Huna akili wewe, yaan Mungu aamue kuzaliwa ili aje awakomboe aliwaumba yeye mwenyewe? We una akili kichwani humo??
(Ndio maana mnaambiwa Yesu sio Issa.
Issa hajulikani alipo. Yesu alikuwepo yupo na ataendelea kuwepo.)
Yohana 8:56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko..
(Yupo milele)
Mathayo 28:19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
(Ukimwona Yesu Umemwona Mungu Mwenyewe.)
Yohana 14:8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
(Issa hana hizo sifa na mnakubali)
Ndio maana tunawaambia Issa sio Yesu Kristo.
Allah kamwe hawezi kuja duniani kupitia mwili wa binadamu aliyezaliwa na mwanamke.
Mungu anaweza. Ndio maana Mariam amekuwa mwanamke wa kipekee.
Elimu hii wenzetu hamja jaaliwa kuipata.