Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kwahiyo kama muhammad alikuwa hajui kusoma, kwanini jibril alikuwa anamkaba na kumtaka asome?

Jibril alikuwa anataka asome kitabu gani ikiwa quran haikuwepo?
Wapi umepata kuwa Muhammad alikabwa na Jibril? Unaelewa vipi unaposkia kitabu cha Quran?
 
Muhammad alikuwa copy paste machine, ndio unakuta anaumbula science iki advance

Aliiga vitu vingi mno wazi kabisa , kama unataka niweke vyote patajaa hapa
Muhammad alikuwa akiiga watu wa Maandiko katika mambo ambayo hakukuwa na agizo kutoka kwa Allah. Watu wa Maandiko walikuwa wakiruhusu nywele zao kuninginia chini wakati wapagani walitumia kubana nywele zao. Kwa hivyo Muhammad aliacha nywele zake ziwe chini kwanza, lakini baadaye akazibana.
Sahih al-Bukhari 5917
Mokit jibu maswali we mke wa papa
 
Muhammad alikuta elimu ya embryology na aka copy kama ilivyo leo ime advance ndio unaona anaonekana pimbi ,

Muhammad hakuwa kiziwi ila Kuna story alikuwa anazisikia anachanganya balaa mpaka wayahudi walikuwa wanamfuata mke mtoto Aisha wanamwambia amwambie asichanganye history
Inabidi mjitafakari na uwezo wenu wa akili kusoma na kuelewa kwa kufuata misingi ya right source of information. Nimeona mara nyingi huwa mna base kwenye wrong allegations and completely wrong information and sources. Ni intentionally au..?
 
Waliokuwa wanatafsiri biblia walipata changamoto nyingi kuelezea baadhi ya maneno kwenye hebrew language kuyaleta kwenye kiingereza na kiswahili.

Tafsiri ambayo inaweza kuwa sahihi zaidi hapo kwa Jacob ni presence. Yakobo alikuwa kwenye presence (uwepo) wa divine atmosphere.

Kauli kama hiyo pia ipo kwenye maisha ya Musa ambapo alikuwa anakutana na uwepo wa Mungu ambao tunaona ni mkubwa sana na inaandikwa alikutana uso kwa uso.

Kiuhalisia hawakumuona Mungu kama a certain being (mwenye uhai katika umbo fulani) bali walikuwa katika uwepo ambao wameutamka kama uso kwa uso kwasababu umewazunguka pote.

Mungu ni Roho hivyo hakuna namna utamuona kwa macho ya mwilini. Na hapa ndio maana Yesu Kristo yupo sahihi maana yeye yupo tangu milele pamoja na Baba yake hivyo amemuona katika Roho.

Hata nyakati hizi kwenye ibada zetu huwa tunasema leo tumemuona Mungu lakini tunachomaanisha ni ule uwepo wake katikati yetu na sio kumuona kimwili.
😂😂😂 nimefurahia utetezi wako, umemtetea sana lakini Jacob kasema dhahiri kuwa kamuona.

Haya, mtu akiua au akidhuru mwingine tufanyaje? Maana biblia inanichanganya hatua za kuchukua

Exodus 21:23
“If anyone is injured, the offender must pay a life for a life,”

Mathew 5:39
“But I tell you, do not resist an evil person. If anyone slaps you on the right cheek, turn to them the other cheek also.”

Sasa hapa Mkuu tufate lipi?
 
Tumewauliza swali mpaka Leo hakuna anaethubutu kujibu

Mtoto Allah kasema Kuna stage anakuwa skeleton tupu ndani ya mji wa uzazi je inawezekanaje bila kuleta fatal injury kwa mama

Na hii stage Kuna wapiga utra sound wamewahi kuiona na Kuna ushahidi wa picha za utra sound?
We chizi yale majibu ulikuwa uyaoni sasa wewe si ulete ata majibu ya uongo ili wakristo wenzio wakucheke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ahazia alitawala umri gani Jerusalem kwa mujibu wa biblia?
Nani wa kwanza kumuona Yesu amefufuka kwa mujibu wa biblia?
Yesu alisulubiwa muda gani kwa mujibu wa biblia?
Lete mistari yako unayodhani haipo sahihi kwa kila kipengere tukufafanulie.
 
Haya, mtu akiua au akidhuru mwingine tufanyaje? Maana biblia inanichanganya hatua za kuchukua

Exodus 21:23
“If anyone is injured, the offender must pay a life for a life,”

Mathew 5:39
“But I tell you, do not resist an evil person. If anyone slaps you on the right cheek, turn to them the other cheek also.”
Hili ni rahisi sana. Agizo la torati lilikuwa maalumu kwa mazingira ya kuwa chini ya sheria. Mpaka sasa hilo agizo linadumu kwenye sheria ulimwenguni pote.

Sasa hapo kwa Yesu alikuwa anafundisha uvumilivu pale watu wanapotukosea au kutukorofisha. Hii ni noble character. Hata hivyo hapo kuna limits pia. Ukinipiga kofi moja na nikaruhusu la pili utakuwa unavumiliwa ila ukiweka la tatu sheria itafuata mkondo wake.

Kwahiyo hapo hakuna contradiction ila kuna extension ya uvumilivu kwasababu wapo watu watakaokosea kwa bahati mbaya na kuna wale watakosea kwasababu ya ujinga wao tunapaswa kuwa wavumilivu.

Yesu ameitimiliza sheria hapo kwa kutoa fursa ya mkorofi kujifunza. Jaribu kufikiri leo hii umenikorofisha ukanipiga halafu nikaamua kukaa kimya. Ukafanya tena mara ya pili nikakuaamehe.

Kama ni mtu muelewa lazima utajirekebisha na pengine kuomba msamaha. Ukirudia tena hapo nitajua wewe ni lazima uchukuliwe hatua kali za kisheria.

Jesus Christ is so wise.😍
 
Ngoja nicheke tu maana kuanzia wakristo mpaka bibilia havijatambui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yan
 
Back
Top Bottom