Bila Mimi dhambi zako haziwezi kukutokaUsiruke mada wewe lazima ubebe dhambi zangu alafu yule mchungaji pale kwa yule mvaa kichupi ndio yesu sasa shida hapo iko wapi au wapi nimekataa hapo bwege we
Jibu swali wewe labda unikimbie hapo je yule mnae enda kuungama kwake ndio kasha kua Yesu mvaa kichupi alafu ujibu ndio au hapana sio kujing'ata meno[emoji23][emoji23][emoji23] Kazi yangu nimemaliza , usirudie tena na fundisha na wengine mbele ya mokiti lazima upate fedhea ukija kichwa kichwa
Mkuu zishushe hizo aya hapa.Usiweweseke
Allah dhambi zenu kasema ni mtu mkristo anazibeba , Allah kasema funga siku moja anakupa leseni ya dhambi ya mwaka ,kipi unachopinga ?
Kwa sababu ushakuwepo zishanitoka umebebeshwa wewe sasa aya tupe aya inayoturudishia sisi hizo dhambi baada ya kubebeshwa nyinyi kwenye bibliaBila Mimi dhambi zako haziwezi kukutoka
Usirudie tena kuuliza Yesu alibebaje dhambiKwa sababu ushakuwepo zishanitoka umebebeshwa wewe sasa aya tupe aya inayoturudishia sisi hizo dhambi baada ya kubebeshwa nyinyi kwenye biblia
Kwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.
Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :
Anasema Allah aliye juu :
13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.
14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)
Wakati huo huo ujanijibu yule mchungaji wenu pale ndio kashakua yesuUsirudie tena kuuliza Yesu alibebaje dhambi
Someni dini yenu mtaacha kuuliza maswali ambayo nakuja kuwadhalilisha mnaanza kulia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hujawai jibu swali wewe kua ni ndio au hapana zaidi ya kujitolea maelezo kama unasoma inshaUsirudie tena kuuliza Yesu alibebaje dhambi
Someni dini yenu mtaacha kuuliza maswali ambayo nakuja kuwadhalilisha mnaanza kulia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi uniambie yule anae samehe pale kwa mvaa kichupi ndio kawa Yesu teariUsirudie tena kuuliza Yesu alibebaje dhambi
Someni dini yenu mtaacha kuuliza maswali ambayo nakuja kuwadhalilisha mnaanza kulia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kama mmeacha kujenga hoja na kujibu maswali. Kitu ulichoona kwenye sinema hakiwezi kuwa msingi wako wa kujibu hapa. Uliza mambo ya biblia tutakujibu.Jibu swali wewe labda unikimbie hapo je yule mnae enda kuungama kwake ndio kasha kua Yesu mvaa kichupi alafu ujibu ndio au hapana sio kujing'ata meno
Na wala sija kuuliza yesu kabebaje dhambi mimi soma swali alafu elewa swaliUsirudie tena kuuliza Yesu alibebaje dhambi
Someni dini yenu mtaacha kuuliza maswali ambayo nakuja kuwadhalilisha mnaanza kulia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro jibu hilo swali ndio nikuulize jengine unataka nikupe tu maswali huku haujibu ili iwejeNaona kama mmeacha kujenga hoja na kujibu maswali. Kitu ulichoona kwenye sinema hakiwezi kuwa msingi wako wa kujibu hapa. Uliza mambo ya biblia tutakujibu.
Sasa hivi tunawauliza mambo mengi ya quran hamjibu kabisa isipokuwa mnaibua vitu visivyohusiana. Jibuni maswali.
Mkristo nikivaa kichupi unataka kusema sikubebei dhambi ?Rudi uniambie yule anae samehe pale kwa mvaa kichupi ndio kawa Yesu teari
Wewe jamaa Muongo sanaDini Yako unaisoma na kuelewa
Allah amesema wazi dhambi zote za waislamu atawatushwa wakristo , ata uwe na dhambi kiasi gani anawabebesha wakristo wewe muislamu una kuwa safi
Unataka kusema kitabu chenu kimeandika uongo , maana sio maneno yanguWewe jamaa Muongo sana
Jibu swali wewe mbona hupendi kujibu maswaliMkristo nikivaa kichupi unataka kusema sikubebei dhambi ?
Wewe nakuuliza swali hili wale wanao kua pale na kuwasemehe dhambi zenu washa kua mayesu usipo jibu usinifuate nakutukanaMimi mtu tu nakubebea dhambi zako , ukitupiwa dhambi Mimi nazichukua
Hauna swali umeanza mbingu za kisai kujifanya ana swaliJibu swali wewe mbona hupendi kujibu maswali
Tengeneza swali lako vizuri , wanakuwa wapi na wanamsamehe nani?Wewe nakuuliza swali hili wale wanao kua pale na kuwasemehe dhambi zenu washa kua mayesu usipo jibu usinifuate nakutukana
Huna jibu weweHauna swali umeanza mbingu za kisai kujifanya ana swali