professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Chukua hii maana ya leech Chizi weweLeo utataja mdudu leech umemtoa wapi?
Umeshapitia stage za utetezi wa waislamu
1. Umetoa wapi , sio Hadith Sahih
2. Haisemi hivyo tafuta sheikh akueleweshe
3. Kwa matini ya kiarabu sio hivyo ,ngoja nikuwekee
Stage ya mwisho
4. Allah knows best
Lazima tuakikishe unafikia stage ya mwisho