Mwanabalagha
Senior Member
- Nov 11, 2015
- 196
- 235
Nipo zangu Utoko nasoma comment zenuThey say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree
But, what can poverty buy?
Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii.
Hapa duniani hakuna usawa wala haki ni about fighting to the better end, hakuna huruma yoyote, ni kuchawiana na kuporana fursa, unafanya mistake unachapika unainuka unaona upenyo kwa boya mwingine nawe unakatiza hapo hapo.
Hao sasa hawana nguvu za kiume, ndio tabu ilipomekumbuka midahalo ya sekondary .. Pro and Oppos
"Education is better than money" discuss
"No money no right to speak"
anyway money is not everything, kuna vijana wengi wenye hela sanaa lakini wameshindwa ishi na pisi kali
huo ni ukweli kaka ππMiddle class wengi ni waajiriwa wa umma na private,sisi tukisha jenga nyumba,watoto wameenda shule na umefanikiwa ka- usafiri kwa kweli tumemamliza.
kuna midde class ya chini na ya juu...ipiunaiongelea mkuu?
πππKuna interview moja Ebitoke aliulizwa kuhusu kumuibia danga mwenzie,alijibu hivyo ndivyo alivyo kama kuna sehemu anatakiwa aharibu ili yeye afaidikie haoni shida surely nilimpenda bure Ebi hiyo ndiyo inaitwa kupambania ndoto zako.
hakuna wa kufanya hilo...ππJibu rahisi tu mtu Kama anauona umaskini mzuri mwambie akeshe akiomba Mungu ampe umaskini.Usikie atasemaje .Unafiki tu unawasumbua
Nasimama na naunga hojaHakuna kitu kibaya duniani kama umasikini aisee!!!
Akili zinakuwa fupi zinawaza ujinga tu + wivu wa kipumbavu kwa waliofanikiwa.
πππInategemea na aina ya pesa, kama ni ya matambiko au umezipata kwa fitna, nafsi yako itakuwa inakutesa,ingawa watazamaji watakuona unafurahia maisha.Ila pesa uliyoipata kihalali itakufanya muda wote uwe na furaha
πππCONCLUSION*
TUSAKE KITU INAITWA PESA WAKUU...
tuache kujifariji kwa misemo ya kipumbavu na kupuuzi ....
PESA
DOW
MSHIKO
MADAFU
KIMANGO
MONEY
MAISHA
KAGOMBA
nk....
Hii kitu hii tuisake
daaaah !!!!!!
Ulimpenda ebitoke kwa kuharibu ndoa za watu au mahusiano ya watu, kweli hichi kizazi ni hatari, ndoa na iheshimiwe na watu wote maandiko takatifu imetilia mkazo hilo, tafuta wa kwako ya nini kumchukulia mwenzako mumeKuna interview moja Ebitoke aliulizwa kuhusu kumuibia danga mwenzie,alijibu hivyo ndivyo alivyo kama kuna sehemu anatakiwa aharibu ili yeye afaidikie haoni shida surely nilimpenda bure Ebi hiyo ndiyo inaitwa kupambania ndoto zako.
Ziwa mdomoni, when I was younger πΆHulali na pesa unalala na Niniππ.
Suala la furaha n matokeo ya aina ya maisha utakayoamua kuishi.PESA NI KILA KITU
KabisaaPesa haiwez kununua furaha
uwe tajiri, uwe masikini, wote tutazikwa chini"
Ni kauli common sana kwa watu wenye spirit za kimaskini inayotumika kuwafariji kuwa wako sawa or n bora kuliko matajiri.
Utackia "sina pesa ila nina amani[emoji23][emoji23]"
Suala la furaha n matokeo ya aina ya maisha utakayoamua kuishi.
Umaskini ni ushetani na ni laana mbaya sana.
π π π πZiwa mdomoni, when I was younger πΆ