1. Yesu alikufa na kufufuka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia hizi scenario 3 afu toa majibu kuhusu MWANA WA MUNGU NI YUPI HASA.
1. ADAM ALIZALIWA/KUUMBWA BILA KUTOKA KWA BABA WALA MAMA yaan yeye uumbaji wake haukuhusisha kiumbe kinachoitwa binadamu
2. EVA/HAWA ALIZALIWA/KUUMBWA KUTOKA UBAVUNI MWA ADAM. Huyu uumbwaji wake ulitokana na BABA TU, yeye pekee ndio alizaliwa kutoka kwa BABA tu dunia nzima hii.
3. YESU ALIZALIWA/KUUMBWA KUTOKA KWA MAMA. Huyu alitokana na UCHUNGU wa mama kama tulivyo sisi wote hapa Duniani. Huyu ndio binadamu wa mwisho kubalance scenario za uumbwaji usio na shaka.
Mungu alifanya hivi ili kuondoa upumbavu wa watu ambao wangeweza kumuita mmoja wapo wa hao kuwa ni MUNGU au MTOTO wa MUNGU. Maana kubwa ya Mungu ni kwamba kabla hujaamua kumuita kiumbe fulani kuwa ni MUNGU fikiria hao wengine namna walivyoumbwa. Ukijua namna walivyoumbwa utaacha kabisa kumuita Binadamu yeyote yule kuwa ni MUNGU.
SWALI LA MSINGI KWAKO, NI KIPI KIKO SO SPECIAL KWA YESU KUMUITA MUNGU/MWANA WA MUNGU UKILINGANISHA NA ADAM na EVA??
Maelezo ya skola maarufu ibn kathir amesema ni UTI wa mgongo wa mwanaume na mbavu za mwanamkeQuran 86:6,7
He is created from a gushing fluid that issued from between the backbone and ribs
Anaficha ukweli ingia hapa somaZilete hizo aya hapa na tafsiri zake badala ya kuendelea kuzunguka. 86:6-7
Hata maana uoni auWeka Aya 86: 7 Mimi naona Aya ambazo sio zenyewe , weka kipisi kimoja chenye Aya 86:7
Juu ya kama kuna mtu alishawahi kumuona MunguNauomba huo ushahidi.
Sijaona Aya husikaHata maana uoni au
Waliokuwa wanatafsiri biblia walipata changamoto nyingi kuelezea baadhi ya maneno kwenye hebrew language kuyaleta kwenye kiingereza na kiswahili.Juu ya kama kuna mtu alishawahi kumuona Mungu
John 1:18
“No one has ever seen God, the one and only Son, who is himself God and is in closest relationship with the Father, has made him known”
Genesis 32:30
“And Jacob called the name of the place peniel: for I have bseen God face to face, and my life is preserved.”
Mfano aya hizi zinakinzana.
Wewe itakuwa una mtindio wa ubongo nani sliyekuambia korodani zipo kati ya mifupa ya uti wa mgongo na mbavuInataka kukaa madrasa miaka mingi sana kufikia hatua ya kupoteza akili kiasi hiki.
Fanya hivi, gusa mahali mbavu zako zilipo halafu angalia korodani zilipo ndio utaelewa haiwezekani kuwa kama utetezi wako uliouleta.
Allah haelewi chochote kuhusu baiolojia. Inashangaza watu kumfuata mungu wa namna hiyo.
Wewe itakuwa una mtindio wa ubongo nani sliyekuambia korodani zipo kati ya mifupa ya uti wa mgongo na mbavu
Nimekuambia Seminal vesicle ndio ipo baina ya mifupa ya uti wa mgongo na mbavu na picha nikakuwekea iyo hapo chini na nikakumbia hapo katika Seminal vesicle ndio inapatikana final product ya sperm zenye uwezo wa kutungushisha mimba na ndio sehemu iliyoongelewa katika Quran
Na nikakuonyesha utafiti wa hao wanasayansi wako kuhusu hiyo Seminal vesicle wanasema kukiwa na tatizo hapo hazitapatikana sperm za kutungisha mimba
Maelezo ya wanasayansi wako kuhusu Hilo eneo lilopo kati ya mifupa ya uti wa mgongo na mbavu ni haya
Signs and symptoms that may occur when you have something wrong with your seminal vesicles may include:
Infertility.View attachment 2376016
Wewe kila siku nakwambia mpinga bibilia wewe hizo aya ziko wazi kabisa hapo kua zinakinzana na hutakiWaliokuwa wanatafsiri biblia walipata changamoto nyingi kuelezea baadhi ya maneno kwenye hebrew language kuyaleta kwenye kiingereza na kiswahili.
Tafsiri ambayo inaweza kuwa sahihi zaidi hapo kwa Jacob ni presence. Yakobo alikuwa kwenye presence (uwepo) wa divine atmosphere.
Kauli kama hiyo pia ipo kwenye maisha ya Musa ambapo alikuwa anakutana na uwepo wa Mungu ambao tunaona ni mkubwa sana na inaandikwa alikutana uso kwa uso.
Kiuhalisia hawakumuona Mungu kama a certain being (mwenye uhai katika umbo fulani) bali walikuwa katika uwepo ambao wameutamka kama uso kwa uso kwasababu umewazunguka pote.
Mungu ni Roho hivyo hakuna namna utamuona kwa macho ya mwilini. Na hapa ndio maana Yesu Kristo yupo sahihi maana yeye yupo tangu milele pamoja na Baba yake hivyo amemuona katika Roho.
Hata nyakati hizi kwenye ibada zetu huwa tunasema leo tumemuona Mungu lakini tunachomaanisha ni ule uwepo wake katikati yetu na sio kumuona kimwili.
Umesoma hayo maelezo na hili ndio jibu lako? Mzee bora ubaki tu madrasa.Wewe kila siku nakwambia mpinga bibilia wewe hizo aya ziko wazi kabisa hapo kua zinakinzana na hutaki
Unaongelea nini? Kitabu gani jibreel alimlazimisha muhammad akisome?We championship Sasa hivi yunakufanya kama ubao ili wagalatia wenzako wasome na waelewe
Umeanza kupingana na Quran na Sasa unapingana na wanasayansi wako uliyotaka wakusaidieKinachoongelewa hapo kwenye huo mstari ni sperms na sio korodani. Kisayansi kwenye hatua za uumbwaji wa korodani zinakuwa karibu na figo.
Wakati huo kabla hazijashuka chini, korodani hazitoi sperms zozote. Mpaka kijana anapobalehe ndio sperm zinakuwepo.
Aya ya quran inasema sperm zinatokea kwenye eneo kati ya mbavu na uti wa mgongo, huu ni uongo.
Kuna wakati nilimsikia mtu mmoja akisema uislam unatawaliwa na roho ya ujinga na ngono sikumwelewa vizuri lakini sasa hivi naelewa.Umeanza kupingana na Quran na Sasa unapingana na wanasayansi wako uliyotaka wakusaidie
Sasa niambie nini kazi ya Seminal vesicle katika kutungisha mimba
Seminal vesicle ni Hilo eneo hapo lenye green color na ndio eneo lililopo kati ya mifupa ya uti wa mgongo na mbavu na View attachment 2376044
Mbavu ni za mwanamke, uwa mnasoma dini yenu kweli?Umeanza kupingana na Quran na Sasa unapingana na wanasayansi wako uliyotaka wakusaidie
Sasa niambie nini kazi ya Seminal vesicle katika kutungisha mimba
Seminal vesicle ni Hilo eneo hapo lenye green color na ndio eneo lililopo kati ya mifupa ya uti wa mgongo na mbavu na View attachment 2376044
Aliishi wapi na je kuna ushahidi wowote kuwa alikuwa akiishi jirani au pamoja na huyo Muhammad? Given Muhammad hakujua kusoma kabla ya hapo hivyo namna pekee ya Muhammad kukopi kwa Hippocrates ni kwa njia ya kusimuliwa.Hippocrates ambaye anachukuliwa kuwa ni baba wa tiba aliishi muda mrefu kabla ya Mohammad.
Muhammad alikuta elimu ya embryology na aka copy kama ilivyo leo ime advance ndio unaona anaonekana pimbi ,Aliishi wapi na je kuna ushahidi wowote kuwa alikuwa akiishi jirani au pamoja na huyo Muhammad? Given Muhammad hakujua kusoma kabla ya hapo hivyo namna pekee ya Muhammad kukopi kwa Hippocrates ni kwa njia ya kusimuliwa.
Kwahiyo kama muhammad alikuwa hajui kusoma, kwanini jibril alikuwa anamkaba na kumtaka asome?Aliishi wapi na je kuna ushahidi wowote kuwa alikuwa akiishi jirani au pamoja na huyo Muhammad? Given Muhammad hakujua kusoma kabla ya hapo hivyo namna pekee ya Muhammad kukopi kwa Hippocrates ni kwa njia ya kusimuliwa.