Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

Mkuu hii kurudi Bongo mbona nimeshasema nina chukua emergency travel document jumatatu au jumanne halafu wiki hiyo hiyo ninakwea pipa. Haya mambo yata kuwa sio tatizo langu tena.
Mambo ya wrong beliefs. Hayana huusiano wowote na cheo. Bali inahuhusiano na vulnerability, ni bullying. Ukweli ni mchungu kwangu lakini ndio ukweli.
Udhaifu ulionao ndio kivutio kwa watu fulani.
Hapa UK watu wameshafungwa kwa kuua watoto kutokana na kuamini ni devil. Kwanini asimwue mume au mke kwa sababu watoto ni rahisi kuwa blame kwenye mambo fulani.
Kwa kuwa victim ili haina huhusiano kama una cheo kikubwa au una endesha garı züri bali opposite of those
 
Kwa upande wangu nimeshaamua ni kurudi Bongo ndio mwiba. Maumivu ya kichwa hayaonekani au kusikia, kwa hiyo hakuna ushahidi wowote ule. Je hissing sound nayo siunasikia
 
Wewe ni muongo si mbeba box hupo vizuri sana na umeishi uingereza miongo kadhaa. Acha kujishusha mkuu.
Namshukuru Mungu, ila hata box ni kazi pia
Nisamehe mkuu sikudhamiria kudanganya lolote bali mali huendi nazo popote zitabaki hapa hapa
Ila watoto wapo na mimi mzee sasa
Uwe unamezea basi 😄
 
Namshukuru Mungu, ila hata box ni kazi pia
Nisamehe mkuu sikudhamiria kudanganya lolote bali mali huendi nazo popote zitabaki hapa hapa
Ila watoto wapo na mimi mzee sasa
Uwe unamezea basi 😄
Naomba kuuliza. Hivi ulivyoenda uingereza ulishakuta wajamaica waliletwa as labourer wa kujenga London underground tunnels za train?

Ila mkuu napapenda sana uingereza na napenda lafudhi yao ya kiingereza I wish I could speak English with that accent. Fatima karume shangaz ana iyo accent akiongea kiingereza je wewe ama yako ni ya kichaga?😅😅😅😅
 
Miaka 76 iliyopita watu wa carribeans walikubaliwa kuja kuishi Uingereza.
Wajamaica na visiwa kadhaa walibebwa kwenye meli wakiwa zaidi ya 1000
Na wengine zaidi waliletwa pia

Hao waliitwa Windrush generation
Ila kulikuwa hakuna kumbukumbu yoyote serikalini na ndipo aliekuwa Waziri wa mambo ya ndani Priti Patel kuwakamata na kuwasafirisha wengi
Ilikuwa ni kosa kubwa na la aibu
Wote walilipwa kwa kukosa ajira zao na wengine kufa masikini

Ila unakaaje miaka yote bila kudai haki ya kuishi
Wengi walizaliwa hapa ila walikuwa hawajaomba uraia

Kuhusu lugha ya malkia usijali mkuu naongea lugha 5 na sio moja ila naongea kama Charles yaani lafudhi ya wazungu wa kawaida na sio Slang kama unayoipenda 😄

Karibu sana nikuzungushe mitaa yangu hapa
 
Hii issue imekuwa ngumu kwangu kwa sababu hao Polisi ndio wahusika na organisations nyingine. Hii issue kama ingekuwa kwa watu
wengine wasingeweza kufika hapa nilipo. Kuna mambo kibao yamefanyika kujaribu kunidhalilisha na kuni discredit
Kwani wewe hapo ni nani mpaka London Metropolitan police, M15, M16, Home office zikufatilie na kukutesa? Seriously hivyo vyombo vikuhitaji au vikikuona wewe ni security hazard, utalala hapo? Kama uko hapo legally una 'NI' nadhani unanielewa na una GP wako. Tafadhali nenda ukamuone umuelezee haya uliyo ya andika hapa utapata msaada unaokufaa. Ama sivyo kama kweli uko Great London area piga hii namba 02074678364 haitachukua dk 10 jamaa watakuja kukuchukua.
 
Mkuu; inakuwaje kwako hivo? Mimi nimeishi Denmark japo ni kwa muda mfupi(1yr) mjini Slagelse; ni ka-mji kadogo na kuna ile hali ya kumuona mtu esp. Mwafrika ni mtu duni lakini hawajishughulishi na mambo ya wengine. Kila mtu anachukua time yake. Wewe imekuwaje hadi wakutendee hayo? Hebu jichunguze ni kitu gani unawafanyia hivi kwamba na wao wa-react kama unavyodai?
 
Akishindwa tena hapo basi ana lake jambo.
 
Naona sikuelewi Sana but you sound tortured. I pray you speedily and safely get back home
 
Nahisi kama umeanza kuwehuka…
 
huyu jamaa ni tishio kiasi gani katika mustakabali mzima wa Jamii anayoishi nayo hapo UK?
Kwa nilivomuelewa yeye Sasa anatumika kama panya wa maabara, Kuna utafiti unafanyika na yeye ndio Yuko monitored kuhakikisha majibu ya utafiti yanafanyika yeye akiwa kama panya. So he has nothing special than being a human !
 
Kwa nilivomuelewa yeye Sasa anatumika kama panya wa maabara, Kuna utafiti unafanyika na yeye ndio Yuko monitored kuhakikisha majibu ya utafiti yanafanyika yeye akiwa kama panya. So he has nothing special than being a human !
Lakini hata kwenye scientific research kunakuwa na kundi la "Sample" na sample size huwa na units wengi sio mmoja. Mbona hatujasikia mlalamikaji mwingine yeyote? au tuseme yeye ndo weak sample unit?
 
Wazungu wapo busy na mambo yao hawana shida na maisha yako Wewe unaonekana kama haupo Sawa kichwani

Wakuite shetani Wewe kama Nani n'a wanakuita shetan ukiwa wap stop this madness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…