Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

Hii issue imekuwa ngumu kwangu kwa sababu hao Polisi ndio wahusika na organisations nyingine. Hii issue kama ingekuwa kwa watu
wengine wasingeweza kufika hapa nilipo. Kuna mambo kibao yamefanyika kujaribu kunidhalilisha na kuni discredit
Wewe rudi huku huko kuna ubaguzi mkubwa mkuu. Hata ukiketi kwenye daldala za huko mzungu hatakuja kukaa nawe kiti kimoja ni heri wasimame LABDA WAZEE. ingia ndani ndani kama bedfordshire nk wakiona watu weusi wanadhani wanatkea carribean ambao waliletwa huko kufanya kazi chafuchafu. Ila wewe hujui weusi huwa wanawabonda hao wazungu wakiwadhrau na kuishia jela. ONDOKA HIYO HALI HAITABADILIKA HARAKA LEO AU KESHO KAMA HUWEZI KUVUMILIA. Nilisoma huko na baadhi ya Watz walibakia huko sijui wanaendeleaje ni zaidi ya miaka 30 iliyopita . Walijiunga na Jehova witness wakawa wanahubiri dini.
 
Asante sana mkuu kwa maelezo ntakaribia. Yani hao wahindi wana uchungu na uingereza kuliko waingereza asili ni yule sajid na priti si ndo walirevoke citizenship ya shamima begun yule jihadi bride?
 
Asante sana mkuu kwa maelezo ntakaribia. Yani hao wahindi wana uchungu na uingereza kuliko waingereza asili ni yule sajid na priti si ndo walirevoke citizenship ya shamima begun yule jihadi bride?
Kweli mkuu wao ndio walitoa amri
 
Una matatizo ya afya ya akili

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Au ndio zile issues za 5G telecom towers emmited radiations ,Kuna jamaa niliona YouTube ni wa UK anaongelea Hilo , yawezekana ndio linalokupata na wewe ,kwamba uko hypersensitive na hizo 5G waves

Au unaweza kuwa unatumika kama Guinea pig bila kujijua na projects za MI6
Kama CIA walivyo wahi kuwa na programu za MK Ultra (Mind control ) programs ,ambapo wakizalisha mpaka wahalifu,wauaji ,spies, wanasiasa , vichaa nk na kuwatumia bila wao kujua .

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nilivomuelewa yeye Sasa anatumika kama panya wa maabara, Kuna utafiti unafanyika na yeye ndio Yuko monitored kuhakikisha majibu ya utafiti yanafanyika yeye akiwa kama panya. So he has nothing special than being a human !
Yawezekana , kutokana na story yake na mimi nimeanza kuhisi hicho kitu

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nilivomuelewa yeye Sasa anatumika kama panya wa maabara, Kuna utafiti unafanyika na yeye ndio Yuko monitored kuhakikisha majibu ya utafiti yanafanyika yeye akiwa kama panya. So he has nothing special than being a human !
Maana amesema aliwahi kufanya kazi kwenye health institution hapo UK so kuna probability wamemfanya kama Guinea pig katika clandestine research bila yeye kujua

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
CIA au intelligence agencies nyingi na projects zao hawafuati sheria
Mfano CIA wamewahi kufanya programu ya MK ultra ( mind control ) program , Kuna ushenzi mwingi waliufanya humo hamna mfano
Na watu kibao walitumika bila consent zao

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Blaza rudi home usije ukaanza kuokota makopo nchi za watu.
 
Uwezi kufanya hizo experiments leo, research za 60’s kurudi nyumba mambo waliyokuwa wanafanya watu kama hakina Pavlov, Skinner, Watson na ‘behaviour psychologists’ wengine, including CIA ‘conditioning’ programmes dunia ya leo yana tafsiriwa kama inhumane, barbaric and unethical.

Pili psychology ya kumbadili mtu akili inahitaji reinforcement ya external stimuli’s for conditioning to occur. Research zote za zamani zilikuwa under controlled environment miaka hiyo. Sio mtu ambae yupo barabarani unafukuzana nae that’s impossible because he needs to learn on how to respond to stimuli wanavyotaka ili kushape tabia.

Halafu kwa U.K. serikali kufanya kitu kama hiko aliwezekani sikia tu hao human right activists, bado kuna maswala ya moral za jamii against mambo kama hayo.

Yaani uende kituo chochote cha polisi ku-report halafu popote wajue huyo mtu ni ‘guinea pig’ wa research fulani ambayo inatakiwa kuwa siri, that’s not how national security staffs hide their plans (ndani kwenyewe watajua watu wachache). Ikibainika waziri hana kazi na wengine luluki if not serikali kuvunjwa na kuitishwa kwa uchaguzi mpya.

Hilo sio swala la mzaha hata kidogo kwa U.K. na aliwezekani for many reasons practicality ya research ambayo inahitaji controlling the subject and environment, unethical kwa dunia ya leo hasa kwa nchi kama UK, morality ya U.K. public which views such exploits as unacceptable behaviour kwao na issue kama hiyo ikibainika ugomvi wa media na public kwa serikali si mdogo.

Huyo mtu anahitaji psychological intervention tu hayuko sawa kichwani.
 
Ondoka huko Ukerewe. Una msongo wa mawazo unaota au unaona vitu havipo. Upo Ukerewe ila wewe unajiona hapo ni London. Ukiendelea kukaa hapo watakubaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…