Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #1,321
Allahu ndio kiumbe kipi hicho?Ukisikia spana ndio hizi sasa hongera bro Allahu akuzidishie afya njema
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jamaa kitabu chake hakijuiShetani hajaandika lakini baadhi ya mazungumzo yake yalinukuliwa na waandishi.
Wewe bora ubaki madrasa tu ukariri kuruani.π Yai ndio damu? Yaani hujui ile damu inatokana na nini?Hivi mnabishania nini? Kama hoja ni sperms kuingia kwenye damu iliyoganda ili kuunda kiumbe hebu tuangalie uhalisia, kama wewe ni mwanamke, kabla hujabishana angalia damu yako ya hedhi (ambayo ni yai ambalo halijarutubishwa so linatolewa nje muda wake umepita) je haina mapande ya damu yaliyoganda? Na kama wewe ni mwanaume na umeshupaza shingo kubishana, kamuulize mama ako mzazi je anatokwa na mapande ya damu iliyoganda au lah! Baada ya comment hii, napenda kusema mjadala huu umefungwa kwa sababu majibu yapo wazi kwa mama zenu waliowazaa. Ukiendelea kubisha ni dhahir hukuzaliwa na mwanamke, tafuta kiumbe kilichokuleta duniani, period!!!!
600Hilo fumbo huenda lisifumbuliwe leo,
Jibu likaja baada ya miaka 1000 ijayo.
Wakati huo wa zamani hata watu waliulizana iweje Mungu aweze kuwafufuwa binaadamu wote wanaokufa,
Je atawajuwaje?wakati wapo wanaokufa na miili yao kuharibika?
Ndy hapo ikaja AYA ya Qurain,,
"NITAWAFUFUENI KILA MMOJA BILA KUPOTEZA ALAMA ZENU ZA VIDOLE."
hakika fumbo hili limevumbuliwa kizazi cha hivi karibuni kwamba kila mwanadamu ana alama za vidole ambazo haziingiliani na mwingine,,
Alama za vidole zipo kwenye Qurain.
Miaka 600 iliyopita.
Gusa link soma alafu urudi na maelezo ya kutoshaUmeshachemka unaandika vitu havina kichwa Wala miguu
Kama unalo andiko Allah anasema korodani zipo mbavuni toa tulione
MoneyTwister Umeongea jambo kubwa kuna baadhi ya Wakiristo sio hapa JF tu mpaka makazini wamekunywa damu ya ukristo wana chuki wana roho mbovu wana hikdi yaani chuki zao zimo ndani ya damu zao na hapo kazi hupati ndio maana kanisa kitu kidogo tu linapiga kelele na vile vile wanajiona wao wako wengi wakati sio kweli .Tanzania kuna udini wa hali ya juu ni bomu liko chini linafoka foka, na ukiwambia ukweli watakuja kama nyuki ndio maana katika suala la elimu wamelidhibiti wao hawataki watoto wa kiislamu wasome au wapate kazi huo ndio ukweli.MIMI SIO MTU WA DINI ILA NAOMBA NIULIZE SWALI?
KWANINI HAWA WAKRISTO WAMEONEKANA NA CHUKI KUBWA SANA NA HAWA WAISLAM SANA SANA UKU JF AU NI MIMI TU NAONA IVO ?
Damu kuganda na ipo kwa siku 40 ni big noHivi mnabishania nini? Kama hoja ni sperms kuingia kwenye damu iliyoganda ili kuunda kiumbe hebu tuangalie uhalisia, kama wewe ni mwanamke, kabla hujabishana angalia damu yako ya hedhi (ambayo ni yai ambalo halijarutubishwa so linatolewa nje muda wake umepita) je haina mapande ya damu yaliyoganda? Na kama wewe ni mwanaume na umeshupaza shingo kubishana, kamuulize mama ako mzazi je anatokwa na mapande ya damu iliyoganda au lah! Baada ya comment hii, napenda kusema mjadala huu umefungwa kwa sababu majibu yapo wazi kwa mama zenu waliowazaa. Ukiendelea kubisha ni dhahir hukuzaliwa na mwanamke, tafuta kiumbe kilichokuleta duniani, period!!!!
Mengi aliajiri waislam wengi sana kwenye media zake.. MO na Bakhresa wamejaza waislam watupu.MoneyTwister Umeongea jambo kubwa kuna baadhi ya Wakiristo sio hapa JF tu mpaka makazini wamekunywa damu ya ukristo wana chuki wana roho mbovu wana hikdi yaani chuki zao zimo ndani ya damu zao na hapo kazi hupati ndio maana kanisa kitu kidogo tu linapiga kelele na vile vile wanajiona wao wako wengi wakati sio kweli .Tanzania kuna udini wa hali ya juu ni bomu liko chini linafoka foka, na ukiwambia ukweli watakuja kama nyuki ndio maana katika suala la elimu wamelidhibiti wao hawataki watoto wa kiislamu wasome au wapate kazi huo ndio ukweli.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mi nahisi hiko kitabu alifuniliwa mwenyewe kwenye ndoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba vitabu vya Dr Moore na vinatumika kwenye vyuo vya afya vinasema Kuna skeleton lipo ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke
Nitajie majina nitainga kivinunua online
Ila kwa sasa ungejibu tu hili , unajua tupo page karibia ya 100 sasa
Angalia wabunge wa serikali waislamu na wakristo angalia mawaziri utapata jibu , wacha kubweka kama mbwa koko umeona bakharesa na mo na mengi tu .angalia sehemu muhimu special kwenye elimu angalia scholership munavopeana .Mengi aliajiri waislam wengi sana kwenye media zake.. MO na Bakhresa wamejaza waislam watupu.
Unaijua chuki wewe , msome Allah muanzilishi wa chukiMoneyTwister Umeongea jambo kubwa kuna baadhi ya Wakiristo sio hapa JF tu mpaka makazini wamekunywa damu ya ukristo wana chuki wana roho mbovu wana hikdi yaani chuki zao zimo ndani ya damu zao na hapo kazi hupati ndio maana kanisa kitu kidogo tu linapiga kelele na vile vile wanajiona wao wako wengi wakati sio kweli .Tanzania kuna udini wa hali ya juu ni bomu liko chini linafoka foka, na ukiwambia ukweli watakuja kama nyuki ndio maana katika suala la elimu wamelidhibiti wao hawataki watoto wa kiislamu wasome au wapate kazi huo ndio ukweli.
Wenye elimu waislam ni almost to zero idadiAngalia wabunge wa serikali waislamu na wakristo angalia mawaziri utapata jibu , wacha kubweka kama mbwa koko umeona bakharesa na mo na mengi tu .angalia sehemu muhimu special kwenye elimu angalia scholership munavopeana .
Mokiti ukibishana na mjinga na ww utakuwa mjinga sasa wewe endelea kama una njaa tuma tigo pesa yako nikurushie pesa ya ugali naona povu linaanza kukutoka,Wenye elimu waislam ni almost to zero idadi
Kumbuka mpaka kipindi Cha Muhammad wasomi walikuwa wakristo ndio walikuwa wakimuandikia koran
Siingii kwenye mtego wa alshababu kirahisiMokiti kama una njaa tuma tigo pesa yako nikurushie pesa ya ugali naona povu linaanza kukutoka,
Tena kama Nyerere asingechukua shule za wakristo basi hata hao waislamu wachache leo wasingekuwa na elimu.Angalia wabunge wa serikali waislamu na wakristo angalia mawaziri utapata jibu , wacha kubweka kama mbwa koko umeona bakharesa na mo na mengi tu .angalia sehemu muhimu special kwenye elimu angalia scholership munavopeana .
πππTena kama Nyerere asingechukua shule za wakristo basi hata hao waislamu wachache leo wasingekuwa na elimu.
Asilimia zaidi ya tisini ya waislamu wenye elimu kuanzia miaka ya 50 mpaka 90 amepata masomo yake seminari au kwenye shule za kanisa zilizotaifishwa.
Nyie mlikuwa mnajazana madrasa kusoma quran na mwalimu akaamua kuwatoa huko na kuwapa elimu. Mkapa akawapa chuo ambacho ni mali ya uma kwasababu hamna uwezo wa kujenga chochote.
Marehemu Kigoma Malima mulikwenda kummaliza kule UK .Kisa ni Waziri wa elimu .πππ
Allah mwenyewe alisema wakristo ni wasomi ,Marehemu Kigoma Malima mulikwenda kummaliza kule UK .Kisa ni Waziri wa elimu .