Hayo ni maelezo ya wanasayansi wako uliyotaka wakusaidie
Wanasema sperm cell zikitoka katika korodani zinakuja hapo katika Seminal vesicle na kuwekewa nutrients ambazo ni fractose, Suger, proteins, enzymes,mocus na fluid na kuandaliwa kwa ajili ya kurushwa kwenda katika uke kwa ajili ya kutunga mimba
Kwa hiyo wanasayansi wako wanakubali kuwa sperm inayoenda katika uke wa mwanamke kwa ajili ya kutunga mimba inarushwa kutoka katika Seminal vesicle na hata hiyo kazi ya kurusha sperm inafanywa na misuli ya Seminal vesicle na picha inaonyesha hizo Seminal vesicle zipo kwa ju kidogo ya makalio ya mwanaume
Na Quran inasemaje ?
Quran 86:6
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
7.
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
Maelezo ya wanasayansi wako na Quran yanafanana
Wewe ndio unapingana na facts angalia huo mchoro alafu niambie hapo ilipo Seminal vesicle ukienda juu utakutana na mifupa gani na ukienda pembeni utakutana na mifupa gani kama sio mbavu na uti wa mgongo View attachment 2376370