Wanasema pesa haiwezi kununua furaha; lakini je, umasikini unaweza kununua nini?

Wanasema pesa haiwezi kununua furaha; lakini je, umasikini unaweza kununua nini?

Hakuna kitu kibaya duniani kama umasikini aisee!!!

Akili zinakuwa fupi zinawaza ujinga tu + wivu wa kipumbavu kwa waliofanikiwa.
 
Mungu aniepushe na nyakati za kutokua na ela maan ni nyalati ngumu sana ata nikiwa sina nyingi lakin niwenazo....!
 
They say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree

But, what can poverty buy?

Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii.

Hapa duniani hakuna usawa wala haki ni about fighting to the better end, hakuna huruma yoyote, ni kuchawiana na kuporana fursa, unafanya mistake unachapika unainuka unaona upenyo kwa boya mwingine nawe unakatiza hapo hapo.
Nipo zangu Utoko nasoma comment zenu
242719835_228354525936954_7179437546802852066_n.jpg
 
CONCLUSION*

TUSAKE KITU INAITWA PESA WAKUU...

tuache kujifariji kwa misemo ya kipumbavu na kupuuzi ....

PESA
DOW
MSHIKO
MADAFU
KIMANGO
MONEY
MAISHA
KAGOMBA
nk....

Hii kitu hii tuisake

daaaah !!!!!!
 
mekumbuka midahalo ya sekondary .. Pro and Oppos

"Education is better than money" discuss

"No money no right to speak"

anyway money is not everything, kuna vijana wengi wenye hela sanaa lakini wameshindwa ishi na pisi kali
Hao sasa hawana nguvu za kiume, ndio tabu ilipo
 
kuna midde class ya chini na ya juu...ipiunaiongelea mkuu?

middle class ni middle class tu, hiyo kuwaita upper middle income na lower middle income haitenganishi ukweli zaidi ya kusema, kuna walio karibu na umaskini na walio karibu zaidi na utajiri. Ila mwisho wa siku hakuna anaeitwa middle income class pasipo kuwa na tabia muhimu za watu wa middle class
 
Inategemea na aina ya pesa, kama ni ya matambiko au umezipata kwa fitna, nafsi yako itakuwa inakutesa,ingawa watazamaji watakuona unafurahia maisha.Ila pesa uliyoipata kihalali itakufanya muda wote uwe na furaha
 
Kuna interview moja Ebitoke aliulizwa kuhusu kumuibia danga mwenzie,alijibu hivyo ndivyo alivyo kama kuna sehemu anatakiwa aharibu ili yeye afaidikie haoni shida surely nilimpenda bure Ebi hiyo ndiyo inaitwa kupambania ndoto zako.
😂😂😂
 
Inategemea na aina ya pesa, kama ni ya matambiko au umezipata kwa fitna, nafsi yako itakuwa inakutesa,ingawa watazamaji watakuona unafurahia maisha.Ila pesa uliyoipata kihalali itakufanya muda wote uwe na furaha
😂😂😂
 
CONCLUSION*

TUSAKE KITU INAITWA PESA WAKUU...

tuache kujifariji kwa misemo ya kipumbavu na kupuuzi ....

PESA
DOW
MSHIKO
MADAFU
KIMANGO
MONEY
MAISHA
KAGOMBA
nk....

Hii kitu hii tuisake

daaaah !!!!!!
👏👏👏
 
Kuna interview moja Ebitoke aliulizwa kuhusu kumuibia danga mwenzie,alijibu hivyo ndivyo alivyo kama kuna sehemu anatakiwa aharibu ili yeye afaidikie haoni shida surely nilimpenda bure Ebi hiyo ndiyo inaitwa kupambania ndoto zako.
Ulimpenda ebitoke kwa kuharibu ndoa za watu au mahusiano ya watu, kweli hichi kizazi ni hatari, ndoa na iheshimiwe na watu wote maandiko takatifu imetilia mkazo hilo, tafuta wa kwako ya nini kumchukulia mwenzako mume
 
Pesa haiwez kununua furaha
uwe tajiri, uwe masikini, wote tutazikwa chini"
Ni kauli common sana kwa watu wenye spirit za kimaskini inayotumika kuwafariji kuwa wako sawa or n bora kuliko matajiri.

Utackia "sina pesa ila nina amani[emoji23][emoji23]"

PESA NI KILA KITU
Suala la furaha n matokeo ya aina ya maisha utakayoamua kuishi.

Umaskini ni ushetani na ni laana mbaya sana.
 
Kabisaa
 
Back
Top Bottom