let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
nifahamishwe kwanza:, hivi nikisema pesa haiwezi nunua Furaha hapo ninakuwa na deni la kusema/kutaja umasikini unanunua nini?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mbaya na kosa sana kusema umasikini ni laana, kuna watu mfumo wao maisha umemkaba sana hana namna ya kutoka, hana ndugu, hana elimu ya kumbeba, hana mtu yoyote anaemjua halafu mtu anasema umasikini ni laana kweliKauli za kukufuru hizo mbaya Sana ..yaan mtu akisema umaskin Ni laana Ni sawa na kusema maskini wana laana...
Damn...
Kabisa comrade [emoji28]Kwa nguvu zote
Vyote ukiweza tafadhaliUMASKN au Umasikini?
Wahenga husema asiyeelewa maana , Haambiwi Maana. lakini ngoja mie niende kinyume naoVyote ukiweza tafadhali
Umaskini unanunua majungu na roho mbayaThey say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree
But, what can poverty buy?
Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii.
Hapa duniani hakuna usawa wala haki ni about fighting to the better end, hakuna huruma yoyote, ni kuchawiana na kuporana fursa, unafanya mistake unachapika unainuka unaona upenyo kwa boya mwingine nawe unakatiza hapo hapo.
Cjui Kama watakubali,Wahenga husema asiyeelewa maana , Haambiwi Maana. lakini ngoja mie niende kinyume nao
Unajua Kuna watu hawachungi kauli zao ....Ni mbaya na kosa sana kusema umasikini ni laana, kuna watu mfumo wao maisha umemkaba sana hana namna ya kutoka, hana ndugu, hana elimu ya kumbeba, hana mtu yoyote anaemjua halafu mtu anasema umasikini ni laana kweli
Ni kweli kabisa MkuuUkiangalia maskini ni shida
Ukiangalia matajiri ni shida
Watu ambao huwa naona wanainjoi life ni middle class, hawana stress za kula au kuvaa na hawana stress za mzigo upo bandarini ama kuhofia maisha yao pale interest zinapongongana na matajiri wenzie
Not true.Money is everything! No money, no life!!! No money no respect.
Watu wenye vipato ndio mabingwa wa majungu ,fitna na unafiki kuliko ht maskini...huku vijjn maisha Ni safe kabsa lkn ukienda huku khaaaUmaskini unanunua majungu na roho mbaya
Kha!kha!,Kwa hiyo Mimi na wenzangu na TZ nzima tumelaaniwa??!.Umaskini ni laana
Noooo[emoji23][emoji23]But money can buy you a jetski.....have you ever seen a sad person on jetski?
View attachment 1970866
Maskini huwa Wana maneno mengi Sana ya kujifariji mkuu 😂😂They say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree
But, what can poverty buy?
Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii.
Hapa duniani hakuna usawa wala haki ni about fighting to the better end, hakuna huruma yoyote, ni kuchawiana na kuporana fursa, unafanya mistake unachapika unainuka unaona upenyo kwa boya mwingine nawe unakatiza hapo hapo.
They say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree
But, what can poverty buy?
Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii.
Hapa duniani hakuna usawa wala haki ni about fighting to the better end, hakuna huruma yoyote, ni kuchawiana na kuporana fursa, unafanya mistake unachapika unainuka unaona upenyo kwa boya mwingine nawe unakatiza hapo hapo.
Kwa lugha nyepesi umasikini ni mbaya Sana !!!Umasikini ni nusu ya ushetani. Ukiwa masikini kwa dunia ya sasa hivi basi "Utaenda kwa waganga kuroga, utasema wenzako, utafitinisha watu, utadanganya, utakopa na kushindwa kulipa, utakua unaona kila kitu unaonewa wewe tu, utamkufuru mungu n.k."
Kifupi dunia inakua kwako ni mtihani, mbingu ya mungu nayo inakua kitendawili kisichokua na majibu.
kuna midde class ya chini na ya juu...ipiunaiongelea mkuu?Ukiangalia maskini ni shida