Unatakiwa Abdool utulize akili ,nimekwambia biblia Kuna translation mpaka A Jehovah witness na mpaka Kuna waislamu wametransalateHahaha eti waislamu wayatumie maneno ya alie laaniwa kwa lipi bro tulia usubirie kuitwa na akikusahau imekula kwako
Huo muda wa kutafsiri biblia waislamu muda huo hawana bali mimi ndio naweza kukupa evidence ya kua wanasayansi wa kikiristo wanavyopata tabu kuitafakari quranUnatakiwa Abdool utulize akili ,nimekwambia biblia Kuna translation mpaka A Jehovah witness na mpaka Kuna waislamu wametransalate
Kila mmoja ame translate kutoka original matini ila Alie translate anaweza weka manufaa yake na hakuna mtu anamzuia
Cha msingi original ipo na Kwa technology ya sasa original zipo online tena Zina transalate neno kwa neno
Nioneshe wapi Allah kasema jambo kuwa likawa , Koran nzima nimesoma sijaona embu kwa sababu wewe una tafsir zako nipe Aya , Alla kasema Kwenye jambo husika kuwa likawaHahahahaha sindano imepita mahala pake wewe unatutafsiria quran unavyo taka wewe
Unatafakari rap song , muhammad alikuwa anatunga analazimisha mistari iishie na kina kimojaHuo muda wa kutafsiri biblia waislamu muda huo hawana bali mimi ndio naweza kukupa evidence ya kua wanasayansi wa kikiristo wanavyopata tabu kuitafakari quran
Hatimaye wengine wanaamua kusilimu tu
Manuscripts zimekusanywa kutoka maeneo mbalimbali kwa miaka mingi na nyingine zimekuja kupatikana baada ya excavation. Wakristo walipitia persecution kwa miaka kadhaa na hivyo walilazimika kuwa wanaficha nyaraka walizokuwa nazo.Nikuwekee chart uangalie vizuri. Kuna Codex Sinaiticus ambayo ina vitabu vyote ambayo agano la kale na agano jipya vimetafsiriwa kigiriki ambao humo baadhi ya vitabu vimepunguzwa katika kunakili kwenye kuzalisha biblia nyingine.
Kuna hii vulgate ambayo nimekuwekee kwenye chart. Hizi biblia zote kwenye mtandao unazikuta. Kuna tafsiri zimefanyiwa modification ambazo kwenye biblia moja ipo na nyingine haipo.
Hizo ndiyo maana zinaitwa 'versions' kutokana na 'modifications' mbalimbali. King James Version vilevile kaweka vitu ambavyo havipo ukichunguza kwenye biblia za nyuma.
View attachment 2380770
Embu tupe kisa kizima hii nyama ya ng'ombe ilikuwa imechomwa , chemsha (nakumbuka supu pande ) au kaanga au mbichi ππππKwanza kabisa pole tena hata unacho soma ukielewi nambie Mungu anasema nampiga mtu anafufuka na maana ushatolewa teyar we msubirie yesu awaite mpaka akome na mlivyo wengi hivyo namuonea huruma na ule mdomo alio nao ya Mungu wetu ni hii nyinyi ya kwenu mshaitoa tuachieni ya kwetu basi yake Mungu yeye ni hii ya ufufuaji wa mwisho.
View attachment 2380832
Hahahah ujawahi kusikiliza quran tukufu wewe uone rahaUnatafakari rap song , muhammad alikuwa anatunga analazimisha mistari iishie na kina kimoja
Unajiuliza Allah na shetani walikuwa wanaongea shetani alijuaje wanatakiwa waishie kina kimoja
Koran ni Lough [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] book
Acha kujiongelesha bila ushahidi.Kwanza nashukuru kua sasa umekubali kua bibilia ina version pili hapo ndipo umeweka sawa kua maneno yenu ya kwenye biblia sio ya mungu maana mengine yanapunguzwa yana wekwa anavyotaka mtu muda wowote asante kwa hilo kulifahamu
Jibu swali, aliyesema anafufua kwa pande la nyama ya ng'ombe sio Allah?Ndio uelewe sasa kwanini Allahu hakusema kwamba anafufua kwa nyama ya ngo'mbe moja kwa moja ni kwa sababu ana namna ya ufufuaji ulio madhubuti hapo wamepewa mfano hao watu ndio maana mwisho akasema kuhusu waisraeli hivi
showing you his sign so that you may understand
Jamaa wanapata shida maana uthoman alichoma Koran za kotosha , Leo hawajui ata ipi ni ipiAcha kujiongelesha bila ushahidi.
Manuscripts zimekusanywa kutoka maeneo mbalimbali kwa miaka mingi na nyingine zimekuja kupatikana baada ya excavation. Wakristo walipitia persecution kwa miaka kadhaa na hivyo walilazimika kuwa wanaficha nyaraka walizokuwa nazo.
Kwahiyo over the years zilipokuwa zinapatikana ziliongezewa mpaka Jerome alipofanya compilation. Baadhi ya manuscripts bado scholars wanafanya argument kwasababu unaweza kukuta kuna verse zimepatikana kwenye baadhi ya manuscripts lakini kwingine hazikupatikana. Hii ndio sababu ya baadhi ya translation kukosa kuweka hizo verse.
We jichekeshe ukimaliza msubirie yesuEmbu tupe kisa kizima hii nyama ya ng'ombe ilikuwa imechomwa , chemsha (nakumbuka supu pande ) au kaanga au mbichi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NimekuulizaHahahah ujawahi kusikiliza quran tukufu wewe uone raha
Yake au nikurushie video za wakristo wenzio wakisikiliza maajabu ya Allahu
Mzee wa maelezo kama muandika insha tulia na bibilia yenye contradiction Kama waandishi wenu waleviAcha kujiongelesha bila ushahidi.
Manuscripts zimekusanywa kutoka maeneo mbalimbali kwa miaka mingi na nyingine zimekuja kupatikana baada ya excavation. Wakristo walipitia persecution kwa miaka kadhaa na hivyo walilazimika kuwa wanaficha nyaraka walizokuwa nazo.
Kwahiyo over the years zilipokuwa zinapatikana ziliongezewa mpaka Jerome alipofanya compilation. Baadhi ya manuscripts bado scholars wanafanya argument kwasababu unaweza kukuta kuna verse zimepatikana kwenye baadhi ya manuscripts lakini kwingine hazikupatikana. Hii ndio sababu ya baadhi ya translation kukosa kuweka hizo verse.
Hiyo ndio unaita contradiction?? Kweli kazi ipo. Ukiangalia hapo kwenye KJV inaonekana dhahiri translators walifanya kosa ambalo wamelirekebisha kwenye NKJV.Nakupa aya moja wapo ambayo zimetofautiana kati ya King James Version na New King James Version
View attachment 2380793
Ukiombwa ushahidi unaishia kubwabwaja.Kama mnavyo nishangaza kuhusu kuiamini bibilia inayoweza kugeuzwa geuzwa na majuha mara iongezewe vitabu mara ipunguzwa na maneno ya ndani sasa hao mitume walivyo gongana ndio balaa
Kwahiyo hamjui waandishi wa manuscripts za quran ni akina nani?Niletee uo ushahidi wa aliendika manuscript ya Birmingham ni nani nikupopoe nikupe ushahidi mimi
Naomba aya iliyowaagiza muandike badala ya kukariri.We kwelikweli juha kamili tunaendelea kuihifadhi quran mpaka leo je unataka kutuambia kwamba tuache kuandika kwa sababu tuna ihifadhi una maswali hayana elimu kabisa
Nakuuliza unapenda nikusikilizishe maneno yalio tulivu sio maneno yenu ya ajabu ajabu haya leti ladha ukisomaNimekuuliza
Allah na shetani walikuwa wanaongea shetani alijuaje wanatakiwa waishie kina kimoja
Koran ni Lough [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] book
Waislam wanajua kwamba uthman alifanya compilation lakini hawajui nani hasa aliandika manuscripts zenyewe.π€£Nakujibu hivi Kiutu uzima tu maana unataka kuwapinga maprofesa hapo
Hapo hakua na muda wakutajana majina hakua shule anafundisha alicho kisema yeye ni kuhusu muktadha husika
Kama unataka jina lake mtafute profesa tomas hujui unampata vip nenda kwa waandishi tegemewa wa habari wa BBC upate taarifa zake
Yani hueleweki kiufupiHiyo ndio unaita contradiction?? Kweli kazi ipo. Ukiangalia hapo kwenye KJV inaonekana dhahiri translators walifanya kosa ambalo wamelirekebisha kwenye NKJV.