Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Swali lipo leo siku zinaenda
Allah anaesema skeleton tupu lipo ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke mujibu basi mbona mnaruka ruka kama nyani

Hii stage wapiga utra sound wamewagi kuiona na Kuna picha za utra sound zikionesha hii stage
Onyesha kwanza haya yamesemwa wapi ?
 
Onyesha kwanza haya yamesemwa wapi ?

Abdool Unataka kuibadilisha koran
Swali lipo leo siku zinaenda
Allah anaesema skeleton tupu lipo ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke mujibu basi mbona mnaruka ruka kama nyani

Hii stage wapiga utra sound wamewagi kuiona na Kuna picha za utra sound zikionesha hii stage
 
Abdool Unataka kuibadilisha koran
Swali lipo leo siku zinaenda
Allah anaesema skeleton tupu lipo ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke mujibu basi mbona mnaruka ruka kama nyani

Hii stage wapiga utra sound wamewagi kuiona na Kuna picha za utra sound zikionesha hii stage
Amesema wapi ? Tuwekee ewe mfuasi wa Paulo Mpagani. Nadubiri hapa.
 
Umeweka picha ambayo haionye real position ya Seminal vesicle ili uendelee kuwadanya wagalatia wenzako

Picha yangu inaonyesha vizuri Seminal vesicle ilipo ipo kwa juu ya makalio ya mwanaume ukienda juu utakutana na mifupa ya mbavu na ukienda pembeni utakutana na uti wa mgongo

FUNCTION OF SEMINAL VESICLE

The main function of the seminal vesicles is to produce a fluid that is high in fructose, a sugar that provides nutrients for sperm cells, as well as other proteins, enzymes, and mucus. This fluid is a major component of semen, and it accounts for about 50%–80% of semen volume.2

Hayo ni maelezo ya wanasayansi wako uliyotaka wakusaidie

Wanasema sperm cell zikitoka katika korodani zinakuja hapo katika Seminal vesicle na kuwekewa nutrients ambazo ni fractose, Suger, proteins, enzymes,mocus na fluid na kuandaliwa kwa ajili ya kurushwa kwenda katika uke kwa ajili ya kutunga mimba

Kwa hiyo wanasayansi wako wanakubali kuwa sperm inayoenda katika uke wa mwanamke kwa ajili ya kutunga mimba inarushwa kutoka katika Seminal vesicle na hata hiyo kazi ya kurusha sperm inafanywa na misuli ya Seminal vesicle na picha inaonyesha hizo Seminal vesicle zipo kwa ju kidogo ya makalio ya mwanaume

Na Quran inasemaje ?

Quran 86:6
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
7.
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Maelezo ya wanasayansi wako na Quran yanafanana

View attachment 2376301View attachment 2376305
Hapa unalazimisha ili kutetea kama mfia dini. Ni haki yako hivyo sioni kwanini tuvutane.

Fact kwamba unalazimisha picha hiyo hiyo kila wakati ingawa ukienda google picha zote hazifanani na hiyo ni uthibitisho tosha.
 
NI UPUMBAVU, KIBISHANA SIKU NANE MZIMA, ETI DINI YAKO BORA KULIKO ILE, UBORA UKO WAPI IKIWA MNAPATA MRADHI KAMA WASIOAMINI, NA TIBA NI ILE ILE MOJA, MATANIO NI YALE YALE, MAISHA NI YALE YALE, VIFO VILE VILE, MAKABULI NI YALE YALE.

MNABISHANA TENA KWA DHANA TU, KUWA IMANI FULANI BORA MBONA UZINZI HUFANYWA NA WAUMINI WA PANDE ZOTE UHARIFU, HUFANYWA NA WAUMINI WA UPANDE ZOTE.

KAMA KWELI UNAJIFUNIA UBORA WA IMANI YAKO, IMANI YA MWINGINE INATIKISAJE IMANI YAKO, KAMA SI KUTO AMINI UNACHOAMINI NDIYO MAANA UNATAFUTA KUHOJI IMANI YA WENGINE
 
Amesema wapi ? Tuwekee ewe mfuasi wa Paulo Mpagani. Nadubiri hapa.
Mutah son Abdool , bulus kamuulize Allah anamtaja Kwa kuweweweka kama wewe

Swali lipo leo siku zinaenda
Allah anaesema skeleton tupu lipo ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke mujibu basi mbona mnaruka ruka kama nyani

Hii stage wapiga utra sound wamewagi kuiona na Kuna picha za utra sound zikionesha hii stage
 
Mutah son Abdool , bulus kamuulize Allah anamtaja Kwa kuweweweka kama wewe

Swali lipo leo siku zinaenda
Allah anaesema skeleton tupu lipo ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke mujibu basi mbona mnaruka ruka kama nyani

Hii stage wapiga utra sound wamewagi kuiona na Kuna picha za utra sound zikionesha hii stage
Sasa siku nyingine usiandike uongo kijana, achana na hizi habari.
 
Haya madai tukitaka uthibitisho utatupa?
Umefanya tafiti kwa waislamu wote na kuhitimisha hivyo?
Najua tunaongelea imani lakini shutma zisizo na ushahidi si busara kuzizua Mkuu.
Sheria zote za waislam ni juu ya mambo ya mwilini. Kutawadha, kunawa, kusali mara tano, kutoa zaka, kwenda maka nk yote ni maagizo ya mwilini. Nyie mpo mwilini kiasi kwamba hata Allah au Muhammad akichorwa katuni mnaanza maandamano na fujo.

Behold, I Paul say unto you, that if ye be circumcised, Christ shall profit you nothing.
3 For I testify again to every man that is acircumcised, that he is a debtor to do the whole law.
4 Christ is become of no effect unto you, whosoever of you are justified by the alaw; ye are fallen from grace.”
Paulo hapa alikuwa anashughulika na mambo ya wayahudi ambao walikuwa wanawaona wasiotahiriwa mwilini (ingawa wamempokea Yesu) wanakuwa wamepungukiwa kitu.

Anawakumbusha kama wakiamua kwenda kwa sheria namna hiyo basi wajue sheria zipo nyingi na wanapaswa kushika zote. Jambo hilo tayari wanadamu walishalishindwa.

Ndio maana anawarudisha kwenye somo la neema. Kama wangeshika sheria yote basi hawana haja ya Kristo Yesu. Hivyo Kristo ndio jibu la ule udhaifu wa mwanadamu uliopelekea ashindwe kutimiza matakwa ya sheria.

Ukiwa ndani ya Kristo Yesu unakuwa tayari umeitimiza torati yote. Kwasababu ndani ya Yesu unahesabiwa haki bure kwa neema kwa njia ya imani. Kwahiyo tohara ya mwilini si kitu tena bali Kristo ni yote katika yote.

Tohara inabakia kama suala la kiafya lakini sio kama namna ya kutaka kumpendeza Mungu maana ndani ya Kristo Yesu tayari unakuwa umeshampendeza Mungu.
 
Uyo mokit anamjua basi Professor Keith Moore apo ana mfiikiria papa wa vatikan tu
More mlimpeleka saudia mkampa wrong translation mkamwamgia damu iliyoganda ni leech 😂😂😂 ni yeye tu Dunia nzima mlimuingiza Chaka

Ila mjibu skeleton tupu lipo ndani ya mji wa uzazi 😂😂 lingemchoma mama mpaka kifo
 
More mlimpeleka saudia mkampa wrong translation mkamwamgia damu iliyoganda ni leech [emoji23][emoji23][emoji23] ni yeye tu Dunia nzima mlimuingiza Chaka

Ila mjibu skeleton tupu lipo ndani ya mji wa uzazi [emoji23][emoji23] lingemchoma mama mpaka kifo
Alaa kumbe ile video uliielewa Asante.
 
Hizi habari mmezipokea toka kwa nani ? Ili ziwe za kweliz unaweza kutuambia nani aliwaona watu hawa mpaka wakasimulia habari hii ?
Hizi habari zimeandikwa na mitume wa Yesu Kristo ndani ya biblia. Hawa ni eye witnesses wa mambo yote.

Kinachoshangaza ni jamaa ajitokeze miaka 600 baadae akiwa saudi arabia na kusema hayo yaliyoandikwa na walioona sio sahihi.

Mbaya zaidi watu waliokuwa naye pale kijijini wakamwamini na kueneza uzushi wake.
 
NI UPUMBAVU, KIBISHANA SIKU NANE MZIMA, ETI DINI YAKO BORA KULIKO ILE, UBORA UKO WAPI IKIWA MNAPATA MRADHI KAMA WASIOAMINI, NA TIBA NI ILE ILE MOJA, MATANIO NI YALE YALE, MAISHA NI YALE YALE, VIFO VILE VILE, MAKABULI NI YALE YALE.

MNABISHANA TENA KWA DHANA TU, KUWA IMANI FULANI BORA MBONA UZINZI HUFANYWA NA WAUMINI WA PANDE ZOTE UHARIFU, HUFANYWA NA WAUMINI WA UPANDE ZOTE.

KAMA KWELI UNAJIFUNIA UBORA WA IMANI YAKO, IMANI YA MWINGINE INATIKISAJE IMANI YAKO, KAMA SI KUTO AMINI UNACHOAMINI NDIYO MAANA UNATAFUTA KUHOJI IMANI YA WENGINE
Naona baada ya kugundua Allah alikuwa mdanganyifu umeamua kuja na staili mpya ya kujilinda.
 
Hapa unalazimisha ili kutetea kama mfia dini. Ni haki yako hivyo sioni kwanini tuvutane.

Fact kwamba unalazimisha picha hiyo hiyo kila wakati ingawa ukienda google picha zote hazifanani na hiyo ni uthibitisho tosha.
Hayo ni maelezo ya wanasayansi wako uliyotaka wakusaidie

Wanasema sperm cell zikitoka katika korodani zinakuja hapo katika Seminal vesicle na kuwekewa nutrients ambazo ni fractose, Suger, proteins, enzymes,mocus na fluid na kuandaliwa kwa ajili ya kurushwa kwenda katika uke kwa ajili ya kutunga mimba

Kwa hiyo wanasayansi wako wanakubali kuwa sperm inayoenda katika uke wa mwanamke kwa ajili ya kutunga mimba inarushwa kutoka katika Seminal vesicle na hata hiyo kazi ya kurusha sperm inafanywa na misuli ya Seminal vesicle na picha inaonyesha hizo Seminal vesicle zipo kwa ju kidogo ya makalio ya mwanaume

Na Quran inasemaje ?

Quran 86:6
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
7.
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Maelezo ya wanasayansi wako na Quran yanafanana

Wewe ndio unapingana na facts angalia huo mchoro alafu niambie hapo ilipo Seminal vesicle ukienda juu utakutana na mifupa gani na ukienda pembeni utakutana na mifupa gani kama sio mbavu na uti wa mgongo
Screenshot_20221003-210847.jpg
 
Hayo ni maelezo ya wanasayansi wako uliyotaka wakusaidie

Wanasema sperm cell zikitoka katika korodani zinakuja hapo katika Seminal vesicle na kuwekewa nutrients ambazo ni fractose, Suger, proteins, enzymes,mocus na fluid na kuandaliwa kwa ajili ya kurushwa kwenda katika uke kwa ajili ya kutunga mimba

Kwa hiyo wanasayansi wako wanakubali kuwa sperm inayoenda katika uke wa mwanamke kwa ajili ya kutunga mimba inarushwa kutoka katika Seminal vesicle na hata hiyo kazi ya kurusha sperm inafanywa na misuli ya Seminal vesicle na picha inaonyesha hizo Seminal vesicle zipo kwa ju kidogo ya makalio ya mwanaume

Na Quran inasemaje ?

Quran 86:6
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
7.
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Maelezo ya wanasayansi wako na Quran yanafanana

Wewe ndio unapingana na facts angalia huo mchoro alafu niambie hapo ilipo Seminal vesicle ukienda juu utakutana na mifupa gani na ukienda pembeni utakutana na mifupa gani kama sio mbavu na uti wa mgongo View attachment 2376370
Muhammad na Allah wamesema sperm zinatokea maeneo ya kwenye mbavu.🤣 Hata hajui kwamba sperm zinatokea kwenye korodani. Allah ni wa kuonewa huruma.

Seminal vesticle ipo karibu na matako, je wewe unazo mbavu kwenye matako??🤣 Sasa Allah anasema semen zinaruka kutokea mbavuni.😂😂 Ina maana allah hajui kwamba semen hazina uwezo wa kutengeneza mimba mpaka ziwe zimebeba sperm kutoka kwenye korodani??
 
Apa sawa awa wafuasi wa child molester wakiona umetoa Nondo lazima wawe bize kukutoa kwenye point ya msingi
 
Back
Top Bottom