Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Ndiyo nasubilia mpaka sasa.Watakujibu wafuasi wa muhammad.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nasubilia mpaka sasa.Watakujibu wafuasi wa muhammad.
Wapi umepata kuwa Muhammad alikabwa na Jibril? Unaelewa vipi unaposkia kitabu cha Quran?Kwahiyo kama muhammad alikuwa hajui kusoma, kwanini jibril alikuwa anamkaba na kumtaka asome?
Jibril alikuwa anataka asome kitabu gani ikiwa quran haikuwepo?
Kama.wewe ni muislamu na unauliza wapi Muhammad alikabwa jitafakari Sana 😂😂😂Wapi umepata kuwa Muhammad alikabwa na Jibril? Unaelewa vipi unaposkia kitabu cha Quran?
Mokit jibu maswali we mke wa papaMuhammad alikuwa copy paste machine, ndio unakuta anaumbula science iki advance
Aliiga vitu vingi mno wazi kabisa , kama unataka niweke vyote patajaa hapa
Muhammad alikuwa akiiga watu wa Maandiko katika mambo ambayo hakukuwa na agizo kutoka kwa Allah. Watu wa Maandiko walikuwa wakiruhusu nywele zao kuninginia chini wakati wapagani walitumia kubana nywele zao. Kwa hivyo Muhammad aliacha nywele zake ziwe chini kwanza, lakini baadaye akazibana.
Sahih al-Bukhari 5917
Na sio kukabwa tu alikuwa anatokewa chooni anakimbia na mavi bila kutawaza , someni vijanaWapi umepata kuwa Muhammad alikabwa na Jibril? Unaelewa vipi unaposkia kitabu cha Quran?
Usiruke mada na kama mpo mnataka kusoma nyi semeni tu tuna taka kusoma basi msiogopeKama.wewe ni muislamu na unauliza wapi Muhammad alikabwa jitafakari Sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu karibia afe wewe unakuja kuleta mzaa
Inabidi mjitafakari na uwezo wenu wa akili kusoma na kuelewa kwa kufuata misingi ya right source of information. Nimeona mara nyingi huwa mna base kwenye wrong allegations and completely wrong information and sources. Ni intentionally au..?Muhammad alikuta elimu ya embryology na aka copy kama ilivyo leo ime advance ndio unaona anaonekana pimbi ,
Muhammad hakuwa kiziwi ila Kuna story alikuwa anazisikia anachanganya balaa mpaka wayahudi walikuwa wanamfuata mke mtoto Aisha wanamwambia amwambie asichanganye history
Yani we ji postishe Alafu mim mkumbashaji jibu maswali we mke wa papqNa sio kukabwa tu alikuwa anatokewa chooni anakimbia na mavi bila kutawaza , someni vijana
😂😂😂 nimefurahia utetezi wako, umemtetea sana lakini Jacob kasema dhahiri kuwa kamuona.Waliokuwa wanatafsiri biblia walipata changamoto nyingi kuelezea baadhi ya maneno kwenye hebrew language kuyaleta kwenye kiingereza na kiswahili.
Tafsiri ambayo inaweza kuwa sahihi zaidi hapo kwa Jacob ni presence. Yakobo alikuwa kwenye presence (uwepo) wa divine atmosphere.
Kauli kama hiyo pia ipo kwenye maisha ya Musa ambapo alikuwa anakutana na uwepo wa Mungu ambao tunaona ni mkubwa sana na inaandikwa alikutana uso kwa uso.
Kiuhalisia hawakumuona Mungu kama a certain being (mwenye uhai katika umbo fulani) bali walikuwa katika uwepo ambao wameutamka kama uso kwa uso kwasababu umewazunguka pote.
Mungu ni Roho hivyo hakuna namna utamuona kwa macho ya mwilini. Na hapa ndio maana Yesu Kristo yupo sahihi maana yeye yupo tangu milele pamoja na Baba yake hivyo amemuona katika Roho.
Hata nyakati hizi kwenye ibada zetu huwa tunasema leo tumemuona Mungu lakini tunachomaanisha ni ule uwepo wake katikati yetu na sio kumuona kimwili.
Jibril alikuwa hafahamu kwamba muhammad hajui kusoma? Elezea alikuwa anatakiwa asome kitabu gani.Wapi umepata kuwa Muhammad alikabwa na Jibril? Unaelewa vipi unaposkia kitabu cha Quran?
We chizi yale majibu ulikuwa uyaoni sasa wewe si ulete ata majibu ya uongo ili wakristo wenzio wakucheke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumewauliza swali mpaka Leo hakuna anaethubutu kujibu
Mtoto Allah kasema Kuna stage anakuwa skeleton tupu ndani ya mji wa uzazi je inawezekanaje bila kuleta fatal injury kwa mama
Na hii stage Kuna wapiga utra sound wamewahi kuiona na Kuna ushahidi wa picha za utra sound?
Umeitwa na modisonmuta umjibu acha kurukaruka kama churaJibril alikuwa hafahamu kwamba muhammad hajui kusoma? Elezea alikuwa anatakiwa asome kitabu gani.
Lete mistari yako unayodhani haipo sahihi kwa kila kipengere tukufafanulie.Ahazia alitawala umri gani Jerusalem kwa mujibu wa biblia?
Nani wa kwanza kumuona Yesu amefufuka kwa mujibu wa biblia?
Yesu alisulubiwa muda gani kwa mujibu wa biblia?
Weka quotation zote ambazo zinakupiga chengaAhazia alitawala umri gani Jerusalem kwa mujibu wa biblia?
Nani wa kwanza kumuona Yesu amefufuka kwa mujibu wa biblia?
Yesu alisulubiwa muda gani kwa mujibu wa biblia?
Ilo si swali lina eleweka au uelewiWeka quotation zote ambazo zinakupiga chenga
Yani tusha wastukia mnaishi kijanja janja kama madalali swali lina eleweka unataka qoute itafute utujibu acha ujanja ujanjaIlo si swali lina eleweka au uelewi
Hata swali la kujibu namba au muda huwezi kujibu ni namna gani bibilia ilivyo ya kipuuzi kama mokit mwenye weUnauliza swali alafu unataka sisi ndo tuka google swali lako,
Mbona wote mnaakili kama za mudy
Hili ni rahisi sana. Agizo la torati lilikuwa maalumu kwa mazingira ya kuwa chini ya sheria. Mpaka sasa hilo agizo linadumu kwenye sheria ulimwenguni pote.Haya, mtu akiua au akidhuru mwingine tufanyaje? Maana biblia inanichanganya hatua za kuchukua
Exodus 21:23
“If anyone is injured, the offender must pay a life for a life,”
Mathew 5:39
“But I tell you, do not resist an evil person. If anyone slaps you on the right cheek, turn to them the other cheek also.”