Wanasema pesa haiwezi kununua furaha; lakini je, umasikini unaweza kununua nini?

Wanasema pesa haiwezi kununua furaha; lakini je, umasikini unaweza kununua nini?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
They say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree

But, what can poverty buy?

Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii.

Hapa duniani hakuna usawa wala haki ni about fighting to the better end, hakuna huruma yoyote, ni kuchawiana na kuporana fursa, unafanya mistake unachapika unainuka unaona upenyo kwa boya mwingine nawe unakatiza hapo hapo.
 
But money can buy you a jetski.....have you ever seen a sad person on jetski?

images (2).jpeg
 
Ukiangalia maskini ni shida

Ukiangalia matajiri ni shida

Watu ambao huwa naona wanainjoi life ni middle class, hawana stress za kula au kuvaa na hawana stress za mzigo upo bandarini ama kuhofia maisha yao pale interest zinapongongana na matajiri wenzie
 
Umasikini ni nusu ya ushetani. Ukiwa masikini kwa dunia ya sasa hivi basi "Utaenda kwa waganga kuroga, utasema wenzako, utafitinisha watu, utadanganya, utakopa na kushindwa kulipa, utakua unaona kila kitu unaonewa wewe tu, Wivu, Nongwa, Kisirani, Chuki, Utamkufuru mungu n.k."

Kifupi dunia inakua kwako ni mtihani, mbingu ya mungu nayo inakua kitendawili kisichokua na majibu.
 
Absolutely happiness is unattainable, hakuna mtu ambaye ana furaha 100% unakuta mtu anapesa sawa lakini Kuna ugonjwa, ndugu zake, mke/ mme, wanafanyakazi wake wanakosesha furaha.
 
unakuwa huja hela na una amani ? kuna jamaa ananidai anasumbua hapa nampiga danadana mpaka 25th huko sa apo ni naish bila amani na furaha ? umasikin mbaya sana...hakuna jema kwenye umaskini...tuupige vita kbsa...yan alosema money cant buy happiness ni bilgates na the likes alafu kuna kuna msafwa mmoja huko miliman anasikiliza daaah....nimeandika kwa uchungu sana....HELA NDIO KILA KITU WAKUU....UKILALA WAZA PESAAA UKIWA MACHO WAZA PESAAA YAN TAFUTA NAMNA YA KUWA NAZO KINAMNA YEYOTE USIKUBALI....YAN NI RAHIS KWA MO KUWA MTAKATIFU KULIKO MATONYA...
 
All my life i want money and power respect my mind or die from lead shower..!

I Pray my dick get big as the eiffel tower so i can https://jamii.app/JFUserGuide the word for 72 hours"
 
All my life i want money and power respect my mind or die from lead shower..!

I Pray my dick get big as the eiffel tower so i can https://jamii.app/JFUserGuide the word for 72 hours"
 
Back
Top Bottom