Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

[emoji23][emoji23][emoji23] Kazi yangu nimemaliza , usirudie tena na fundisha na wengine mbele ya mokiti lazima upate fedhea ukija kichwa kichwa
Jibu swali wewe labda unikimbie hapo je yule mnae enda kuungama kwake ndio kasha kua Yesu mvaa kichupi alafu ujibu ndio au hapana sio kujing'ata meno
 
Kwa sababu ushakuwepo zishanitoka umebebeshwa wewe sasa aya tupe aya inayoturudishia sisi hizo dhambi baada ya kubebeshwa nyinyi kwenye biblia
Usirudie tena kuuliza Yesu alibebaje dhambi

Someni dini yenu mtaacha kuuliza maswali ambayo nakuja kuwadhalilisha mnaanza kulia humu 😂😂😂😂
 
Kwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.

Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :

Anasema Allah aliye juu :

13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.

14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)

Legit question;

14 - Kwanini ipo katika lugha ya uwingi (plural)? Tukaiumba, tukaivika, tukamfanya nk.
 
Usirudie tena kuuliza Yesu alibebaje dhambi

Someni dini yenu mtaacha kuuliza maswali ambayo nakuja kuwadhalilisha mnaanza kulia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati huo huo ujanijibu yule mchungaji wenu pale ndio kashakua yesu
 
Usirudie tena kuuliza Yesu alibebaje dhambi

Someni dini yenu mtaacha kuuliza maswali ambayo nakuja kuwadhalilisha mnaanza kulia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hujawai jibu swali wewe kua ni ndio au hapana zaidi ya kujitolea maelezo kama unasoma insha
 
Usirudie tena kuuliza Yesu alibebaje dhambi

Someni dini yenu mtaacha kuuliza maswali ambayo nakuja kuwadhalilisha mnaanza kulia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi uniambie yule anae samehe pale kwa mvaa kichupi ndio kawa Yesu teari
 
Jibu swali wewe labda unikimbie hapo je yule mnae enda kuungama kwake ndio kasha kua Yesu mvaa kichupi alafu ujibu ndio au hapana sio kujing'ata meno
Naona kama mmeacha kujenga hoja na kujibu maswali. Kitu ulichoona kwenye sinema hakiwezi kuwa msingi wako wa kujibu hapa. Uliza mambo ya biblia tutakujibu.

Sasa hivi tunawauliza mambo mengi ya quran hamjibu kabisa isipokuwa mnaibua vitu visivyohusiana. Jibuni maswali.
 
Usirudie tena kuuliza Yesu alibebaje dhambi

Someni dini yenu mtaacha kuuliza maswali ambayo nakuja kuwadhalilisha mnaanza kulia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wala sija kuuliza yesu kabebaje dhambi mimi soma swali alafu elewa swali
 
Naona kama mmeacha kujenga hoja na kujibu maswali. Kitu ulichoona kwenye sinema hakiwezi kuwa msingi wako wa kujibu hapa. Uliza mambo ya biblia tutakujibu.

Sasa hivi tunawauliza mambo mengi ya quran hamjibu kabisa isipokuwa mnaibua vitu visivyohusiana. Jibuni maswali.
Bro jibu hilo swali ndio nikuulize jengine unataka nikupe tu maswali huku haujibu ili iweje
 
Dini Yako unaisoma na kuelewa
Allah amesema wazi dhambi zote za waislamu atawatushwa wakristo , ata uwe na dhambi kiasi gani anawabebesha wakristo wewe muislamu una kuwa safi
Wewe jamaa Muongo sana
 
Wewe nakuuliza swali hili wale wanao kua pale na kuwasemehe dhambi zenu washa kua mayesu usipo jibu usinifuate nakutukana
Tengeneza swali lako vizuri , wanakuwa wapi na wanamsamehe nani?

Mimi mtu bila Mimi dhambi zako hazikutoki
 
Back
Top Bottom