Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Umeishiwa hoja sasa unaleta vihoja.
Hilo ndio tatizo lako ukweli unaupinga hapo mimi nimekubali tu kwa moyo safi kua kwa mujibu wa wakristo Mungu kamuumba mwanadamu kwa mfano wake hivyo mimi nikiona sura ya mwana Adam najua ni mfano wa Mungu sasa huo nao ugomvi kuna sura hapa na kasoro za wana Adam ndio zilezile za Mungu tume kopy kwa mfano wake
 
Kila mtu anayemwamini Yesu Kristo anakuwa na malaika maalumu wa kumhudumia. Tunaamini sana katika uwepo wa malaika.
Asante mimi siulizi swali wala nini najisemea tu hapa kwa mujibu wa wakristo malaika wanao ila wana kataa kua waislamu wana malaika so kama wamekataa so mfano wamemkubali Gabriel kua ni malaika wao ila wamekataa kua jibril ni malaika wa waislamu hivyo kwa sababu wamekataa kwa waislamu kua jibril sio malaika ni jini basi na sisi waislam tunakataa kua Gabriel sio malaika ni shetani
Usilete aya hapa za kumtetea Gabriel maana hata waislamu wanazo aya za kumtetea jibril so elewa concept Na baki na msimamo wako na waislamu wabaki na msimamo wao hapo

Sijajenga hoja
 
Quran vitu imeandika hata mtoto mdogo asingeweza kuandika, vingi viko against common sense, yaani ni illogical kabisa halafu unaambiwa ni kitabu "kilishushwa" na allah/mungu, unajiuliza huyo mungu zinamtosha kweli?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona hata bibilia, ni utumbo mtupu, tena kama kunakitabu kinachofundisha utapeli ni hiki.
mfano: Mchungaji anamwambia muumini unatakiwa kutoa fungu la siri, fungu la siri nini eti ngono, anapewa mchungaji kama sehemu ya sadaka.
 
Ok Nashukuru
 
Kwa kawaida Qur aan ina utaratibu wake wa kuweza kuielewa. Usipo fuata utaratibu aidha kwa makusudi (kupotosha) ama kwa bahati mbaya (kutoijua Qur aan) huwezi elewa kilicho kusudiwa katika kila aya.
Na pia jaribu kuangalia aya za nyuma ama mbele ya aya unayoisoma, kwa sababu Qur aan ina tabia ya kujitafsiri yenyewe. Na ndio maana inaeleweka kila aya inatafsiri aya nyingine, iwe ni katika sura hiyo hiyo ama sura nyingine.
Katika mada yako umezungumzia aya ya 14, lakini rudi anzia aya ya 13 ndio utaelewa aya ya 14 inazungumza nini.

Halafu tafuta ufafanuzi wa kila aya ili kuelewa kilichokusudiwa.

Hapa nakusaidia kwa ufafanuzi wa sheikh Ali Muhsin Al Barwani, aya ya 13 na 14:
* 13. Kisha tukaumba vizazi vyake, navyo ni kuwa tulimfanya mtu kwanza tone ya mbegu ya uzazi - yaani maji yenye kila sifa ya uhai wa mwanzo. Tukaiweka kwenye tumbo la uzazi, napo ni pahala pa utulivu palipo lindwa.

* 14. Kisha tukaifanya hii mbegu ya manii baada ya kuipandisha na yai la mwanamke kuwa damu. Kisha damu tukaigeuza kuwa kipande cha nyama, kisha tukafanya mifupa, na mafipa tukaivika nyama. Kisha tukatimiza uumbaji wake mwishoe baada ya kuipulizia roho kuwa kiumbe kingine mbali ili kuanza kumjenga. Shani ya Mwenyezi Mungu imetukuka kwa utukufu wake na uwezo wake. Yeye hana mshabaha wake na yeyote katika kuumba kwake na kutengeza kwake na kuanzisha kwake.
 
Baba ni cheo na sio jinsia. Mungu kuitwa Baba haimaanishi kwamba anayo jinsia.

Mwanadamu ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu kwahiyo haishangazi Mungu kuja na kuishi kama mwanadamu maana tunafanana naye. Yeye ni Roho na sisi ni viumbe wa kiroho.
Kwa hiyo hata mwanamke anaweza kuitwa Baba maana sio jinsia NI cheo?? 😂😂 Na mwanaume akaitwa mama vile vile maana nacho NI cheo cha msaidizi WA Baba,,dah nacheka kama mazurii,,
Endelea kujichanganya maandiko hayo hayo yanasema hakuna WA kufanana nae na Mungu si mwanadamu,,jongoo,,mjusi,,samaki,,tembo,,nyani,,fisi,,kobe,,wanadamu nyoka'',,kiboko,,mbu,,mende,,wote tuna Sura lkn hatufanani,,, ngoja nikupe elimu ya bure ambayo huiwezi kuipata sunday school Ila madrasa,
Mungu aliposema alimuumba adam Kwa mfano wake hakumaanisha mfanano na Mungu Bali mfano wake yeye mwenyewe adamu,,mfano mzuri NI kusema hili jua tunaloliona liliumbwa Kwa mfano wake,,yaani jinsi lilivyo ndivyo lilivofanana wakati linaumbwa halijapungua mwangaza wala ukubwa wake,,ndivo ilivokua Kwa adamu jinsi alivyoumbwa ndivyo alivyoonekana Yani he was a grown ass man already,,ktk urefu na size aliyokua nayo,,na alikua anajua majina ya kila kitu sio Kama Sisi tunapitia stages mkp kua kiumbe kamili kisha tunaanza kujifunza kuumba maneno yeye haikua hivo jinsi alivyoonekana ndivo alivyoumbwa. Mwenye akili peke yake ndo ataelewa nilikiandika hapo.
 
Asante mimi siulizi swali wala nini najisemea tu hapa kwa mujibu wa wakristo malaika wanao ila wana kataa kua waislamu wana malaika so kama wamekataa so mfano wamemkubali Gabriel kua ni malaika wao ila wamekataa kua jibril ni malaika wa waislamu hivyo kwa sababu wamekataa kwa waislamu kua jibril sio malaika ni jini basi na sisi waislam tunakataa kua Gabriel sio malaika ni shetani
Usilete aya hapa za kumtetea Gabriel maana hata waislamu wanazo aya za kumtetea jibril so elewa concept Na baki na msimamo wako na waislamu wabaki na msimamo wao hapo

Sijajenga hoja
Jibreel aliyemkaba Muhammad na kumlazimisha asome kitabu hawezi kuwa malaika.
 
Kwa hiyo hata mwanamke anaweza kuitwa Baba maana sio jinsia NI cheo?? 😂😂 Na mwanaume akaitwa mama vile vile maana nacho NI cheo cha msaidizi WA Baba,,dah nacheka kama mazurii,,
Endelea kujichanganya maandiko hayo hayo yanasema hakuna WA kufanana nae na Mungu si mwanadamu,,jongoo,,mjusi,,samaki,,tembo,,nyani,,fisi,,kobe,,wanadamu nyoka'',,kiboko,,mbu,,mende,,wote tuna Sura lkn hatufanani,,, ngoja nikupe elimu ya bure ambayo huiwezi kuipata sunday school Ila madrasa,
Mungu aliposema alimuumba adam Kwa mfano wake hakumaanisha mfanano na Mungu Bali mfano wake yeye mwenyewe adamu,,mfano mzuri NI kusema hili jua tunaloliona liliumbwa Kwa mfano wake,,yaani jinsi lilivyo ndivyo lilivofanana wakati linaumbwa halijapungua mwangaza wala ukubwa wake,,ndivo ilivokua Kwa adamu jinsi alivyoumbwa ndivyo alivyoonekana Yani he was a grown ass man already,,ktk urefu na size aliyokua nayo,,na alikua anajua majina ya kila kitu sio Kama Sisi tunapitia stages mkp kua kiumbe kamili kisha tunaanza kujifunza kuumba maneno yeye haikua hivo jinsi alivyoonekana ndivo alivyoumbwa. Mwenye akili peke yake ndo ataelewa nilikiandika hapo.
Madrasa ilifanya vizuri kuyeyusha ubongo wako
 
stori za kitaa

1. Sperm zinatengenezwa kwenye eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.. 🤣🤣🤣

2. Sperm inageuka kuwa damu iliyoganda.😅

3. Nyama inageuka kuwa mifupa🤪

4. Allah alimnyakua issa halafu akaendelea kuwalaumu wayahudi kwa kuamini yule ni issa😂

5. Muhammad ni nabii wa mwisho lakini cha kushangaza mnasema issa atarudi.. sasa yupi wa mwisho hapo?🤣

6. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibreel alikuwa anamlazaimisha asome.😂😂😂

7. Muhammad alipigwa kabali na jibreel🤣🤣

8. Hakuna ushahidi wowote wa jamaa anayeitwa issa kuwahi kuishi ndani ya Israel.🤪
Hujaweka ushahidi umeandika maneno yanayo hitaji ushahidi bali umeonyesha ya kuwa umjinga katika haya mambo. Nani alikwambia kwamba ISSA akirudi duniani ana Rudi kama nabii ? ISSA akirudi duniani anarudi kama muislamu tu wa kawaida na atafanya majukumu aliyopewa Kisha atakufa na ataoa.

Nukta ya 7 kadhalika inahitaji ushahidi sababu nimesoma vitabu vya historian ya mtume zaidi ya vitatu sijaona sehemu inayo onyesha Mtume alipigwa Kabali. Sasa hili niambie umelitoa wapi.

Nukta ya 1 ni ujinga wako na inaonyesha una uwezo mdogo sana wa kufikiri, Aya inayo jadiliwa hapa inaonyesha sperm imeshakuwa tayari.

Kuhusu nukta ya 6 ni kwali mtume alikuwa hajui kusoma na alilazimishwa kusoma na ndiyo maana kwetu sisi Waislamu Elimu kwanza Kisha hufata matendo, ndiyo maana dini yetu imekaa kielimu zaidi kuliko dini zenu. Yaani hatupelekwi kichwa mchunga, vile jiulize tu mtu ambaye alikuwa hajui kusoma Wala kuandika ameyafundisha haya, huu ni muujiza Toka kwa Mola. Wenye akili wakiona hili. Ili kuziba mianya ya wanao dai Uislamu au mtume ame copy hii dini.

Nukta ya 3 Iko wazi mtoto anazaliwa akiwa katika umbile gani na ametoka katika umbile gani ? Kijana nasema hivi huna akili. Mtoto anazaliwa tayari ana mifupa na umbile thabiti unawaza kwa kutumia nini ?

Wapi Allah aliwalaumu mayahudi kwa kuamini yule ni Yesu ?

Kwahiyo Bado hujatoa ushahidi zaidi ya kuonyeshwa ujinga wako juu ya Uislamu. Kwahiyo nipo hapa uniletee ushahidi wa madai yako.
 
Yesu ndiye Mungu aliyehai tangu milele hata milele.
Ndiyo maana nilikuuliza wewe ni Mkristo ? Wakristo huu ukweli lazima niwaambie mkubali au msikubali, hamna akili falsafa imewaharibua dini yenu na kutanguliza matamanio yenu ya nafasi juu ya Imani yenu. Leo hii tu kukubali kwenu ya kuwa Yesu ni mungu na hamna ushahidi Toka kwa Yesu ni ishara tosha ya kuwa Hanna akili.

Kingine kukubali kwenu kuletewa Biblia kwa Kiswahili huku Hamna matini ya maandiko yenu Toka katika lugha asili ya Yesu. Vipi mtajua kama mliyoletewa ni kweli yanatoka kwa Yesu ? Aisee hapa imeonyesha wazi hamna akili.
 
Hujaweka ushahidi umeandika maneno yanayo hitaji ushahidi bali umeonyesha ya kuwa umjinga katika haya mambo. Nani alikwambia kwamba ISSA akirudi duniani ana Rudi kama nabii ? ISSA akirudi duniani anarudi kama muislamu tu wa kawaida na atafanya majukumu aliyopewa Kisha atakufa na ataoa.

Nukta ya 7 kadhalika inahitaji ushahidi sababu nimesoma vitabu vya historian ya mtume zaidi ya vitatu sijaona sehemu inayo onyesha Mtume alipigwa Kabali. Sasa hili niambie umelitoa wapi.

Nukta ya 1 ni ujinga wako na inaonyesha una uwezo mdogo sana wa kufikiri, Aya inayo jadiliwa hapa inaonyesha sperm imeshakuwa tayari.

Kuhusu nukta ya 6 ni kwali mtume alikuwa hajui kusoma na alilazimishwa kusoma na ndiyo maana kwetu sisi Waislamu Elimu kwanza Kisha hufata matendo, ndiyo maana dini yetu imekaa kielimu zaidi kuliko dini zenu. Yaani hatupelekwi kichwa mchunga, vile jiulize tu mtu ambaye alikuwa hajui kusoma Wala kuandika ameyafundisha haya, huu ni muujiza Toka kwa Mola. Wenye akili wakiona hili. Ili kuziba mianya ya wanao dai Uislamu au mtume ame copy hii dini.

Nukta ya 3 Iko wazi mtoto anazaliwa akiwa katika umbile gani na ametoka katika umbile gani ? Kijana nasema hivi huna akili. Mtoto anazaliwa tayari ana mifupa na umbile thabiti unawaza kwa kutumia nini ?

Wapi Allah aliwalaumu mayahudi kwa kuamini yule ni Yesu ?

Kwahiyo Bado hujatoa ushahidi zaidi ya kuonyeshwa ujinga wako juu ya Uislamu. Kwahiyo nipo hapa uniletee ushahidi wa madai yako.
Usiwe na mashaka, utaenda mahali alipo muhammad na Allah na mimi niko na mwokozi wangu na Mungu wangu Yesu Kristo. Nimemfuata Yesu Kristo aliyehai wewe endelea kumfuata muhammad ambaye ni marehemu.

Amani amani.
 
Nasubiria ushahidi wa madai uliyo yadai.

Sasa unamfata vipi Mtu ambaye mnafanya ambayo hajayafundisha na muda wake ushapita ? Sababu Yesu Yuko mbali na nyinyi na atakuja kuwakana huko baadaye. Hata Shetani na yeye pia Yuko hai kijana.

Yaani mnamsingizia uongo nabii wa Allah kwa kumpa wazifa ambazo siyo wake.
 
Ndio nimesema usiwe na hofu, acha nipotelee kwa Yesu Kristo.

Wewe nakutakia kila la heri utakapoenda kwa Allah na kujihusisha na ngono kwa kutumia wanawake wengi.

Naomba nikuage.
 
Porojo.
In English Science is the study of nature, kwa lugha ya kiswahili, Sayansi ni somo linalochunguza kuhusu asili.

Sayansi haigundui kitu kipya, bali chunguzi na majaribio zinairuhusu kupata uelewa juu ya ambavyo tayari vipo japo binadamu hawana ufahamu navyo.

Kwa mfano, sio kweli kwamba dawa ya kudumu ya UKIMWI, Kansa, Homa ya ini, Kisukari na magonjwa mengine sugu hazipo, zipo ila Sayansi haijamudu kuzijua.

Ninachojaribu kusema ni tusiitumie Sayansi kama kipimo cha usahihi kwa asilimia mia, ndio maana kuna baadhi ya zilizoitwa gunduzi za kisayansi ila baadae zikaja kupingwa na gunduzi zilizofuata kwa kuonekana hazikuwa sahihi.

Nikirudi kwenye swali lako, siko kiimani sana ila hayo maandiko kwa hicho kipande ulichoweka yako sahihi sana. Nadhani kikubwa ni tutofautishe kati ya tafsiri na maana, tujikite kuelewa yalichokusudia.
 
Ndio nimesema usiwe na hofu, acha nipotelee kwa Yesu Kristo.

Wewe nakutakia kila la heri utakapoenda kwa Allah na kujihusisha na ngono kwa kutumia wanawake wengi.

Naomba nikuage.
Hili limeisha. Swali langu kwanini unaandika uongo na kuusambaza ?
 
Ila Mtume wako anamtambua sana huyo unaye mdhihaki ni nani.
Iko siku atakukana.

Yeye kesha jisalimisha kwake.
Naskia kaja kumtambua mwishoni kabisa wakati ana patwa na Umauti wake.

Narrated Abu Huraira:
Allah's Apostle said, "By Him in Whose Hands my soul is, son of Mary will shortly descend amongst you people (Muslims) as a just ruler and will break the Cross and kill the pig and abolish the Jizya (a tax taken from the non-Muslims, who are in the protection, of the Muslim government). Then there will be abundance of money and no-body will accept charitable gifts.
Sahih Bukhari 3.425,
Laiti ungeelewa hiyo Hadithi ungekiri ya kuwa Yesu ni Muislamu.

Sababu Yesu akirudi atavunja misalaba. Maana yake hakubaliani na Dini yenu.

Sisi Waislamu ni katika Imani yetu kuwaamini manabii na mitume wa Allah, na Yesu ni miongoni wa hao. Kwahiyo kwetu sisi Kiislamu usipo amini ya kuwa Yesu ni nabii wa Allah wewe umekufuru na unatoka katika Uislamu.
 
Back
Top Bottom