Unatakiwa Abdool utulize akili ,nimekwambia biblia Kuna translation mpaka A Jehovah witness na mpaka Kuna waislamu wametransalateHahaha eti waislamu wayatumie maneno ya alie laaniwa kwa lipi bro tulia usubirie kuitwa na akikusahau imekula kwako
Kila mmoja ame translate kutoka original matini ila Alie translate anaweza weka manufaa yake na hakuna mtu anamzuia
Cha msingi original ipo na Kwa technology ya sasa original zipo online tena Zina transalate neno kwa neno