Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Muongo muongo NI wewe tuseme hujui au unafanya makusudi,,hujui kama wakatoliki Wana bibilia Yao,,na waprotestant Wana ya kwao,, kwamba hujui baadhi ya vifungu vipo ktk baadhi Ya bibilia na bibilia nyingine havipo,,kama NI mvivu WA kusoma sio KAZI yangu kukutafunia Fanya utafiti mwenyewe,,

mnaanzisha mada za kichochezi hlf waislam tukiwajibu tunaonekana wakorofi,,,waislam sio wanyonge ukianzisha mada za kuuchafua uislam,,kumchafua mtume wetu na kumsingizia Mwenyezi Mungu uongo fahamu hatupoi,, hubirini hizo habari njema bila kukejeli uislam ili na dini yenu isidhihakiwe,,lkn mkianza uchochezi na Sisi tutajibu na hatutoacha mpk muache,,,.
Ongea Kwa proofs mbona unaandika kama wamataifa leta hizo biblia shusha haya za madhehebu tofauti tofauti na utuoneshe utofauti wake alafu nakusihi usitake kutuvunjia heshima hakuna mkristo especially mroma mwenye time na uislamu hayupo na hajawahi kuwepo hutakaa umskie kiongozi yoyote wa kiroma akiuzungumzia uislam iwe kanisani au hata kwenye majumuiya maana Sisi tunawaona kama watu msiokuwepo hamna impact yoyote Ile kwetu pia hatupo kwaajili ya kuhubiri uislamu Kwa watu wetu tuna mambo mengi ya kufanya ambayo mwenyezi mungu ametutuma kuwakomboa watu wa mungu kutoka kwenye ujinga Kwanza pia tuwape na maarifa mema ya kutenda mapenzi ya mungu sasa sijui huo muda wa kuuchafua uislamu tunautoa wapi alafu hao waislamu wanatuzuia nini katika maisha Hadi tukae kuwazungumzia tunawaacha mtuchafue nyie ambao kiuhalisia tumewaacha mbali in every aspect na hata mungu hapendi na anatusihi tuwapende majirani zetu kama tunavyojipenda Sisi wenyewe...nasubiri verse za biblia ya kiprotestant,yakiroma,yakianglikana, nione huo utofauti Mimi najisomea biblia yoyote Ile nnayokutana nayo na sipendi divisions hata Qur'an ukinipa ntaichukua naiheshimu pia Mimi namuabudu mungu alietuuumba sote Sisi dini hizi zipo kwajili ya kutupa miongozo Tu so kitabu chochote kile kinachoeleza utaratibu mzuri wa kuishi na kukemea uovu me napita nacho Maana msingi mkuu wa mungu kwetu sisi ni kututaka kuacha uovu na kumtegemea yeye Kwa kila jambo
 
Paulo anawatoa sana machozi huko madrasa na hivyo mnamzushia mambo mengi sana.

Paulo alitokewa na Yesu Kristo hadharani na hata watu waliokuwa naye walisikia sauti na waliona nuru.

Yesu aliwaagiza wanafunzi wake wahubiri injili kuanzia yerusalemu, samaria, judea na mpaka miisho ya dunia kwahiyo acha kuongea mambo usiyoyaelewa.

Haujawahi kusoma Yesu Kristo akisema damu yake imemwagika kwa ajili ya ondoleo la dhambi? Basi hata fanya ku google ili ujielimishe.

Chakula cha Bwana kinawauma tunapokila? Yesu Kristo mwenyewe ndio aliyeanzisha na hatutakuja kuacha kushiriki meza ya Bwana maana namna hiyo tunatangaza kifo na kufufuka kwake mpaka atakaporudi.

Muhammad ndio mnatakiwa muhoji kwanini amekuwa yeye peke yake anayevamiwa na jini jibreel na kumkaba akimlazimisha asome. Jini yule alikuwa hajui kwamba muhammad ni illiterate?

Paulo anawatoa sana machozi huko madrasa na hivyo mnamzushia mambo mengi sana.

Paulo alitokewa na Yesu Kristo hadharani na hata watu waliokuwa naye walisikia sauti na waliona nuru.

Yesu aliwaagiza wanafunzi wake wahubiri injili kuanzia yerusalemu, samaria, judea na mpaka miisho ya dunia kwahiyo acha kuongea mambo usiyoyaelewa.

Haujawahi kusoma Yesu Kristo akisema damu yake imemwagika kwa ajili ya ondoleo la dhambi? Basi hata fanya ku google ili ujielimishe.

Chakula cha Bwana kinawauma tunapokila? Yesu Kristo mwenyewe ndio aliyeanzisha na hatutakuja kuacha kushiriki meza ya Bwana maana namna hiyo tunatangaza kifo na kufufuka kwake mpaka atakaporudi.

Muhammad ndio mnatakiwa muhoji kwanini amekuwa yeye peke yake anayevamiwa na jini jibreel na kumkaba akimlazimisha asome. Jini yule alikuwa hajui kwamba muhammad ni illiterate
Et alitokewa na yesu hadharani na watu walisikia saut na kuona Nuru!! Lakini msimuliaji WA matukio yote ni sauli mwenyewe uko wapi ushahidi WA waliokuwepo wakati anatokewa na yesu??
-Sio mambo nisiyoyaelewa Bali NI kauli zilizopingana unanipanikia Mimi Kwani Mimi ndio niliyeandika kauli zinazopingana kwenye KITABU chako,,au unataka kusema hizo vifungu hazipo Kwa biblia nimevitoa kwenye quran??huku wanasema aliwaagiza wanafunzi njia ya Samaria wasiende kisha kifungu kingine kinasema aliwaagiza waende,,,Kwa hiyo endeleeni kuchagua ya kuamini na mengine yasiyo wafavor waachieni wenyewe waandishi,,,
- Ndio Nilisoma kuhusu ondoleo la dhambi na nikajiridhisha kua huyo Mungu anayehukumu wasio na kosa Kwa kosa la wengine sio Mungu nitakaye mtumikia,,,Bali nitamsujudia Yule anayehukumu Kwa haki,,,.
-kuhusu chakula kituume Kwani mkila mnashiba?? Tuache kujichana tende na maziwa vinavyoleta afya tuonee wivu vi creaps mnavyomegeana na kamvinyo Ka kushare😁 Nyie endeleeni na ibada zenu'' za kifreemason za Kula damu na nyama za watu Sisi hatuwaonei wivu Bali tunawasikitikia.

maneno ya kuweweseka hayo,,,wewe ulitaka alipokuwa jibreel anamshukia awe na Nani,,,na nikuulize yeye Muhammad NI mtume WA Kwanza kutokewa na malaika akiwa peke ake? Na umejuaje kutofautisha Kati ya Jini na malaika Mpaka useme alitokewa na Jini wakati mnasema Jini pia NI malaika,,Seems uko familiar na hivi viumbe viwili tuelezee ulifahamu vipi NI Jini na sio malaika?? Na unawezaje kutofautisha ujumbe uliotoka Kwa shetani na kwa Mungu?
 
Ngoja mimi nikuache na ujumbe huu:

Yesu Kristo ni mwokozi, anakupenda na alikufa msalabani ili upate ondoleo la dhambi. Naona unahoji mambo mengi na inaonesha unazo jitihada kutaka kumjua Mungu wa kweli.

Hilo ni jambo jema nami nakuombea neema ya Mungu upate wokovu, macho yako ya rohoni yafunguliwe upate kumjua Yesu Kristo. Maswali mengi unayouliza leo utapata majibu ndani ya Yesu.

Jambo moja nakushauri, tafuta watu sahihi wakufundishe neno la Mungu. Kama upo dar nenda kanisa kama dpc kinondoni, vcct mbezi beach, city harvest bahari beach au capstone fellowship nalo liko bahari beach utapata mafundisho mazuri.

Nikutakie kila la heri na kumbuka Yesu Kristo anakupenda.
 
Ongea Kwa proofs mbona unaandika kama wamataifa leta hizo biblia shusha haya za madhehebu tofauti tofauti na utuoneshe utofauti wake alafu nakusihi usitake kutuvunjia heshima hakuna mkristo especially mroma mwenye time na uislamu hayupo na hajawahi kuwepo hutakaa umskie kiongozi yoyote wa kiroma akiuzungumzia uislam iwe kanisani au hata kwenye majumuiya maana Sisi tunawaona kama watu msiokuwepo hamna impact yoyote Ile kwetu pia hatupo kwaajili ya kuhubiri uislamu Kwa watu wetu tuna mambo mengi ya kufanya ambayo mwenyezi mungu ametutuma kuwakomboa watu wa mungu kutoka kwenye ujinga Kwanza pia tuwape na maarifa mema ya kutenda mapenzi ya mungu sasa sijui huo muda wa kuuchafua uislamu tunautoa wapi alafu hao waislamu wanatuzuia nini katika maisha Hadi tukae kuwazungumzia tunawaacha mtuchafue nyie ambao kiuhalisia tumewaacha mbali in every aspect na hata mungu hapendi na anatusihi tuwapende majirani zetu kama tunavyojipenda Sisi wenyewe...nasubiri verse za biblia ya kiprotestant,yakiroma,yakianglikana, nione huo utofauti Mimi najisomea biblia yoyote Ile nnayokutana nayo na sipendi divisions hata Qur'an ukinipa ntaichukua naiheshimu pia Mimi namuabudu mungu alietuuumba sote Sisi dini hizi zipo kwajili ya kutupa miongozo Tu so kitabu chochote kile kinachoeleza utaratibu mzuri wa kuishi na kukemea uovu me napita nacho Maana msingi mkuu wa mungu kwetu sisi ni kututaka kuacha uovu na kumtegemea yeye Kwa kila j
Maelezo marefu Hamna cha maana ulichoandika,,,kama hakuna utofauti madhehebu hayo yote NI Ya nini? Nimeshakujibu uvivu wako WA kusoma Mimi usinishirikishe,,endelea kusubiri hapo maana mshazowea kutafuniwa,,
Hlf Huo unafiki WA Imani Sisi hatuna Mimi NI muislam Kwa SBB nasadiki yote yaliyomo ktk quran Kwa Moyo na Kwa ulimi,, wewe kama unaleta unafiki WA kuamini kila KITABU au kuchagua baadhi ya yanayokupendeza na kuacha baadhi NI wewe'' yote ninayohitaji Kwa ajili ya msingi mzima WA kuishi hapa duniani'' na AKHERA yapo ktk quran,,Kwa hiyo tusifokeane wala kupangiana jinsi ya kuishi na kuamini. kila MTU ashike njia yake anayoona NI njia sahihi wewe kama unaona dini NI Muongozo Tu,,,Sisi tunaona dini ndio njia pekee.
 
Ngoja mimi nikuache na ujumbe huu:

Yesu Kristo ni mwokozi, anakupenda na alikufa msalabani ili upate ondoleo la dhambi. Naona unahoji mambo mengi na inaonesha unazo jitihada kutaka kumjua Mungu wa kweli.

Hilo ni jambo jema nami nakuombea neema ya Mungu upate wokovu, macho yako ya rohoni yafunguliwe upate kumjua Yesu Kristo. Maswali mengi unayouliza leo utapata majibu ndani ya Yesu.

Jambo moja nakushauri, tafuta watu sahihi wakufundishe neno la Mungu. Kama upo dar nenda kanisa kama dpc kinondoni, vcct mbezi beach, city harvest bahari beach au capstone fellowship nalo liko bahari beach utapata mafundisho mazuri.

Nikutakie kila la heri na kumbuka Yesu Kristo anakupenda.
Nami nikuache na ujumbe huu,,usiabudu kilichoumbwa Bali muumbaji,,
Na nikufundishe ondoleo pekee la dhambi NI toba ya kweli hakuna atakayebeba dhambi zako kisha akaadhibiwe badala yako,,,Yan uzinzi ufanye wewe akaadhibiwe ambaye hajawahi kuzini haipo hiyo,,,
Nami nakuombea ufahamu wako ufunguliwe upate kuujua ujumbe WA kweli WA yesu mwana WA mariamu.
Nikutakie kila LENYE kheri na Mungu akuongoze njia sahihi,,njia ya wale aliowaongoa na sio ya wale waliopotea.
 
Tenga muda isome Quran vzr itakufunza kila kitu na Quran huwa inajitafsiri yenyewe hiyo aya uliyoisoma kuna nyingine imefafanua kila kitu
Tafuta shekhe akufundishe wewe mwenyewe utakuja thibitisha
 
Maelezo marefu Hamna cha maana ulichoandika,,,kama hakuna utofauti madhehebu hayo yote NI Ya nini? Nimeshakujibu uvivu wako WA kusoma Mimi usinishirikishe,,endelea kusubiri hapo maana mshazowea kutafuniwa,,
Hlf Huo unafiki WA Imani Sisi hatuna Mimi NI muislam Kwa SBB nasadiki yote yaliyomo ktk quran Kwa Moyo na Kwa ulimi,, wewe kama unaleta unafiki WA kuamini kila KITABU au kuchagua baadhi ya yanayokupendeza na kuacha baadhi NI wewe'' yote ninayohitaji Kwa ajili ya msingi mzima WA kuishi hapa duniani'' na AKHERA yapo ktk quran,,Kwa hiyo tusifokeane wala kupangiana jinsi ya kuishi na kuamini. kila MTU ashike njia yake anayoona NI njia sahihi wewe kama unaona dini NI Muongozo Tu,,,Sisi tunaona dini ndio njia pekee.
Endelea kukaza fuvu sasa huna impact katika maisha ya mkristo yoyote huna unalolifahamu hakuna mtu unaeweza kumueleza upotevu wako huo akakuelewa eti kitabu chako kipo sahihi si ndo hichohicho kinachosema eti tukamfanya mtu Kwa kutoka Kwa manii Hadi tone la damu lililoganda mpaka pande la nyama na baadae mifupa afu Kesho mje kusema ooh mungu hashirikiani na mtu biblia inamfanyia ushirika mungu wakati hapo katika uumbaji ni watu hao wapo wengi wanafanya kazi,tulia tafakari mungu hakushika hizo karatasi kuandika ni watu kama wewe nao wana dosari zao...Eti madhehebu yote ni ya nini si madhehebu ya kikristo au ni madhehebu ya kiislamu hao wote ni wakristo na wanamhubiri Kristo nyie kwani si kuna washia,Sunni,na wengine wamentoka unafikiri ni Kwa nin mpo Ivo alafu ...aah napoteza mda endelea kukaza fuvu huna impact
 
Usiwe na mashaka, utaenda mahali alipo muhammad na Allah na mimi niko na mwokozi wangu na Mungu wangu Yesu Kristo. Nimemfuata Yesu Kristo aliyehai wewe endelea kumfuata muhammad ambaye ni marehemu.

Amani amani.
Na kama ungekuwa unayajua hayo tangu mwanzo usingekuwa unahangaika na Dini za wenzako msubirie Mungu alie tahiriwa Kwanza na kupigwa mijeledi kama mwanafunzi wa shule ya msingi
 
Yesu Kristo ni ngome imara na Mungu wa milele. Nimemchagua yeye na nitakuwa naye milele. Wewe endelea na muhammad na utakuwa naye ahera kwa Allah mkiwa mnafanya ngono kwa staili nyingi na kutumia wanawake mbalimbali.

Amani amani.
We hufanyi ngono?
 
Ila Mtume wako anamtambua sana huyo unaye mdhihaki ni nani.
Iko siku atakukana.

Yeye kesha jisalimisha kwake.
Naskia kaja kumtambua mwishoni kabisa wakati ana patwa na Umauti wake.

Narrated Abu Huraira:
Allah's Apostle said, "By Him in Whose Hands my soul is, son of Mary will shortly descend amongst you people (Muslims) as a just ruler and will break the Cross and kill the pig and abolish the Jizya (a tax taken from the non-Muslims, who are in the protection, of the Muslim government). Then there will be abundance of money and no-body will accept charitable gifts.
Sahih Bukhari 3.425,
Kama unajua kiingereza umesha wadhalilisha wanao muweka shingoni yule zungu wa vatikani
 
Laiti ungeelewa hiyo Hadithi ungekiri ya kuwa Yesu ni Muislamu.

Sababu Yesu akirudi atavunja misalaba. Maana yake hakubaliani na Dini yenu.

Sisi Waislamu ni katika Imani yetu kuwaamini manabii na mitume wa Allah, na Yesu ni miongoni wa hao. Kwahiyo kwetu sisi Kiislamu usipo amini ya kuwa Yesu ni nabii wa Allah wewe umekufuru na unatoka katika Uislamu.
Hawa jamaa hakuna hata lugha wanaijua sijui elimu yao wanaichukua je[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.

Quran 23:14

Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji

English translation:

Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.

Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.

Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.

Maswali yangu

1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?

battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
Mjinga alikuambia kitu cha kijinga ukakiamini wewe utakuwa mjinga zaidi
 
Back
Top Bottom