Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Yeye alikuwa na sababu na nia njema kwa taifa kwa ujumla na uongozi wake… huwezi kumuamini mtu ukampa nafasi na kumuongeza kama mfuasi wako alafu anakugeuka kwa kukusema vibaya na kukuona hufai hata kama ni kweli.Kwenu huko kusengenya, kutetana na kutukana mbona yapo hata kwa wanaume?
Tena wazee kabisa
Mmesahau aliepita alivyokuwa anawasikiliza hadi manane ya usiku na akikiri kabisa?
Kwani kusema ukweli kuhusu mtu, hata kama huyo mtu hayupo hapo, huko ni kumteta au ni kumwelezea jinsi alivyo (kum-describe)?Umerekodiwa kwenye phone conversation unaitaje hayo maneno ya uongo?
mimi nashangazwaga sana na hawa watu… inamaana mpaka level walizofika hawajijui kwamba wanafuatiliwa na kusikilizwa kwenye simu na jumbe zao za maandishi?! 😃Kibaya zaidi alirekodiwa, ogopa tekinelojia.
Kusengenya ni sehemu ya communication kwenye management boss. Boss lazima asemwe mana ndiyo mshika mkate . Ukiwazuiya watu wasisengenye kuna uwezekano mkubwa wa strikes na underperformance kutokea.Kama kweli alimsengenya alikosea sana,inabidi akubali matokeo!
Huwezi msengenya bosi wako hata afanyeje,alikosa hekima na alisahau kuwa nafasi aliyonayo wengi wanaitamani so one mistake and you are out!
Kupiga tungi siyo kosaSwali mother anapiga mtungi au hapigi tungi?
Swali la pili anapwaya hajapwaya?
Mzee wa msoga is typing.......Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.
Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu wanashangazwa na mambo yanamtokea mpendwa wao Ummy hata watanzania wengi wanashangaa. Watanzania wanamkumbuka Ummy kwa utendaji uliyotukuka awamu ya 5 katika wizara ya afya.
Umakini wake na utendaji bora. Mama alimuamini pia hadi kwa ghafla alivyomtemwa huku wananchi wakishangaa na bila kutolewa sababu yoyote. Kuna vyeo wanabadilishwa kila mara hadi wananchi wanastasjabu. Maandamano yaliyotokea Tanga mjini wanaccm kupinga mbunge wao kukatwa asiwe mgombea yanathibitisha sifa nilizomtolea Ummy.
Sasa kuna maneno maana watu kama hawaoni sababu watatengeneza maneno. Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Maza. Loo Mungu tuhurumie.🤔😎
Aisee 😂Samia anakunywa hadi konyagi, ni huzuni kwa kweli.
Masikitikooo makubwa sana 😧Reforms ni lazima ili bunge lirusishe heshima yake .
Imagine mpuuzi kama huyu aingie bungeni si ni mambo ya hovyo , ni maajabu sababu hata uwezo wa kujenga hoja hana zaidi ya sideshows.
Elimu ndogo tu ya uraia hana [hajui mihimili ya nchi na hata tafsiri ya muswada]
View: https://youtube.com/shorts/wB692rzs8Wk?si=0CmRDlZGHTDe9KHp
View: https://youtube.com/shorts/iwzwqEe-VFo?si=_O26V1v-SDna1JEL
A na B yote sawa.Swali mother anapiga mtungi au hapigi tungi?
Swali la pili anapwaya hajapwaya?
Nilienda sehemu moja karibu na uwanja wa amaan, kuna midemu mibaaayaaa halafu inajiuza kwa bei ghaliZanzibar dini ya Kiislamu ni utamaduni, wakitoka kuswali swala ya inshar saa mbili usiku wanapiga tungi kama kawaida kwa mpenzi wa mitungi.
Wanakunywa pombe na wanaswali swala 5.
Zanzibar sehemu za starehe zinaanza kuchanganya saa 5 za usiku unajuwa sababu yake?
Pale kuna vistoo vingi vya bia wengine ni machogo wa bara.Nilienda sehemu moja karibu na uwanja wa amaan, kuna midemu mibaaayaaa halafu inajiuza kwa bei ghali
Pale kuna vistoo vingi vya bia wengine ni machogo wa bara.
Ukitaka kuviona vitoto vya Kizanzibar pure ni kuanzia saa 5 usiku au saa 6 ndio wanatoroka maghorofani kwao wanatinga vimini nenda Gykhana, BOT and likes ndio utajuwa unafki wa Wazanzibar wanafanya kila kitu.
Kwa hiyo alimaanisha kuwa mama anagonga vyombo, kama walikuwa wote au alimwona akigonga vyombo hakupaswa kusema popote na yeyote. angesubili baada ya mama kustaafu angeandika kitabu. angeweka na hako kaumbea Hata hivyo hio sio issue mbona Kuna mojawapo wa Marais wastaafu wa huko visiwani Kuna tetesi kuwa alikuwa MTU wa vyomboAlimsema bosi wake ni mlevi wa kupindukia
Alichofanya Ummy ni kutoa wasifu wa boss wake hajatenda kosa.Kwani kusema ukweli kuhusu mtu, hata kama huyo mtu hayupo hapo, huko ni kumteta au ni kumwelezea jinsi alivyo (kum-describe)?
Hata Rais mstaafu wa Zanzibar Amani Karume ni chapombe mzuri sana.Kupiga tungi mbona kawaida sio yey wa kwanza kuvaa usgungi sio issuer we ulitaka fahyaje pombe no starehe ilimradi hutendi dhambi
Hii picha inafikirisha sana, na hasa kwa sisi wanaume wenye wivu kwa wake zetu.Wengine wanasema chanzo ni hikiView attachment 3452592
Utajipiga makonzi mara elfu kumi ukijua ukweli, chimba kidogo tu kama unafahamiana na yoyote mwenye inside information. Madhaifu yanayobainishwa hapa ni machache tu, kuna watu wanakula bata wengine wavimba hapo juu kwenye uongozi kwa kuwa wamekuwa 'wakijisevia'. Chombo hiyo ukibahatika kukaa nayo thirty minutes mkastua glass mbili utakula mema ya nchi mpaka wajukuu, maharage ya Mbeya plus Nyagi ni inakuwa Kitonga sliding pruuuu mpaka maka(Mecca).Siamini mnachosema. Yule Mama ni mcha Mungu sana. Hawezi kuhusishwa na vitu kama hivyo.
Huyo acha kabisa, yaani kama hajapiga huwa anatetemeka na kuongea hawezi. Enzi akianza kutoa hotuba viongozi wenzake wanakuwa wanaangua vicheko tu wanajua anaenda kwa nguvu ya Nyagi.Hata Rais mstaafu wa Zanzibar Amani Karume ni chapombe mzuri sana.