Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wr
Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.

Quran 23:14

Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji

English translation:

Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.

Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.

Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.

Maswali yangu

1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?

battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai[/USER
[QUOTE="Championship, post: 43892974, member: 562446"]

[USER=217775]battawi
FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
Umesoma vizuri mkuu? Ebullient soma tena
[/QUOTE]
 
Kwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.

Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :

Anasema Allah aliye juu :

13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.

14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)
Umemuelewesha vizuri sana mkuu
 
One of the fundamental teachings of Islam and one which every Muslim cultivates in his heart is that of brotherhood and equality of human beings……….!!!!!!!

Since Islam considers the diversity of people and nature as God’s creation, respect for diversity is commanded. Especially noted in the Qur’an are “People of the Book”, namely Jews and Christians, who were always given a special place in Muslim society……….!!!!!!!

Muslims are commanded to safeguard their right to worship and their places of worship, a command that has been historically followed, as is evidenced by the existence of old churches and synagogues throughout the Muslim world in places like Turkey, Palestine, Jordan, Syria, and Bosnia. Contrary to the common stereotype, Islam was not “spread by the sword”, nor people forced to convert, a fact again borne out by the existence of non-Muslim populations throughout the Muslim world……….!!!!!!!!

This same respect and tolerance was extended to people of other faiths…….!!!!!!!

Muslims believe that the Holy Prophet Muhammad(sa)was sent as “a Mercy for all the worlds’’……….!!!!!!!!!

U dont have any points brother…….your words are filled with hates with ZERO FACT arguiging with an empty mind Brother like u is such a waste of time🤣🤣🤣……!!!!!!!

Go and read Islam……..then come here with facts………!!!!!!!!

Dont be silly and over emotional……Cheers🤝🤝🤝🤝🤝

About Christians and Jews , Earlier on Quran says they are both allies, people of the book. When they don't acknowledge the prophet or Islam and keep their faith, Quran curses them. The Jews were cursed first, when their relationship got bitter with Muslims, during the battle of trench. Quran said Christians are nice as they have monks and priests who are truthful. Then they were cursed too. It said not to take either of them as allies and may Allah destroy them. And then Jews are prohibited fat of animals. This sounds more like the intentions of the prophet rather than inconsistent commands of Allah. But you can marry their women to spread Islam, in hopes that they'd convert. (verses : 5:51, 5:82, 9:30, 6:146)

Quran says men can have four wives, but women can only have one husband, it was stupid how men were so privileged in islam religion

Also, quran says men could marry Christians or Jews. But women could only marry Muslim men. That was absolutely unfair.
 
Embryology ya Allah na Muhammad huwa inachekesha Sana
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke
Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama ! , Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!

Ila sio makosa yake Muhammad, hakuwa na technology iliyokuwepo kipindi icho aweze kujua ukweli wa embriology kwa kuangalia stages
Huko school si ndio mnafundishwa binaadam wa kale alikuwa nyani
 
About Christians and Jews , Earlier on Quran says they are both allies, people of the book. When they don't acknowledge the prophet or Islam and keep their faith, Quran curses them. The Jews were cursed first, when their relationship got bitter with Muslims, during the battle of trench. Quran said Christians are nice as they have monks and priests who are truthful. Then they were cursed too. It said not to take either of them as allies and may Allah destroy them. And then Jews are prohibited fat of animals. This sounds more like the intentions of the prophet rather than inconsistent commands of Allah. But you can marry their women to spread Islam, in hopes that they'd convert. (verses : 5:51, 5:82, 9:30, 6:146)

Quran says men can have four wives, but women can only have one husband, it was stupid how men were so privileged in islam religion

Also, quran says men could marry Christians or Jews. But women could only marry Muslim men. That was absolutely unfair.
Yani hapo kikubwa ni wivu tu basi
 
Yani hapo kikubwa ni wivu tu basi

Wivu wa nini? Mtu aonee wivu uislamu.

Dini ambayo vitu vizuri na vitamu mnaita haram.

Yaani niache kula kitimoto, kunywa kamnyweshoo.. nionee wivu dini ya kipumbavu inaruhusu hadi kuoa na kutombaz watoto wa miaka 9.. nishinde navaa makanzu na makobazi. Acha ujinga wewe

Watoto wangu wa kike na dada zangu wakaolewe wake wanne wanne.. wapigwe matalaka.. wavalishwe manguo makubwa wawe kama pinguin
 
Mimi sina jibu lakukujibu kwenye hilo, ila nachotaka kukuambia nikuwa vitabu vyote vinavyoitwa vitakatifu vinakuwa viko coded na huwa sii rahisi ku decode hayo maandishi au kilichoandikwakwa. Mfano vitabu vya kale wa watu misri
 
Muslim world in places like Turkey, Palestine, Jordan, Syria, and Bosnia. Contrary to the common stereotype, Islam was not “spread by the sword”, nor people forced to convert, a fact again borne out by the existence of non-Muslim populations throughout the Muslim world……….!!!!!!!!
All countries mentioned here were christian nations including egypt, libya, algeria, lebanon, morocco and tunisia. Do you know how they became islamized? Jihadists killed men and forced women and children to become muslims. The rest is history.
 
Huyo anayesema "Tuka", "Tuka", Wapo wangapi?
Ni mmoja katika hili kilugha kinakubalika na ni maarufu sana haya kwetu sisi Waswahili, ni wingi kumaanisha umoja kwa lengo la kujitukuza na kuonyesha upekee.
 
Mimi sina jibu lakukujibu kwenye hilo, ila nachotaka kukuambia nikuwa vitabu vyote vinavyoitwa vitakatifu vinakuwa viko coded na huwa sii rahisi ku decode hayo maandishi au kilichoandikwakwa. Mfano vitabu vya kale wa watu misri
Hiyo verse hapo iko clear na informative. Na hapo Allah amedanganya. Muhammad alikopi tu knowledge ya wagiriki ya kipindi hicho.
 
Back
Top Bottom