Umasikini ni nusu ya ushetani. Ukiwa masikini kwa dunia ya sasa hivi basi "Utaenda kwa waganga kuroga, utasema wenzako, utafitinisha watu, utadanganya, utakopa na kushindwa kulipa, utakua unaona kila kitu unaonewa wewe tu, Wivu, Nongwa, Kisirani, Chuki, Utamkufuru mungu n.k."
Kifupi dunia inakua kwako ni mtihani, mbingu ya mungu nayo inakua kitendawili kisichokua na majibu.