Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Umesahau kua ulisema hao waandishi waliandika kwa uvuvio wa Roho mtakatifu?
 
Umesahau kua ulisema hao waandishi waliandika kwa uvuvio wa Roho mtakatifu
Kwahiyo wakiandika kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu ndio waseme kila kitu exactly the same?

Wakristo wote wanaoongozwa na Roho Mtakatifu hawafanyi kazi moja au kuelezea mambo kwa namna moja.
 
Andiko halisemi kuwa hayo maji yanatoka mbavuni labda kama haujui kiswahili andiko linasema yanatoka baina ya mifupa ya mgongo na mbavu ( kati ya mifupa ya mgongo na mbavu ) na hapo kati ya mifupa ya mgongo na mbavu ndio ipo hi hiyo Seminal vesicle


Quran 86:6
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
7.
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.


Kwa hiyo hapo umeona kuwa Seminal vesicle ipo karibu na matako ila unajifanya haujui kuwa mifupa ya mgongo imeanzia matakoni?

Jibu swali hapo katika Seminal vesicle ukienda ju unakutana na mfupa gani na ukienda pembeni unakutana na mfupa gani ?
 
Andiko halisemi kuwa hayo maji yanatoka mbavuni labda kama haujui kiswahili andiko linasema yanatoka baina ya mifupa ya mgongo na mbavu ( kati ya mifupa ya mgongo na mbavu ) na hapo kati ya mifupa ya mgongo na mbavu ndio ipo hi hiyo Seminal vesicle
Jiguse hapo uone mbavu zilipo halafu angalia na korodani zilipo kisha mpongeze Allah kwa uongo.
 
Yupo mmoja, Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Ok iweje roho mmoja na kitu kizungumziwacho ni kimoja alafu akitolee maelezo tofauti tena yana pishana mpaka na maana
Hivi mfano upo mahakamani alafu ndio unatoa ushahidi mpo wawili alafu mmoja anasema mwizi aliiba saa 4 na mwengine anasema mwizi alii iba saa 7 mchana hivi hapo itakuwa sawa
 
Sidhani kama unafahamu maana ya kuongozwa na Roho Mtakatifu. Ukiwa chini ya uongozi wake haimaanishi kwamba anaku-possess na kuondoa akili yako na personality yako. Hapana.

Unakuwa mtu wa kawaida, mwenye akili kulingana na kiwango chako cha kujielimisha. Kumbukumbu zako zitategemeana na kiwango chako cha kufanya memorization ya vitu.

Hata leo ukichukua watu wanne uwaambie waelezee sakata zima la kuugua, kufa na kuzikwa kwa magufuli kutakuwa na perspectives mbalimbali hata kama watu hawa wawe wameokoka na wanaongozwa na Roho Mtakatifu.

Cha ajabu ni kwamba wote watakuwa wanasema ukweli lakini kila mmoja anaweza kuwa na focus kubwa kwenye eneo moja halafu asiwe na focus sana kwenye eneo lingine.

Ukisoma mida inayotajwa pale, hakuna hata mmoja aliyesema exact time. Wote walisema yapata saa fulani. Kumbuka hapakuwa na saa za mkononi zaidi ya uzoefu wa kuangalia jua.
 
Unaumiza akili yko, kumwelewasha huyu, ukifuatila huu uzi wenzie wanapote alafu wanarudi, yeye yupo full time, Hakuna mwenye kazi zake zingine ashinde kwenye mada za kipumbavu muda wote.
 
Nafikiri kabla hujahitimisha hivyo ungetoa majibu ya hii sintofahamu ya uumbaji wa mtu kwanza.ni muda gani mtoto tumboni anakuwa mifupa then anakuwa covered na nyama?
Mkuu sio muda tu , Quran karim imeeleza kiungo cha kwanza cha binaadamu kuumbwa akiwa tumboni, na hili hata hii tunayoita sayansi imekubali , hata nadharia ya kwa mdudu inzi ana sumu ilisemwa mwazoni na mtume, na hata jibu la kipi chenye speed ktk kusafiri ktk ya sauti na mwanga
 
Nafikiri kabla hujahitimisha hivyo ungetoa majibu ya hii sintofahamu ya uumbaji wa mtu kwanza.ni muda gani mtoto tumboni anakuwa mifupa then anakuwa covered na nyama?
Mkuu nimeona nikupe njia ya kujifunza kama utapenda , biology ya uumbaji inasemwa ktk Qur-an
surat AL MUUMIN 23:12-14 , mtume (s.w.a) atufundisha kiumbe huchukua takriban siku 40 kubwa Bonge la damu, kisha 40 kubwa Nyanja, na ikifika Meizu 4 hutumwa malaika 2 kwa akili ya kupulizia roho(ALLAH u aalam )

Note: mke wangu ni mjamzito na Leo hii mchana nilimpeka hospital Barracks kilwa road aka fanyiwa ultra sound na tukaambiwa mtoto tumboni ana miezi 4 na week , na mke wangu ana feel movement japo si saana ku feel na dokta ali tu hakikishia kwa muda huu anaweza akawa ana cheza bila ya mama kujua, hili nimethibitisha leo , na pia huto hitaji kuwa muislamu au muumini ndio uilewe Qur-an hapana
 
Basi Hapo Hakuna roho
 
sayansi ya nzi, nzi bawa moja lina ugonjwa na lingine lina tiba, kwa iyo nzi akiingia kwenye kinyaji allah anasema mtumbkukize nzi na mtoe mnyonye upate tiba
Sahih Al-Bukhari 537: “Narrated Abu Huraira: The prophet said “If a house fly falls in the drink of anyone of you, he should dip it (in the drink), for one of its wings has a disease and the other has the cure for the disease.””
 
Unaumiza akili yko, kumwelewasha huyu, ukifuatila huu uzi wenzie wanapote alafu wanarudi, yeye yupo full time, Hakuna mwenye kazi zake zingine ashinde kwenye mada za kipumbavu muda wote.
Kwahiyo wewe unaumia mimi nikiwa online hapa kujaribu kuiokoa nafsi yako na moto wa jehanamu??
 
Kwahiyo kabla ya miezi minne kinachokuwa tumboni sio kiumbe hai? Kwahiyo ukikitoa unakuwa hujaua?
 
Muhammad was either a mental case, a joker, a witch or a certified idiot.😂😂
 
Pima urefu kutokea korodani zilipo mpaka mahali zipo mbavu kisha ukamswalie mtume maana muda huu anaungua huko kuzimu kwa kufanya udanganyifu mkubwa.
 
Quran ni mkusanyiko wa stori za kitaa za enzi zile na plagiarism ya maandiko ya wayahudi na wakristo.

Inashangaza sana watu kusema muhammad ni nabii na mtume wakati alikuwa anakopi vitabu na elimu iliyokuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…