Wanasema pesa haiwezi kununua furaha; lakini je, umasikini unaweza kununua nini?

Kwa nguvu zote mkuu👏👏
 
Umaskini ni wa Kupigwa vita
 
Mbona YESU baba yake ni wa mbinguni lakini hakutaka kuishi maisha ya bata, marahisi alichagua njia ngumu za kumtii Mungu baba na aliyafurahi na kuyapenda maisha yake na yalikua ya kawaida tu hiyo ndiyo happiness sasa
 
mekumbuka midahalo ya sekondary .. Pro and Oppos

"Education is better than money" discuss

"No money no right to speak"

anyway money is not everything, kuna vijana wengi wenye hela sanaa lakini wameshindwa ishi na pisi kali
Mapenzi hiyo ni issue nyingine kabisa,nayo inajitegemea na changamoto zake
 
Sema kwa dunia ya sasa ili uishi kila kitu ni gharama na pesa pia ni sehemu ya kuifanya maisha yako kuwa mazuri, nacho amini hela itafutwe sana tena sana,
 
Middle class wengi ni waajiriwa wa umma na private,sisi tukisha jenga nyumba,watoto wameenda shule na umefanikiwa ka- usafiri kwa kweli tumemamliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…