Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #1,361
Kwa sasa tupo karibu bilioni 3.We ni mwanafunzi wangapi kati ya wale 12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa tupo karibu bilioni 3.We ni mwanafunzi wangapi kati ya wale 12
We chizi soma hii1. Hakuna mahali popote katika Biblia ambapo Mohamad ametajwa.
2. Lugha ya Cheo ndio inakuwa wingi? Kwamba cheo cha Mungu ndio kinatumia Wingi? Hebu acheni ujuha nyie watu
Ili muendelee kuleta coradictions kwenye bibilia sioKwa sasa tupo karibu bilioni 3.
Hakuna contradictions kwenye biblia. Maswali yenu yote nimeyatolea ufafanuzi pamoja na watu wengi humu ndani.Ili muendelee kuleta coradictions kwenye bibilia sio
Sisi Mungu wetu ni Baba, Mwana na Roho Mtakatifu hivyo anaweza kuongea kwa wingi.We chizi soma hii
Mwanzo 1:26
Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu. Nipe Idadi ya Mungu apo wako wangapi?
Hivi uyo mtoto nae alikua MunguSisi Mungu wetu ni Baba, Mwana na Roho Mtakatifu hivyo anaweza kuongea kwa wingi.
Sasa wewe utuambie wako akina Allah wangapi?
Mungu ni mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.Hivi uyo mtoto nae alikua Mungu
Unalazimisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Nani kakwambia kuwa damu ile inatokana na yai. Rudi darasa la sita utaelewa tena damu inatoka wapi. Unajua kitu kinaitwa placenta.Maswali yangu
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
NITAJIBU KWA JINSI NILIVYOISOMA SAYANSI KWA ELIMU YANGU NDOGO HII
1. Ndio, Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda
2. Ndio Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la Mwanamke. Damu hiyo iliyoganda ndio inaitwa(Female Gamete/Egg Cell/Ovum). Ukitaka kuamini hilo ni hivi.
Hiyo Damu iliyoganda au Yai la kike kuna kipinfi hutoka katika Ovary kwa ajili ya urutubishaji(Fertilization) na husogea na kukaa katika Falopian Tube kwa ajili ya kusubiri hiyo fertilzation ndani ya siku takribani 3. Sasa ikikosa Sperm ya kiume hujivunjavunja(Disintegrate) na kutoka kama Bleed.
Kumbuka hilo yai limezungukwa na damu(kwakuwa damu ni Cell na zimegawanyika yani White blood cell, red blood cell,. plasma membrane na platelete), Na ndio mana hutoka kama Damu(bleed) hapo tunasema Mwanamke anakuwa kwenye Hedhi.
3)Quran inafahami kuhusu yai la Mwanamke ndio hilo pande la damu iliyoganda au Egg Cell/Ovum.
4)Hapana
5) Inamaanisha inamaanisha baada ya pande la damu/Egg cell kufanikiwa kupata Sperm(Mbegu za Kiume) basi hapo mimba ndipo inapoanzia kutungwa na process zote tumboni kwa Mama ila vyote hivyo hufanyika kwa Idhini ya MWENYEZI MUNGU au kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Na kuna Miezi ikifika Mtoto akiwa tumbo basi mtoto atapewa pumzi kwa uwezo wa Mungu.
We we kua serious basi yupi hapo kati ya majina hayo ndiyo Mungu ili nimjue ni Baba mwenyewe au Mtoto au uyo roho yupi apo ni MunguMungu ni mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Umeelewa maana ya neno( yuko naHapo tàyari umemtaja Baba, Mwana na Roho Mtakatifu kwasababu Mungu ni mmoja.
Embu somaMungu ni mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Andiko liko sahihi.
Mungu hapo ni mmoja tu, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.We we kua serious basi yupi hapo kati ya majina hayo ndiyo Mungu ili nimjue ni Baba mwenyewe au Mtoto au uyo roho yupi apo ni Mungu
Unaongelea mambo gani?Umeelewa maana ya neno( yuko na
)
Hivi hapo kwenu uwe wewe awe baba na awe mtoto nikikuuliza mpo wangapi utajibu vipi?Mungu hapo ni mmoja tu, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Unataka kukimbia ukweli kuhusu lugha ya wingi iliyo tumika kile ni cheo na sifa na Mungu apangiwi maneno ya kunenaUnaongelea mambo gani?
Andiko liko sahihi, Mungu ni mmoja tu wala hakuna mwingine. Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.Embu soma
Isaya 45 pekee Mungu anasema, "Mimi ni Mwenyezi-Mungu, wala hakuna mwingine; hakuna Mungu mwingine ila mimi" (aya ya 5,6,18).
Sasa wewe unatuletea mapichapicha
Wewe unawataja watatu alafu unasema mmojaAndiko liko sahihi, Mungu ni mmoja tu wala hakuna mwingine. Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Mungu ni mmoja tu. Anaitwa Yesu, Yehova, Yahweh.Wewe unawataja watatu alafu unasema mmoja
Yale uliyo yataja ndiyo majina sasaHayo ni majina ya Mungu mmoja, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Jina la Mungu ni Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Majina mengine ni Yesu Kristo, Yehova, Yahweh..Yale uliyo yataja ndiyo majina sasa
Ila haya uyo Baba ni mwingine Roho ni mwingine na
Mwana ni mwingine