Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kama unakumbuka ulipo ulizwa unajua maana ya neno Alaqa
Sasa ndio ushatajiwa unataka nini tena umepewa maana ya neno Alaqa na bado hutaki sina msaada kwako tena we ng'ang'ania maana yako tu hiyo.
Taja ulipolitoa , nimesoma wanazuoni kama watatu wote wamesema ni damu iliyoganda , hii leech mmetoa wapi,
 
Nyie jamaa bana, naona unajaribu kuyapinga maneno ya mtume na kuweka tafsiri zako. Muhammad anasema for a similar period wewe unasema the same period. Kweli mmechanganyikiwa.
We chizi umepewa hadithi hapo sio maneno yangu hayo unapaswa kujifunza kwanza sio kukurupuka tu.
 
Nyie jamaa bana, naona unajaribu kuyapinga maneno ya mtume na kuweka tafsiri zako. Muhammad anasema for a similar period wewe unasema the same period. Kweli mmechanganyikiwa.
Hujui lugha rudi kwa kiarabu harafu upinge na hapo nimetoa hadithi mbili na zote ni za Muslim.
 
Kha hiyo ni hadithi bro we huoni kama ni hadithi tatizo mmesahau kua hicho ni kiarabu na kama watu wakubwa na elimu zao wanakubali nyinyi ni akina nani kwangu.
Watu wakubwa na akili zao wamesema ni clot na hawajaweka huyo mdudu wako wa kwenye majaruba leech

Gusa link , usije tu akanza kusema sunnah ni web ya wakristo

Wewe ni akili ndogo, zile za madrasa, nakuacha. Hujibu hoja unakimbilia kwenye vihoja.
HAHAHA! naona umechemka.
Kati ya mm na ww nani hajibu hoja za mwenzake? kama sio ww?
Nimekupa challenge, utuletee maana za maneno, AALAQA na NUTFAH, kwani mpaka sasa umetuletea?
Si umerukia kitu kingine. coz hujui hata kuisoma hiyo QURAN kwa lugha yake ya kiarabu, unategemea tafsiri za Kiswahili coz ww ni mbabaishaji tu huna lolote.
Hapo tu nimejaribu kuyaandika kwa irabu za kiswahili ili tu kukupa mwanga, je nikiyaandika kwa kiarabu si ndio kizungumkuti kabisa kwako 😂😂
So, nishagundua kitambo tu ww ni mbabaishaj tu, huna lolote aka mpumbavu.
Na kubishana na mpumbavu ni kupoteza muda tu.
 
Ngoja nikuletee matini ya kiarabu tupu ili angalau usafishe macho. Hahahhaa
Leo utataja mdudu leech umemtoa wapi?
Umeshapitia stage za utetezi wa waislamu
1. Umetoa wapi , sio Hadith Sahih
2. Haisemi hivyo tafuta sheikh akueleweshe
3. Kwa matini ya kiarabu sio hivyo ,ngoja nikuwekee

Stage ya mwisho
4. Allah knows best

Lazima tuakikishe unafikia stage ya mwisho
 
HAHAHA! naona umechemka.
Kati ya mm na ww nani hajibu hoja za mwenzake? kama sio ww?
Nimekupa challenge, utuletee maana za maneno, AALAQA na NUTFAH, kwani mpaka sasa umetuletea?
Si umerukia kitu kingine. coz hujui hata kuisoma hiyo QURAN kwa lugha yake ya kiarabu, unategemea tafsiri za Kiswahili coz ww ni mbabaishaji tu huna lolote.
Hapo tu nimejaribu kuyaandika kwa irabu za kiswahili ili tu kukupa mwanga, je nikiyaandika kwa kiarabu si ndio kizungumkuti kabisa kwako 😂😂
So, nishagundua kitambo tu ww ni mbabaishaj tu, huna lolote aka mpumbavu.
Na kubishana na mpumbavu ni kupoteza muda tu.
Mpo stage ya utetezi ya lugha ya kiaarabu

Lazima tuwafikishe kwenye Allah knows best
 
Kasome post #1 nimeweka tafsiri kutoka kwa mwanazuoni wa kiislamu.

Halafu kabla hujaonekana mpumbavu zaidi jitahidi usome uzi huu kuanzia mwanzo.
 
Mpo stage ya utetezi ya lugha ya kiaarabu

Lazima tuwafikishe kwenye Allah knows best
ww ndio BABA LA WAJINGA KABISA hao kina champion wanafuatia nyuma yako.
Mada kama hizi ulishagaanzisha kwenye thread mbali mbali na tukavunja hoja zako.
Mpaka naona moderators wakaamua kufuta THREAD.
Naona kila baada ya muda Fulani mnaanzisha mada, sijui Jua kuzama kwenye matope mara pande la damu ili mradi mlete vurugu tu..
 
Back
Top Bottom