Wanasema pesa haiwezi kununua furaha; lakini je, umasikini unaweza kununua nini?

nifahamishwe kwanza:, hivi nikisema pesa haiwezi nunua Furaha hapo ninakuwa na deni la kusema/kutaja umasikini unanunua nini?.
 
Kauli za kukufuru hizo mbaya Sana ..yaan mtu akisema umaskin Ni laana Ni sawa na kusema maskini wana laana...

Damn...
Ni mbaya na kosa sana kusema umasikini ni laana, kuna watu mfumo wao maisha umemkaba sana hana namna ya kutoka, hana ndugu, hana elimu ya kumbeba, hana mtu yoyote anaemjua halafu mtu anasema umasikini ni laana kweli
 
Umaskini unanunua majungu na roho mbaya
 
Ni mbaya na kosa sana kusema umasikini ni laana, kuna watu mfumo wao maisha umemkaba sana hana namna ya kutoka, hana ndugu, hana elimu ya kumbeba, hana mtu yoyote anaemjua halafu mtu anasema umasikini ni laana kweli
Unajua Kuna watu hawachungi kauli zao ....
Halaf huko mbele maisha yakiwageka wataleta nyuzi za kuomba msaada humu...
 
Ni kweli kabisa Mkuu
 
Umasikini; Utajiri; Wingi wa Pesa...

Nini kazi ya Pesa ?, Pesa ni kufacilitate mahitaji na matamanio ya mtu..., sasa mtu ambaye haridhiki always matamanio yatakuwa zaidi (anataka zaidi haridhiki hence hana furaha).... Unaweza ukawa masikini mwenye pesa na tajiri asiye na pesa (don't value everything through currency kuna vitu ni priceless)

Mtu ambaye anaridhika atakuwa na furaha hata akiwa na kidogo vichache....,
 
Maskini huwa Wana maneno mengi Sana ya kujifariji mkuu 😂😂
 
Kuna interview moja Ebitoke aliulizwa kuhusu kumuibia danga mwenzie,alijibu hivyo ndivyo alivyo kama kuna sehemu anatakiwa aharibu ili yeye afaidikie haoni shida surely nilimpenda bure Ebi hiyo ndiyo inaitwa kupambania ndoto zako.
 
Jibu rahisi tu mtu Kama anauona umaskini mzuri mwambie akeshe akiomba Mungu ampe umaskini.Usikie atasemaje .Unafiki tu unawasumbua
 

umaskini una uzwa na wanunuaji wake ni ccm
 
Kwa lugha nyepesi umasikini ni mbaya Sana !!!
 
kuna midde class ya chini na ya juu...ipiunaiongelea mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…