Umeweka picha ambayo haionye real position ya Seminal vesicle ili uendelee kuwadanya wagalatia wenzako
Picha yangu inaonyesha vizuri Seminal vesicle ilipo ipo kwa juu ya makalio ya mwanaume ukienda juu utakutana na mifupa ya mbavu na ukienda pembeni utakutana na uti wa mgongo
FUNCTION OF SEMINAL VESICLE
The main function of the seminal vesicles is to produce a fluid that is high in fructose, a sugar that provides nutrients for sperm cells, as well as other proteins, enzymes, and mucus. This fluid is a major component of semen, and it accounts for about 50%–80% of semen volume.2
Hayo ni maelezo ya wanasayansi wako uliyotaka wakusaidie
Wanasema sperm cell zikitoka katika korodani zinakuja hapo katika Seminal vesicle na kuwekewa nutrients ambazo ni fractose, Suger, proteins, enzymes,mocus na fluid na kuandaliwa kwa ajili ya kurushwa kwenda katika uke kwa ajili ya kutunga mimba
Kwa hiyo wanasayansi wako wanakubali kuwa sperm inayoenda katika uke wa mwanamke kwa ajili ya kutunga mimba inarushwa kutoka katika Seminal vesicle na hata hiyo kazi ya kurusha sperm inafanywa na misuli ya Seminal vesicle na picha inaonyesha hizo Seminal vesicle zipo kwa ju kidogo ya makalio ya mwanaume
Na Quran inasemaje ?
Quran 86:6
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
7.
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
Maelezo ya wanasayansi wako na Quran yanafanana
View attachment 2376301View attachment 2376305