Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Angalau unajitambua kinacho tufanya kuingiza wakristo wote kundi moja mna tu discus sana kwenye kitabu chetu kama huyu mleta huu uzi aiheshimu quran hivyo lazima tumuoneshe kama yeye hana heshima kuna watu kitambo tu heshima ukituzingua tunazieka mfukoni kazi inaanza
 
Mwambie bibi yako aende kanisani uliyo yataka utayapata tu Yesu kalaaniwa bwana unakataa maandiko yako we vipi acha ujinga kabisa na usirudie kutuletea mada za mapichapicha humu
 
Sasa Mufti hiyo sio namna nzuri ya kumrekebisha mtu hata kama malaika anapita Kwa mnavyotiririka hataweza kutambua Kati yako na yeye wake ni yupi..unajua sitataka kukulaumu wewe Mim nitamlaumu mkristo alieishi katika misingi ya kikristo,,kwa upande wako pia Kwa Imani yako nitakuuliza je hiyo ndiyo namna sahihi ya kuoneshana ubora wa dini yako Kwa kurushiana replies very harsh Hadi nafaa kufumba macho Kwa kile mlichokiandika, waasisi wetu Kwa mujibu wetu walikuwa watu wenye viwango vya juu vya hekima na walipitia matusi na dharau zisizo mfano iweje Sisi tusiojua hata theluthi ya waliyokuwa wakiyafahamu..
 
Nashukuru una mawazo mazuri naweza sema ila kuna yuyu jamaa mokit yeye hakutaka elimu bro alitaka vita ya maneno a na tukaona tumuoneshe kua siyo yeye kwenye huu ulimwengu ndio anajua kuongea nafahamu kua angeitaji elimu na kama alikua anaona sehemu kuna kosa angepaswa kusahihisha ila anacho kifanya kukashifu aisee akiendelea sita muacha aisee nashukuru na nimekuelewa
 
Huna akili wewe, yaan Mungu aamue kuzaliwa ili aje awakomboe aliwaumba yeye mwenyewe? We una akili kichwani humo??
 
Huna akili wewe, yaan Mungu aamue kuzaliwa ili aje awakomboe aliwaumba yeye mwenyewe? We una akili kichwani humo??
(Ndio maana mnaambiwa Yesu sio Issa.
Issa hajulikani alipo. Yesu alikuwepo yupo na ataendelea kuwepo.)

Yohana 8:56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.

57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?

58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko..

(Yupo milele)

Mathayo 28:19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

(Ukimwona Yesu Umemwona Mungu Mwenyewe.)

Yohana 14:8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

(Issa hana hizo sifa na mnakubali)
Ndio maana tunawaambia Issa sio Yesu Kristo.


Allah kamwe hawezi kuja duniani kupitia mwili wa binadamu aliyezaliwa na mwanamke.
Mungu anaweza. Ndio maana Mariam amekuwa mwanamke wa kipekee.

Elimu hii wenzetu hamja jaaliwa kuipata.
 
Umeuliza maswali ya msingi ila Qur-an ni kitabu kinachohitaji utulivu kukielewa na kukiamini hebu soma ktk Surat Al'alaq aya nambari 3 Mwenyezi Mungu anatuambia kua "Amemuumba binaadamu kwa tone la damu," sasa je tunavyojua ktk elimu yetu ya embryology binaadam mwanzo wake ni manii sasa vipi hapo awe ametokana na tone la damu?, je inamaana Mwenyezi Mungu ametudanganya?, au anataka tusiamini maneno yake?

Jibu la maswali yote hayo ni moja tu Mwenyezi Mungu amemuumba binaadam na akampa elimu, tena elimu ambayo leo kama ww umepata mda wa kuichallenge Qur-an.
 
Na ni wakati gani mifupa inavishwa nyama?
 
Haki ukilazimisha kuelewa utaelewa hata kama huo uelewa sio kweli.
 
Haki unatutoa kwenye mada hebu weka hizo takwimu za idadi ya watu enzi hizo na fungulia Uzi tujadili
 
Wanasema dhambi washa samehewa alafu wanahangaika kwenda kwa mapasta waungame sasa hapo sijui ndo inakaa aje
Uislamu mnaujua kweli?
Kuna funga ukifunya unasamehewa dhambi zote zilizo pita na mwaka mzima unaokuja , yani Allah anakuoa license to sin
 
Tatizo huna akili halafu hujui km huna akili ...wewe mvaa rozari huna mental ya kukosoa Quran..

Jews na ungwingwi wao wote wameishindwa...Chukua hizo sperm zako halafu Anika juani then ukae baada ya dakika uone km hazigandi...
Kwa hiyo wakati wa utungwaji mimba sperm huwa zinaanikwa juani?Au nimeelewa vibaya??
 
Wewe nawe kasome biology kidogo tu
 
Kwa hiyo Jua linazunguka wee linazamia humo topen then linaanzia hapo asubuhi ?Maana mm sijaelewa
Nimejitoa katika mjadala lakini nikiitwa na watu ambao sio wapuuzi huwa naitikia wito,,,,Ila nikijua uupuzi WA mtu huwa siji.

Nadhani kama umesoma biblia kuna lugha ya mafumbo umeshawi kuiona au lugha ya picha.

Matope meusi yaliyo tajwa ni Bahari nyeusi/black sea,,,,,kama wewe ni mtu wa ziwani au baharini, jua likizama likiwa upande wa kwenye maji na kwakuwa dunia ni duara waeza ona kwa mbali kama jua linapotelea kwenye maji kutokana na umbali uliopo na hayo ndio mazingira yalivyotokea.

Shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…