professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Nitajie wewe mwandishi ya hiyo manuscript nikupopoe hapaKwahiyo hamfahamu mwandishi ni nani?
Koran nzima Hakuna chochote Allah aliwahi sema kiwe kikawa , iyo ni maneno tu katoaUnalazimisha maana unayo taka wewe waislamu wanacho jua ni hiki kuhusu AllahuView attachment 2380745
Hahahah Huna hoja tena enh mnaokota vipande hamvielewi mnajiona ndo mshasomaKoran nzima Hakuna chochote Allah aliwahi sema kiwe kikawa , iyo ni maneno tu katoa
Baada ya kuumbuka umeona uikate aya hapo pekeyake imejieleza kua unavyoona wewe Mungu anafufua kwa namna tofauti na ile iingize aya katikati iliupate maana ya aina yoyote utakayo ifikiria ya ufufuaji .Koran 2:73 So This is how ˹easily˺ Allah brings the dead to life,
Msingi ndio huo Allah ndio njia yake kufufua wafu , inamaana nyie kina Abdool siku ya mwisho mtakuwa unapigwa na pande la nyama unafufuka unapiga mwingine anafufuka ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23] an heshimika kama Hindu mmempa na surah kabisa
, kusema kubadili ratiba ya kula hilo ni neno tu lakini athari yake si inafahamika? Malengo ya kufanya hivyo si hutimia?Hamna kinachobadilika zaidi ya kwamba mnaacha kula mchana halafu mnakula usiku kucha.
Ni kweli tunarudia na hakuna kipya, je kuna ubaya kufanya hivyo? Jibu ni hakuna.Swala tano ni vitu repetitive, hakuna kipya. Mnarudia kitu kilekile mara tano kwa siku.
Ni kweli kiasi, na hiyo hutokana na ukweli kuwa Uislam haukuja kuupinga uyahudi na ukristo bali umekuja kuzithibitisha.Sheria za waislam zote zimekopiwa kutoka agano la kale na kuongezea chache za hapa na pale hivyo nyingi nazifahamu.
Sawa,Basi inaonesha hauelewi chochote kuhusu maswali yako na ukristo ni nini.
Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafuUnalazimisha maana unayo taka wewe waislamu wanacho jua ni hiki kuhusu AllahuView attachment 2380745
73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu.Baada ya kuumbuka umeona uikate aya hapo pekeyake imejieleza kua unavyoona wewe Mungu anafufua kwa namna tofauti na ile iingize aya katikati iliupate maana ya aina yoyote utakayo ifikiria ya ufufuaji .
So this is how 'easly' Allah brings the dead to life we fikiria namna ya ufufuaji alafu weka hilo neno hapo ili uone maajabu ya quran
Aya tuletee bibilia yako kama itaweza kufanya kazi kwa namna zaidi ya moja
Hapo ndipo utauona muujiza wa quran.
Nikuwekee chart uangalie vizuri. Kuna Codex Sinaiticus ambayo ina vitabu vyote ambayo agano la kale na agano jipya vimetafsiriwa kigiriki ambao humo baadhi ya vitabu vimepunguzwa katika kunakili kwenye kuzalisha biblia nyingine.KJV imetafsiriwa kutoka original manuscripts. Kila tafsiri ya biblia unayoiona ni lazima lugha inayotumika iwe na kamusi inayotafsiri moja kwa moja kutoka greek/aramaic/hebrew/latin kwenda kwenye hiyo lugha.
Roman catholic wapo na manuscripts ziitwazo Codex Vaticanus zilizopo Vatican na nyingine ni Codex Sinaiticus ambazo nyingi zipo London
Sasa bro ukileta kiswahili neno litatoka nakuletea tena fikiria namna unayo ona kua ni sahihi kwenye ufufuaji alafu weka neno hili lililomo kwenye hii aya73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu.
Hahahaha unabadilisha haya weka neno jengine uone maajabu ya quran kuing'ang'ania hilo hilo au la kuvunjia heshima basi unacho kifanya ni ubabaishaji tuNdivyo hivi Allah huwahuisha wafu
Kwa kuwpiga na pande la nyama ya ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Koran
2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu.
Kwahiyo aliyesema anafufua kwa pande la nyama ya ng'ombe sio allah?Nawapa jibu sasa kwanza mmerudia tena kosa lile lile nilicho taka mimi ni aya inayosema kua Mungu amechukua nyama na kumpiga mtu akafufuka mkaniletea aya hiyo hiyo tena iko wazi inajieleza
mosi walio piga nyama ili afufuke alie kufa sio Mungu kitendo kilichofanywa hapo kimetafsiriwa na maneno ya chini alipo sema kua showing you his sign so that you may understand.
Fahamu hiko ni kisa cha waisraeli waliokuwa wanamfuata musa kumuomba ili awafufulie mtu wao alie kufa hivyo Allahu aka wapa kazi hiyo ya kufanya hao wenyewe kwa maana hawa kua ni manabii pia hawa kua ni Mungu
So hapo walipewa mfano tu kidogo kua Mungu anaweza kufanya chochote .
Kwanini wachinje ngo'mbe
Jibu walipo enda kwa musa kuhusu kuomba hivyo wakaanza kumwambia kwa kumuamuru mtume wa Mungu na hivyo Mungu nae akawapa adhabu ya kumtafuta ng'ombe kwanza wakishampata ndio majibu yao wayapate kuhusu kufufuliwa wanataka
Na wala hiyo haina maana kua hiyo ndio namna pekee ya kufufua hapajesemwa hivyo kwenye aya natumai mmenielewa wewe na mokit mpe aisome post hii
Kwanza nashukuru kua sasa umekubali kua bibilia ina version pili hapo ndipo umeweka sawa kua maneno yenu ya kwenye biblia sio ya mungu maana mengine yanapunguzwa yana wekwa anavyotaka mtu muda wowote asante kwa hilo kulifahamuNikuwekee chart uangalie vizuri. Kuna Codex Sinaiticus ambayo ina vitabu vyote ambayo agano la kale na agano jipya vimetafsiriwa kigiriki ambao humo baadhi ya vitabu vimepunguzwa katika kunakili kwenye kuzalisha biblia nyingine.
Kuna hii vulgate ambayo nimekuwekee kwenye chart. Hizi biblia zote kwenye mtandao unazikuta. Kuna tafsiri zimefanyiwa modification ambazo kwenye biblia moja ipo na nyingine haipo.
Hizo ndiyo maana zinaitwa 'versions' kutokana na 'modifications' mbalimbali. King James Version vilevile kaweka vitu ambavyo havipo ukichunguza kwenye biblia za nyuma.
View attachment 2380770
Ndio uelewe sasa kwanini Allahu hakusema kwamba anafufua kwa nyama ya ngo'mbe moja kwa moja ni kwa sababu ana namna ya ufufuaji ulio madhubuti hapo wamepewa mfano hao watu ndio maana mwisho akasema kuhusu waisraeli hiviKwahiyo aliyesema anafufua kwa pande la nyama ya ng'ombe sio allah?
Sijui jamaa wanatumia basis gani kuamini mafundisho ya mtu wa ajabu ajabu kama huyo.Kuna mda kama mwaka alikuwa mgonjwa wa schizophrenia
Muhammad aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063
Alikuwa anadhani kafanya jambo kumbe hajafanya, ndio unakuta story za kupaa na punda mwenye mabawa
Kwahiyo alikuwa anataka muhammad asome nini?Majibu rahisi kwanza hujaonesha sehemu mimi nimesema kua jibril ana kitabu anamkaririrsha Mohammad.
Na kwa kukupa faida tafuta namna nyingine iliyo sahihi ya ufufuaji alafu weka hiki kipande cha neno la Allahu iliupate tafsiri kuhusu hiloKwahiyo aliyesema anafufua kwa pande la nyama ya ng'ombe sio allah?
Nakupa aya moja wapo ambayo zimetofautiana kati ya King James Version na New King James Versionimetafsiriwa kutoka original manuscripts. Kila tafsiri ya biblia unayoiona ni lazima lugha inayotumika iwe na kamusi inayotafsiri moja kwa moja kutoka greek/aramaic/hebrew/latin kwenda kwenye hiyo lugha.
Roman catholic wapo na manuscripts ziitwazo Codex Vaticanus zilizopo Vatican na nyingine ni Codex Sinaiticus ambazo nyingi zipo London
Kwahiyo waliachana na mambo ya kukariri wakawa wanaandika?Tano wanafunzi wa mtume ndio walikua wanaandika maneno hayo kwenye magamba au ngozi za ngamia
Kama mnavyo nishangaza kuhusu kuiamini bibilia inayoweza kugeuzwa geuzwa na majuha mara iongezewe vitabu mara ipunguzwa na maneno ya ndani sasa hao mitume walivyo gongana ndio balaaSijui jamaa wanatumia basis gani kuamini mafundisho ya mtu wa ajabu ajabu kama huyo.
Lete ushahidi.Ushahidi alie andika kitabu cha Yohana alitafutwa ili athibitishe madai yake lakini hakupatikana ingawa cha ajabu
Maneno hayo yapo kwenye hiyo hiyo bibilia