Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Huyu mpuuzi naomba mumpuuze! Ila kama mna Mda wa kupoteza fine jadilianeni nae!
Huyu kafiri anataka kushindana na kitabu cha Allah aka Quran wazungu wenyewe wamechemsha kushindana na Quran . Na Wamethibitisha Quran iliyopo na ile aliyo iacha Mtume Muhammad rehem za za Mungu ziwe juu yake pamoja na amani. Ni ile ile Quran haijabaidilika.Tofauti na Kitabu cha Biblia ina mikono ya watu wamekiharibu kitabu cha Biblia Mitume feki Waliokuja baada ya Bwana Yesu kuondoka duniani.
 
Hahaha! Naona umeishiwa hoja.
Umeamua kurukia issue nyingine tena.
Ulitakiwa ufanye research kwanza mtume Muhammad alianza kuteremshiwa wahyi lini, Ndio sasa uje na hako ka hoja kako dhaifu ya manuscript ambayo pia ume copy and paste.
Sijaona hoja yoyote hapo ni utumbo tu.
Alaf nishakujibu huko juu, hiyo Carbon14 dating yenyewe haiko 100% correct huwa inafanya makisio tu.

Quran ilikua ishaandikwa kitambo huko mbinguni kwenye ‘Lawhin maufudhwi’ I. e. The preserved tablet kabla ya kuteremshwa duniani.
 
Kwahiyo hilo neno hapo linetumika kwa tafsiri mbalimbali? Ndio maana kila muislamu anayo tafsiri yake na version yake ya quran.
Inaonekana haujui hata unachokiongea.
Haujui tofauti kati ya version na translation (tafsiri).
There is only one version of Quran and its in Arabic language hizo nyingine za lugha nyingine ni tafsiri ama translation kutoka lugha ya kiaarabu (ambayo ndiyo the language of Quran ) kwenda lugha mbalimbali.
Na Quran haijawahi kubadilika since its creation by the Almighty. Iko vile vile…
 
Quran ambayo ni ya kale zaidi ipo Birmingham England na ilianza kuandikwa na wazungu kabla Muhammad hajaanza kutembelewa na jibril mapangoni.

Bahati mbaya waislamu hamjibu hoja bali mnapenda vitisho na kejeli. Anyway, hivyo ndivyo mmefundishwa tangu madrasa. Mmekuwa watu wa kukariri na kumpigania Allah.
 
Kweli wewe umeivishwa vizuri hapo madrasa. Goodluck fighting for Allah and Muhammad.
 
Quran was written by Europeans years before Muhammad.. he was just used because he wanted to be famous and create a religious authority over the arabs. He was envying the Christians and jews and got exploited through waraqua.
 
we naye ni boya tu hauna tofauti na mtoa mada, umeona tunazungumzia kuokoka hapa?
Kama unataka mada ya kuokoka fungua thread yako…
Endelea kufuga majini na kukariri hapo masjidi ili ukienda kuungua milele iwe kihalali.
 
Quran was written by Europeans years before Muhammad.. he was just used because he wanted to be famous and create a religious authority over the arabs. He was envying the Christians and jews and got exploited through waraqua.
Hahahah umeamua kutoa maneno yako ya ajabu ajabu baada ya kuona ukweli
Yani we andika utakavyo waambie ao wazungu wako walete hata aya moja
 
Hakuna alie anzisha leech sema ulikuwa hujui kama miongoni mwa maana za Alaq leech ipo
Koran 96:2
Pickthall
Createth man from a clot.
Yusuf Ali
Created man, out of a (mere) clot of congealed blood:
Dr. Mustafa Khattab
created humans from a clinging clot
J.Arbery
created Man of a blood-clot.
 
Maana zaidi ya moja na yote yapo sahih, ndio maana lazima muhammad ndie atoe maana ya neno
na Muhammad kasema
  • Muhammad the true and truly inspired, narrated to us, "The creation of everyone of you starts with the process of collecting the material for his body within forty days and forty nights in the womb of his mother. Then he becomes a clot of thick blood for a similar period (40 days).....Sahih al-Bukhari 7454
 
Aya ipo wazi kabisa.ungesoma hyo 23:12-15.
Quran haina shaka
23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Allah Mbora wa waumbaji.
  1. Damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi
  2. Damu iliyoganda inakuwa Pande la nyama
  3. Pande la nyama linakuwa mifupa without flesh (mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi)
  4. Mifupa inakuja kuvikwa nyama
Allah ni mbora wa waumbaji? Allah anajifananisha na waumbaji wapi? na kwa nini ajione yeye bora kulikwa wao?

N:B Muhamma anasema sperm inakaa ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 kinyume kabisa na Sayansi inayosema siku 5 : When the drop of (semen) remains in the womb for forty or forty five nights,.... Sahih Muslim 2644
 
Quran was written by Europeans years before Muhammad.. he was just used because he wanted to be famous and create a religious authority over the arabs. He was envying the Christians and jews and got exploited through waraqua.
Just bring your evidence and references and not just blah blah and mere speculations from your European masters.
Uongo wa wazi kabisa, hebu tutajie hao Europeans walio muandikia Muhammad Quran during his period.
Unabwabwaja tu vitu usivyovijua.
Quran inajitetea yenyewe, ishaweka challenge, “ tuleteeni hata surah moja tu mfano wa hii Quran”
Unganikeni wote pamoja na mashetani, Christians, Buddhists, Hindus, Europeans, Americans, etc mlete hata surah moja tu mfano wa hii Quran kama mnaweza😜😜
 
Kwahiyo kama muhammad alikuwa hajui kusoma, kwanini jibril alikuwa anamkaba na kumtaka asome?

Jibril alikuwa anataka asome kitabu gani ikiwa quran haikuwepo?
Muhammad s.a.w ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu kama alivyokua Musa, Ibrahim, issa, Ismail na wengine na kama navyoelewa ni nn maana ya mjumbe.
Ni kweli alikua hajui kusoma na akabanwa kweli na sio kukabwa kama unavyomaanisha ili asome na alichotakiwa kusoma ni aya ya kwanza kabisa kuteremshwa ktk surat Al'alaq ambayo inapatikana ktk kitabu cha Qur-an.
 
Quran inaweka challenge wakati tayari ina maneno mpaka ya shetani, maneno ya majini, wadudu , binadamu, ndege n:k
  • Anza na talking ants, maneno ya ant ndani ya koran
    • 27:18. ...., alisema mdudu chungu mmoja: Enyi wadudu chungu! Ingieni majumbani mwenu, asikupondeni Sulaiman na majeshi yake bila ya wao kutambua.
  • Aya za Binadamu, Sulaiman
    • Sulaiman .....akasema: Imekuwaje, mbona simwoni Hud-hud, au amekuwa miongoni mwa walio ghibu?
  • Aya ya Ndege Hud Hud
    • 27:22. Basi (Hud-hud) akakaa si mbali na akasema: Nimegundua usilo gundua wewe, na ninakujia hivi kutoka nchi ya Sabai, na nakuletea khabari za yakini.
  • Aya ya shetani
    • Hijr:39. [Iblis (Satan)] said: "O my Lord! Because you misled me,.....
  • Sura ya majini , hii ni almost surah nzima ni yao wanaongea
    • Jinn: 1 - ....kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…