad au huyo aisha au hata Mariam ndio hujui hata maana ya maneno yako ya kiswahili huyajui bwegee we
Lete verse ili ujibiwe maana ninaona unapotosha.Unapenda mada zirudiwe rudiwe
Ni aya ya ngapi iyo mkuuHilo fumbo huenda lisifumbuliwe leo,
Jibu likaja baada ya miaka 1000 ijayo.
Wakati huo wa zamani hata watu waliulizana iweje Mungu aweze kuwafufuwa binaadamu wote wanaokufa,
Je atawajuwaje?wakati wapo wanaokufa na miili yao kuharibika?
Ndy hapo ikaja AYA ya Qurain,,
"NITAWAFUFUENI KILA MMOJA BILA KUPOTEZA ALAMA ZENU ZA VIDOLE."
hakika fumbo hili limevumbuliwa kizazi cha hivi karibuni kwamba kila mwanadamu ana alama za vidole ambazo haziingiliani na mwingine,,
Alama za vidole zipo kwenye Qurain.
Miaka 600 iliyopita.
anastareheka, lakini mudi aliwafanya vyombo vya starehe vya wanaume, ndiyo concern yanguKwan mwana mke akifanya ngono astareheki
Ni miaka 30 na viboko vi 5Muhammad angekuwa tz angeahafungwa miaka 30 jela kwa kulala na mtoto wa miaka tisa.
Mimi ninataka nione hivyo vipengele wakati wa sinema.Unatupangia nini tueke nini tusieke DINI yako
usipoteze muda kujadili jambo lililosemwa na mtu ambaye hata hakujua kusoma na kuandika. swallow at your own risk. angalikuwa Yesu sawa, manake Yesu alikuwa anaingia kwenye masinagogi na kusoma torati mbele za watu, alikuwa msomi though aliishi na selemala ambaye pia alitumia mahesabu.Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.
Quran 23:14
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji
English translation:
Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.
Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.
Maswali yangu
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
Kwa heshima na cheo cha mtume matukio utayaona na si suraMimi ninataka nione hivyo vipengele wakati wa sinema.
Pia kwenye sinema msisahau kuweka pale jibreel amemkaba muhammad akimlazimisha asome kitabu.[emoji1787]
Muongo muongo NI wewe tuseme hujui au unafanya makusudi,,hujui kama wakatoliki Wana bibilia Yao,,na waprotestant Wana ya kwao,, kwamba hujui baadhi ya vifungu vipo ktk baadhi Ya bibilia na bibilia nyingine havipo,,kama NI mvivu WA kusoma sio KAZI yangu kukutafunia Fanya utafiti mwenyewe,,Mbona unakuwa muongo muongo versions zipi hizo ambazo zinaongezwa kila siku katika bible alafu tunaambiwa tusijikweze tusione kuwa yakwetu ni Bora kuliko ya wengine Kwa nini unajipiga kifua na kuona kuwa wewe ni Bora na dini yako ni Bora kuliko zingine je ina maana wewe Una akili kuliko wakristo wote? au je wewe ndie unaeijua dini ya kweli kuliko wale wakristo waliokutangulia una ushahidi gani kuwa Imani yako ni sahihi ilhali aliyekuletea wewe Imani hiyo ni binadamu kama wewe na mimi,pia tunaambiwa kuwa binadamu wote hatuko sahihi 100% unatetea vipi kwamba anaweza kuwa alikosea pia..naheshimu Sana dini za watu Kwa maana wote wanaishi na kufanikiwa kupitia hizohizo Imani zao Mimi na wewe hatujui Nani yupo sahihi na Nani hayupo sahihi kama wewe unamjua basi naheshimu pia ujuaji wako ila kitu ambacho ni uvunjifu wa Sheria ni kujifanya wewe unalolifanya ni sahihi kuliko mwingine wakati mwenye haki ya kufanya hivyo ni Yule tunamuabudu sote..alafu kama Mimi tangu nisali au wakati wa mahubiri sijawahi kumsikia kiongozi wangu akiniambia kwamba watu wa dhehebu fulani ni wabaya au waislam ni wabaya wamekuwa wakitutaka tutende mapenzi ya mungu kama biblia inavyotaka ila pande zingine utaskia wale ni makaffir ooh mara binti wa kiislam akiolewa na mkristo anatengwa mara wale ma freemasons jamani mungu anataka kweli mambo haya, unadhani Kwa Hali hii mtafanikiwa vipi kuwafanya wakristo waamini kuwa mnayoyaamini ni sahihi..ndugu wakristo wako bize Sana kutangaza habari njema kama maandiko yanavyosema kuwa nyakati za mwisho neno la mungu na habari njema litatangazwa Kwa nguvu kubwa mno ulimwenguni kote ili watu wapate kuokolewa wenzangu mngejikita katika kutoa mafundisho muda umebaki mchache Sana kuanza kujikweza mambo ni mengii mno tunapoteza mda katika kujiona Bora kuliko wengine muda wa kupromote dini zetu umekwisha kila mtu ashajizolea waumini wake sasa ni muda wa kazi kuwafanya waumini wetu watende mambo mema huku kujikwezakweza kutakuja kuleta machafuko unataka niwe muislam nihubiri nikuelewe ila sio kukichafua kile nilichokuwa nakiamini na kimenisaidia mpaka sasa pia nikitaka uwe mkristo ntakufuata nikupe maelekezo sio nianze kusema ooh ukristo ndo Bora kuliko uislam ..Aaaah poor sheikh wakati nimekukuta unaishi na umekua katika maadili ya kiislam au ukristo hatuwezi kuelewanaaaa udini ni heshima Kwanza utii unaweza hata kufanya kazi na mchawi ukamnyenyekea ila ukiwa na malengo ya kumbadilii ukimfuata Tu na fujo fujo zako we mchawii atakurarua na utakosa vyote..pia dini sio ubinafsi kujifungia ndani na kuwafundisha watu wanaokuamini wewe Tu kama dini ni ya kweli tembea nenda bar kwenye macasino kwenye madangulo Kwa upole nendeni mkawaelimishe kuwa wanachokifanya sio sahihi na mwambie kuwa bado ana nafasi pachoni pa mungu hawezi kuja msikitini wala kanisani kutokana na kujiona mkosaji labda lakini uenda akawa anatamani kupata ushauri wa kidini tukiendekeza hii kuwadharau watu na kuwatukania dini zao Kwa kuwaita makaffir hakuna tutakachojenga na utabaki kuwa ubatili tu