Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Leo utataja mdudu leech umemtoa wapi?
Umeshapitia stage za utetezi wa waislamu
1. Umetoa wapi , sio Hadith Sahih
2. Haisemi hivyo tafuta sheikh akueleweshe
3. Kwa matini ya kiarabu sio hivyo ,ngoja nikuwekee

Stage ya mwisho
4. Allah knows best

Lazima tuakikishe unafikia stage ya mwisho
Hahahah nakuja na neno leech sasa mwenzio huko nimempa matin ya kiarabu kamsaidie
 
Moderator atakupa ban ukipost lugha nje ya kiingereza na kiswahili.
Hahahah nilijua tu huna unacho kijua nilipo kupa hadithi zake ukasema ni tafsiri na siyo hadithi sasa nimekupa matin zake hizo ili usafishe macho na uamini kua nilikua naandika hadithi pale na sio maneno yangu nakupeni pole tu nyinyi. Basi
 
Hivi ile maana mmeieka wapi na mbona mnakataa sana ukweli mkishapewa
Ingia hapa , imeweka wazi waislamu Kuna stage mnakuwa damu mfu kwa siku 40 ndani ya mji wa uzazi , Kuna kiaarabu na kingereza

Usije tu kusema hii ni web ya wakristo

ww ndio BABA LA WAJINGA KABISA hao kina champion wanafuatia nyuma yako.
Mada kama hizi ulishagaanzisha kwenye thread mbali mbali na tukavunja hoja zako.
Mpaka naona moderators wakaamua kufuta THREAD.
Naona kila baada ya muda Fulani mnaanzisha mada, sijui Jua kuzama kwenye matope mara pande la damu ili mradi mlete vurugu tu..
Thread mnazoanzisha nyie huwa zinafutwa kwasababu hampendi kuwa wastaarabu. Mnapaniki na kutoa matusi. Mara nyingi hamjibu hoja bali mnaleta vihoja.
 
Shida kubwa mliyonayo hamuanzishi mada kwa lengo la kujifunza.
Lengo lenu nikuanzisha mada kwa nia ya kuuzalilisha uislamu kwa sababu ya chuki zenu binafsi.
Mfano ww, umeanzisha mada yako hii ukijifanya kuna maswali yamekutatiza baada ya kulinganisha kile ulichosoma kwenye Quran na biolojia yako ukihitaji tukusaidie majibu.
Alaf baada ya kupatiwa majibu, unageuka na kujifanya mjuaji na kupinga kile ulichojibiwa, kumbe tayari ulikua na majibu yako pembeni, sasa uliaanzisha uzi kwa sababu gan? na majibu kumbe ulikua hayo?
Si ungekausha tu na kubaki na majibu yako.
“SASA TUKISHAJUA TUNA ARGUE NA MPUMBAVU NA SISI TUNAMJIBU KULINGANA NA UPUMBAVU WAKE”
 
Lengo lenu nikuaanzisha mada kwa nia ya kuuzalilisha uislamu kwa sababu ya chuki zenu binafsi.
Mfano ww, umeanzisha mada yako hii ukijifanya kuna maswali yamekutatiza baada ya kulinganisha kile ulichosoma kwenye Quran na biolojia yako ukihitaji tukusaidie majibu.
Alaf baada ya kupatiwa majibu, unageuka na kujifanya mjuaji na kupinga kile ulichojibu, kumbe tayari ulikua na majibu yako pembeni, sasa uliaanzisha uzi kwa sababu gan? na majibu kumbe ulikua hayo?
Si ungekausha tu na kubaki na majibu yako.
“SASA TUKISHAJUA TUNA ARGUE NA MPUMBAVU NA SISI TUNAMJIBU KULINGANA NA UPUMBAVU WAKE”
Mnajibu kwa kupotosha , kumbuka Allah aliwaambia mnaweza eneza dini kwa kumdanganya mtu , unaitwa uongo mtakatifu takiya
 
Hakuna anayejibu kwa kupotosha,
Shida ni mtu kung’ang’ania tafsiri moja anayotaka yeye na kukataa tafsiri ya masheikh mbalimbali waliobobea ktk fani husika.
Alafu linakuja jitu limoja hata kiarabu halijui, hata kusoma tu Quran halijua halaf linajifanya lijuaji.
Limtu kama hilo tunalijibu kulingana na akili zake 😀😀
Alaf reference ya kile tunachojadili hapa mbona zipo kwenye tafsiri mbalimbali kama; sahih international, Yusuf Ali, Mohsin Khan, Dr Mustafa Khattab etc.
Shida yenu hamtaki kusoma na kubaki kung’ang’ania ujinga…..
 
Shida kubwa mliyonayo hamuanzishi mada kwa lengo la kujifunza.
Lengo lenu nikuanzisha mada kwa nia ya kuuzalilisha uislamu kwa sababu ya chuki zenu binafsi.
Mfano ww, umeanzisha mada yako hii ukijifanya kuna maswali yamekutatiza baada ya kulinganisha kile ulichosoma kwenye Quran na biolojia yako ukihitaji tukusaidie majibu.
Alaf baada ya kupatiwa majibu, unageuka na kujifanya mjuaji na kupinga kile ulichojibiwa, kumbe tayari ulikua na majibu yako pembeni, sasa uliaanzisha uzi kwa sababu gan? na majibu kumbe ulikua hayo?
Si ungekausha tu na kubaki na majibu yako.
“SASA TUKISHAJUA TUNA ARGUE NA MPUMBAVU NA SISI TUNAMJIBU KULINGANA NA UPUMBAVU WAKE”
Lengo langu kuu ni kuwasaidia waislamu kujua kwamba kitabu ambacho wameweka imani juu yake hakipo sahihi. Kina udhaifu mwingi hivyo ni vyema wakakimbia huko na kuwahi kwa Yesu Kristo kwa ajili ya msamaha wa dhambi na uzima wa milele.

Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.

The birmingham quran manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world.

This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 AD
 
Hakuna anayejibu kwa kupotosha,
Shida ni mtu kung’ang’ania tafsiri moja anayotaka yeye na kukataa tafsiri ya masheikh mbalimbali waliobobea ktk fani husika.
Alafu linakuja jitu limoja hata kiarabu halijui, hata kusoma tu Quran halijua halaf linajifanya lijuaji.
Limtu kama hilo tunalijibu kulingana na akili zake 😀😀
Alaf reference ya kile tunachojadili hapa mbona zipo kwenye tafsiri mbalimbali kama; sahih international, Yusuf Ali, Mohsin Khan, Dr Mustafa Khattab etc.
Shida yenu hamtaki kusoma na kubaki kung’ang’ania ujinga…..

Kwa hiyo Kuna Tafsir waislamu mmenandika kwa kupotosha
Embu gusa link mtuambie kwa nini mnapotosha
Kwa kusema ni clot kumbe ni mdudu leech

23:14 mbona aya nyepesi na inajieleza.
Baada ya shahawa kinachofanya ni pande la damu.
Kwani wanapotoa mimba changa unadhani ni Nini kinachoharibiwa?
 
Yaani wewe umkosoe mungu aliyekuumba
[emoji16][emoji16][emoji16]
306717785_5525862210860732_2885162847610841606_n.jpg
305813278_3310772562493878_8005404046545047580_n.jpg
 
23:14 mbona aya nyepesi na inajieleza.
Baada ya shahawa kinachofanya ni pande la damu.
Kwani wanapotoa mimba changa unadhani ni Nini kinachoharibiwa?
Hujafiatilia mada, waislam wenzako sasa hivi wameshasema quran haizungumzii pande la damu.

Quran mnaibadilisha kila mnapoachwa uchi na sayansi.
 
Back
Top Bottom