Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Ongea Kwa proofs mbona unaandika kama wamataifa leta hizo biblia shusha haya za madhehebu tofauti tofauti na utuoneshe utofauti wake alafu nakusihi usitake kutuvunjia heshima hakuna mkristo especially mroma mwenye time na uislamu hayupo na hajawahi kuwepo hutakaa ...
Angalau unajitambua kinacho tufanya kuingiza wakristo wote kundi moja mna tu discus sana kwenye kitabu chetu kama huyu mleta huu uzi aiheshimu quran hivyo lazima tumuoneshe kama yeye hana heshima kuna watu kitambo tu heshima ukituzingua tunazieka mfukoni kazi inaanza
 
Ngoja mimi nikuache na ujumbe huu:

Yesu Kristo ni mwokozi, anakupenda na alikufa msalabani ili upate ondoleo la dhambi. Naona unahoji mambo mengi na inaonesha unazo jitihada kutaka kumjua Mungu wa kweli.

Hilo ni jambo jema nami nakuombea neema ya Mungu upate wokovu, macho yako ya rohoni yafunguliwe upate kumjua Yesu Kristo. Maswali mengi unayouliza leo utapata majibu ndani ya Yesu.

Jambo moja nakushauri, tafuta watu sahihi wakufundishe neno la Mungu. Kama upo dar nenda kanisa kama dpc kinondoni, vcct mbezi beach, city harvest bahari beach au capstone fellowship nalo liko bahari beach utapata mafundisho mazuri.

Nikutakie kila la heri na kumbuka Yesu Kristo anakupenda.
Mwambie bibi yako aende kanisani uliyo yataka utayapata tu Yesu kalaaniwa bwana unakataa maandiko yako we vipi acha ujinga kabisa na usirudie kutuletea mada za mapichapicha humu
 
Angalau unajitambua kinacho tufanya kuingiza wakristo wote kundi moja mna tu discus sana kwenye kitabu chetu kama huyu mleta huu uzi aiheshimu quran hivyo lazima tumuoneshe kama yeye hana heshima kuna watu kitambo tu heshima ukituzingua tunazieka mfukoni kazi inaanza
Sasa Mufti hiyo sio namna nzuri ya kumrekebisha mtu hata kama malaika anapita Kwa mnavyotiririka hataweza kutambua Kati yako na yeye wake ni yupi..unajua sitataka kukulaumu wewe Mim nitamlaumu mkristo alieishi katika misingi ya kikristo,,kwa upande wako pia Kwa Imani yako nitakuuliza je hiyo ndiyo namna sahihi ya kuoneshana ubora wa dini yako Kwa kurushiana replies very harsh Hadi nafaa kufumba macho Kwa kile mlichokiandika, waasisi wetu Kwa mujibu wetu walikuwa watu wenye viwango vya juu vya hekima na walipitia matusi na dharau zisizo mfano iweje Sisi tusiojua hata theluthi ya waliyokuwa wakiyafahamu..
 
Sasa Mufti hiyo sio namna nzuri ya kumrekebisha mtu hata kama malaika anapita Kwa mnavyotiririka hataweza kutambua Kati yako na yeye wake ni yupi..unajua sitataka kukulaumu wewe Mim nitamlaumu mkristo alieishi katika misingi ya kikristo,,kwa upande wako pia Kwa Imani yako nitakuuliza je hiyo ndiyo namna sahihi ya kuoneshana ubora wa dini yako Kwa kurushiana replies very harsh Hadi nafaa kufumba macho Kwa kile mlichokiandika, waasisi wetu Kwa mujibu wetu walikuwa watu wenye viwango vya juu vya hekima na walipitia matusi na dharau zisizo mfano iweje Sisi tusiojua hata theluthi ya waliyokuwa wakiyafahamu..
Nashukuru una mawazo mazuri naweza sema ila kuna yuyu jamaa mokit yeye hakutaka elimu bro alitaka vita ya maneno a na tukaona tumuoneshe kua siyo yeye kwenye huu ulimwengu ndio anajua kuongea nafahamu kua angeitaji elimu na kama alikua anaona sehemu kuna kosa angepaswa kusahihisha ila anacho kifanya kukashifu aisee akiendelea sita muacha aisee nashukuru na nimekuelewa
 
Yesu ndiye aliyeumba vitu vyote unavyoviona na usivyoviona. Alimuumba hata allah mwenyewe sema alikuja kuasi na akatupwa duniani.

Yesu Kristo yupo tangu milele. Alipitia tumboni mwa Mariamu ili achukue mwili wa kibinadamu. Nadhani umeuelewa umaalumu wa muumba wako.
Huna akili wewe, yaan Mungu aamue kuzaliwa ili aje awakomboe aliwaumba yeye mwenyewe? We una akili kichwani humo??
 
Huna akili wewe, yaan Mungu aamue kuzaliwa ili aje awakomboe aliwaumba yeye mwenyewe? We una akili kichwani humo??
(Ndio maana mnaambiwa Yesu sio Issa.
Issa hajulikani alipo. Yesu alikuwepo yupo na ataendelea kuwepo.)

Yohana 8:56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.

57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?

58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko..

(Yupo milele)

Mathayo 28:19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

(Ukimwona Yesu Umemwona Mungu Mwenyewe.)

Yohana 14:8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

(Issa hana hizo sifa na mnakubali)
Ndio maana tunawaambia Issa sio Yesu Kristo.


Allah kamwe hawezi kuja duniani kupitia mwili wa binadamu aliyezaliwa na mwanamke.
Mungu anaweza. Ndio maana Mariam amekuwa mwanamke wa kipekee.

Elimu hii wenzetu hamja jaaliwa kuipata.
 
Umeuliza maswali ya msingi ila Qur-an ni kitabu kinachohitaji utulivu kukielewa na kukiamini hebu soma ktk Surat Al'alaq aya nambari 3 Mwenyezi Mungu anatuambia kua "Amemuumba binaadamu kwa tone la damu," sasa je tunavyojua ktk elimu yetu ya embryology binaadam mwanzo wake ni manii sasa vipi hapo awe ametokana na tone la damu?, je inamaana Mwenyezi Mungu ametudanganya?, au anataka tusiamini maneno yake?

Jibu la maswali yote hayo ni moja tu Mwenyezi Mungu amemuumba binaadam na akampa elimu, tena elimu ambayo leo kama ww umepata mda wa kuichallenge Qur-an.
 
Kwaupande wangu naona yupo sahihi during fertilization yai la kike ( damu iliyoganda) au ova itakuja mpaka kwenye fallopian tube ambapo fertilization ( urutubishaji) hufanyika, sperm itaingia kwenye ova na kurutubisha then itasafiri mpaka kwenye uterus body na kujiattach aside.
Na ni wakati gani mifupa inavishwa nyama?
 
Na aya kama hizi au mambo kama haya ndio huwafanya wenye akili kujiuliza huyu Muhammad hakusoma wala kuandika hajui,je elimu kubwa kama hii kaitoa wapi kama si Maneno ya Mola wake Malezi?

Na scientifically hizo stages za ukuaji zipo exsactly kama Qur'an ilivyo eleza,,,Allahu Akbar!
Haki ukilazimisha kuelewa utaelewa hata kama huo uelewa sio kweli.
 
Mambo Mengi ya kwenye vitabu ni ya kufikirika sana,
Kuna aya moja kwenye bible,inayomuhusu mfalme Suleiman kwamba alikuwa na vijakazi/michepuko 700!hapo ujaweka wake zake harali!!!aliyetunga hiki kisa alikiweka Ili kumpa misifa Suleiman Ili aonekane kwamba alikuwa na nguvu sana kuriko wanaume wengi,
Kwa tskwimu zilizokuwepo,kipindi Cha Suleiman kulikuwa na idadi ya watu wasio zidi 2000!sasa hebu fikiria mtu mmoja anaoa wake 700+inamaana wanaume wengine walikuwa hawataki kupiga mambo??yaani nusu ya raia wote ni wake zako,sasa watu wako watamuoa nani!! Wala haiingii akilini
Haki unatutoa kwenye mada hebu weka hizo takwimu za idadi ya watu enzi hizo na fungulia Uzi tujadili
 
Tatizo huna akili halafu hujui km huna akili ...wewe mvaa rozari huna mental ya kukosoa Quran..

Jews na ungwingwi wao wote wameishindwa...Chukua hizo sperm zako halafu Anika juani then ukae baada ya dakika uone km hazigandi...
Kwa hiyo wakati wa utungwaji mimba sperm huwa zinaanikwa juani?Au nimeelewa vibaya??
 
Jibu ni ndio sperm zinaingia kwenye damu iliyo ganda maana ukitaka kuamini hilo tazama mwanamke akiwa na hedhi anatoka nini na lile si ndio yai likikosa rutuba kama ndio kwanini listoke kwa rangi tofauti na damu mbona mnapenda kuleta hoja kipumbavu hivi cell za yai zinarangi gani humo tumboni mwa huyo mwanamke ni ndio maana nasema hua wakristo wengi hawajitambui
Wewe nawe kasome biology kidogo tu
 
Kwa hiyo Jua linazunguka wee linazamia humo topen then linaanzia hapo asubuhi ?Maana mm sijaelewa
Nimejitoa katika mjadala lakini nikiitwa na watu ambao sio wapuuzi huwa naitikia wito,,,,Ila nikijua uupuzi WA mtu huwa siji.

Nadhani kama umesoma biblia kuna lugha ya mafumbo umeshawi kuiona au lugha ya picha.

Matope meusi yaliyo tajwa ni Bahari nyeusi/black sea,,,,,kama wewe ni mtu wa ziwani au baharini, jua likizama likiwa upande wa kwenye maji na kwakuwa dunia ni duara waeza ona kwa mbali kama jua linapotelea kwenye maji kutokana na umbali uliopo na hayo ndio mazingira yalivyotokea.

Shukrani.
 
Back
Top Bottom