Hakuna anayejibu kwa kupotosha,
Shida ni mtu kung’ang’ania tafsiri moja anayotaka yeye na kukataa tafsiri ya masheikh mbalimbali waliobobea ktk fani husika.
Alafu linakuja jitu limoja hata kiarabu halijui, hata kusoma tu Quran halijua halaf linajifanya lijuaji.
Limtu kama hilo tunalijibu kulingana na akili zake 😀😀
Alaf reference ya kile tunachojadili hapa mbona zipo kwenye tafsiri mbalimbali kama; sahih international, Yusuf Ali, Mohsin Khan, Dr Mustafa Khattab etc.
Shida yenu hamtaki kusoma na kubaki kung’ang’ania ujinga…..