Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Yohana 1:1-3

1. Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine cho chote, aliku wapo Neno. Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu.

2 Tangu mwanzo Neno amekuwa na Mungu.

3 Vitu vyote viliumbwa na yeye, wala hakuna cho chote kilichoumbwa ambacho hakukiumba.
Nyinyi wagalatia ni wa kuonewa huruma sana

Huyo muandishi wa kitabu chaYohana aliyeandika hayo maneno na kukudanganyeni kuwa Yesu ni Mungu Hadi Leo hii huyo mwandishi aliyeandika hayo maneno hajulikani

Watu walimtafuta ili athibitishe hayo maneno aliyapata wapi lakini hawakufanikiwa Kujua background yake Wala alikoishi

Hicho kitabu Cha Yohana kiliokotwa Egypt miaka 50 baada ya Yesu kupaa

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however, does not include the same incidents or chronology found in the other three Gospels,
 
Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel.
Kwahiyo unakubaliana na mwandishi kwamba Mark is the most accurate gospel? Do you believe what's written in the book of Mark?
 
Quran ni mkusanyiko wa stori za kitaa za enzi zile na plagiarism ya maandiko ya wayahudi na wakristo.

Inashangaza sana watu kusema muhammad ni nabii na mtume wakati alikuwa anakopi vitabu na elimu iliyokuwepo.
Mkuu hapo ndipo munapoa toa credits wenyewe kwa Quran , narudia na pia nakushauri baki na imani yako maana vitu vingine havitaji uwe na roho mtakatifu wala maji ya baraka ili uvielewe, narudia hakuna kitabu cha dini kinachoelezea uumbaji wa mwanadamu , maumbile isipokua Quran, sasa kama unahisi kipo kitabu cha kiimani kinachoelezea hili jambo ndio ukilete hapa ili watu wapate faida ,

Note mkuu mtume alifaulu tena sna ,
 
Mtume huyo aliyesema sperm zinatokea sehemu kati ya mbavu na uti wa mgongo?😂 Tena anasema damu iliyoganda inageuka kuwa nyama, halafu nyama inakuwa mifupa ambayo baadae inavalishwa nyama??🤣🤣

Allah huyu anayesema kwamba mimba sio kiumbe hai katika miezi minne ya kwanza ya ujauzito anapaswa kutupwa kwenye moto wa milele maana ndiye chanzo cha abortion.
 
Manuscripts zetu zote zipo wazi kwenye library pale Vatican na London. Humo utaona yote aliyokopi Muhammad.
Mkuu tatizo lako wewe ni mbishani tena ni mbishi ila upo empty , kuna muandishi humu humu jamii forum ana usifia uislamu ingawaje si muislamu, hyo sayansi yenyewe tu inaufuata uislamu sembuse hvo vitabu vya kuchakachuliwa kila ma boss wa kipenda wana badili mtaala,
 
Acha kuleta porojo zako. Soma jibu nimekuandikia hapo juu kuhusu udanganyifu mkubwa wa Allah.
 
Biblia ipo moja tu kwa wakristo. Wakatoliki wanaongeza vitabu kadhaa kimakosa.
Sasa kama kweli wewe una high IQ kwa nini usipingane na hao wenzako wanao zidisha vitabu vyenu?, alafu eti unaongopa watu tu , hilo ndio kosa la wakristo toka kifo cha yesu ni magumashi hadi hii leo, hapo2 kwanza nchekeeee
 
Biblia sahihi inapatikana kwenye maduka kila mahali hivyo hakuna sababu ya kupingana na hao walioamua kuongeza vitabu vyao.

Wewe eleza kwanini manuscripts za quran wanazo wazungu. Kwanini hazipo mecca na medina? Mnajuaje kama ndio zilizokuwepo zamani?
 
Dogo, quran manuscripts mnazitumia ni zile Vatican wameandika na kuwapatia.
Mkuu mimi nakusihi acha hayo mambo, acha huu uzi , huna lolote ujualo bali ni wivu tu wa imani, Mimi nina heshimu biblia kama kitabu cha wakristo na ninao marafiki wa kristo ila biiblia serious kimejaa magumashi, hakisemi ukweli na kinakuweka njia panda, aya chache tu ndio zinazosema ukweli ,
 
Back
Top Bottom