Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Leo utataja mdudu leech umemtoa wapi?
Umeshapitia stage za utetezi wa waislamu
1. Umetoa wapi , sio Hadith Sahih
2. Haisemi hivyo tafuta sheikh akueleweshe
3. Kwa matini ya kiarabu sio hivyo ,ngoja nikuwekee

Stage ya mwisho
4. Allah knows best

Lazima tuakikishe unafikia stage ya mwisho
Chukua hii maana ya leech Chizi wewe
Screenshot_20221006-225344.jpg
 
Watu wakubwa na akili zao wamesema ni clot na hawajaweka huyo mdudu wako wa kwenye majaruba leech

Gusa link , usije tu akanza kusema sunnah ni web ya wakristo

Unapo ng'ang'ania Google tutazidi kunyoosha maana nisha kupa na chanzo ushapewa utafute
 
Lengo langu kuu ni kuwasaidia waislamu kujua kwamba kitabu ambacho wameweka imani juu yake hakipo sahihi. Kina udhaifu mwingi hivyo ni vyema wakakimbia huko na kuwahi kwa Yesu Kristo kwa ajili ya msamaha wa dhambi na uzima wa milele.

Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.

The birmingham quran manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world.

This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 AD
Hapo ndipo mnapo yumba sana na kuwaona wapuuzi tu, kuanzisha mada ndani ya mada.
Mada inazungumzia, “Creation of man in the Quran” wewe tena unaanza kuleta habari sijui Yesu kristo mara Quran manuscript. Hii inafanya ku divert the centre of our topic na kubishania mambo mengine nje ya topic na kupelekea uzi kuwa mrefu na vurugu nyingi.
Unaonekana hata hujui mtume kazaliwa lini, lini kaanza kupewa ufunuo.
Hiyo age hapo ni ya makadirio na sio exactly ndio maana wanatoa btn this and this, carbon 14 technology sio kwamba na yenyewe iko exactly correct 100%.
NAOMBA MADA ISIELEKEE HUKU COZ HIZI HOJA ZAKO ZIPO NJE YA MADA.
 
Wewe hakuna muislamu alie ikataa tafsiri ya pande la nyama maana iko sahihi ila kichwa chako kilivyo kigumu wanakupa maana halisi ya neno Alaqa ili ukichaa wako ukutoke
Kama tafsiri ya pande la damu na nyama ni sahihi basi hiyo inatosha. Pande la damu/nyama linaishi miezi minne bila uhai.
 
Shida yenu ni kujifanya wajuaji,
Kiarabu ni lugha pana, neno moja la kiarabu linaweza kua na maana nyingi.
Shida yenu ni kung’ang’ania maana moja tu na kukataa zingine ndio hapo sasa unapoonekana zuzu..
Kwahiyo hilo neno hapo linetumika kwa tafsiri mbalimbali? Ndio maana kila muislamu anayo tafsiri yake na version yake ya quran.
 
Unalazimisha tafasir zako hii inaonesha namna gani huna elimu
Kwanini hili hamtaki kulitolea ufafanuzi?

Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.

The birmingham quran manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world.

This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 AD
 
Shida yenu ni kujifanya wajuaji,
Kiarabu ni lugha pana, neno moja la kiarabu linaweza kua na maana nyingi.
Shida yenu ni kung’ang’ania maana moja tu na kukataa zingine ndio hapo sasa unapoonekana zuzu..
Leteni ufafanuzi wa hili jambo acheni kurukaruka:

Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.

The birmingham quran manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world.

This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 AD
 
Kwanini hili hamtaki kulitolea ufafanuzi?

Quran ilianza kuandikwa kabla ya Muhammad kupata maono ya jibril kule mapangoni.

The birmingham quran manuscript is currently believed to be the oldest Quran in the world.

This manuscript consists of two leaves of parchment that are a fragment of an early Quranic manuscript dated between 568 AD – 645 AD
Umeamua kubadili mkao nakuja hukohuko pia
Leo nakujibu Short cut alaf Mungu akipenda kesho naku malizia
Manuscript haitutishi hata kama ingekuwa imeandikwa kabla ya dunia kuumbwa
 
Kwahiyo hilo neno hapo linetumika kwa tafsiri mbalimbali? Ndio maana kila muislamu anayo tafsiri yake na version yake ya quran.
Bahati nzuri wanao kujibu wanakuekea na screen shot ili usiseme kua limetungwa yani iko hivi ili uijadili quran tukufu unapaswa usome haswa na sio Google
Bro.
Kila mtu ana andika anacho ona yeye yuko sahihi mmefeli pakubwa baada ya kuyatumia maneno ya quran kwa tafsiri sisisi
 
Kwahiyo mwakani tutegemee tafsiri nyingine maana mtakuwa mmefanya editing ya quran?
Wewe huelewi ni hivi neno lenyewe lina maana zaidi ya moja na zote ni sahihi hapo sio mwakani hata sasa ukileta mada inayohusu kitu cha msingi unajibiwa
Quran haisubir mwakani bro kwani wewe uliyatarajia majibu si ulikuwa na majibu yako kichwani
Hiyo ndiyo quran tukufu
 
Back
Top Bottom