Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Mama

Wanawake wa kiislamu nao huwa wanapiga tungi ?
Haujawahi kuhudhuria sherehe Tanzania au huwa hauendi kwenye sehemu za starehe? Haujawahi kuhabarishwa matukio ya kwenye vigodoro?
Nje ya Tanzania ndiyo utaona maajabu zaidi, nikiwa primary school sikuwa nikifahamu hata kama Waarabu na Wahindi ni walevi wa kupindukia.
 
Wazungu wana msemo wao usemao "Don't outshine your master"
 
Nazungumzia hawa wanaoonekana kushika dini ya kiislamu, sio wale wenye majina tu ya kiislamu.
 
Ummy name ajaribu bahati yake!ACT ni chaka zuri likitumika! Y n
 
Nazungumzia hawa wanaoonekana kushika dini ya kiislamu, sio wale wenye majina tu ya kiislamu.
They're one and the same, wapo walioishika kwa maana ya kuswali regularly na mitungi wanaibaluza kadri wanavyopata nafasi na kuna wasioswali ila mitungi hawana muda nayo.
It's about ones choices.
 
Odo aliongelea vitu vitatu: 1. Ulevi uliopindukia mpaka inatia aibu 2. Kutokuwa Kiongozi mzuri kwa jinsi anavyomjua yeye, hivyo hafai kuendelea 2025 (alisema wanajipanga kumtema wakati wa kutafuta mgombea wa chama- ndio maana ‘mstaafu’ akatumia ubabe kumpitisha Bi Mkubwa kwenye kikao kisicho rasmi- waliogopa hili 3. Akilewa huwa anatabia zisizo nzuri, zile tabia tunazozisikia. Kumbe wengi wanazijua. Na hawa wawili, Odo na Bi Mkubwa, wanajuana sana.
 
hivyo hafai kuendelea 2025 (alisema wanajipanga kumtema wakati wa kutafuta mgombea wa chama-
Kwa kauli inayofanana na hii kumuhusu Hussein Mwinyi, Baraka Shamte alichukuliwa, akateswa na kutelekezwa porini.
 
Huyu mama mimi nampenda tu

Kweli ana madhaifu ila yuko vizuri kwenye uongozi

Lazima mjue Raisi siyo mtu, bali taasisi

Pengine hajashauriwa vizuri kwenye baadhi ya maeneo kama ya haki na demokrasia

Ila so far anafanya vizuri kwenye maendeleo
 
Leta ushahidi kuwa alisema
 
Kama unampenda awe Mbunge wa familia Yako inatosha
 
Kusema SSH ni mlevi sio ishu bali kumsengenya bosi wako Kwa kashfa.

Hata hivyo ni lazima Kiongozi wa Umma afiche Siri za bosi wake atake au asitake

Ndio maana kina Mwendazake walikuwa wanafuatilia maongezi ya watu Kwa Ajili hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…