The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Maneno ya kujifariji ya watu wasio na pesa hayoThey say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree
But, what can poverty buy?
Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii.
Hapa duniani hakuna usawa wala haki ni about fighting to the better end, hakuna huruma yoyote, ni kuchawiana na kuporana fursa, unafanya mistake unachapika unainuka unaona upenyo kwa boya mwingine nawe unakatiza hapo hapo.
Weweee... Weee!!! Mamaaa Aaaah!! Duniaaa...Hakikisha mali zako za halali
Hakikisha unapenda nduguzo
Hakikisha unajua utu ni nini
Isije pesa zako mwenyewe zikakuchoma mwenyewe.
Kula Bata furahia mafanikio yako!
Nakubali mkuuBut money can buy you a jetski.....have you ever seen a sad person on jetski?
View attachment 1970866
Mfamaji haishi kutapa tapaManeno ya kujifariji ya watu wasio na pesa hayo
KabisaaaHakika...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Money is everything! No money, no life!!! No money no respect.
Mfamaji haishi kutapa tapa
Weweee... Weee!!! Mamaaa Aaaah!! Duniaaa...
Dunia Aaaah!!! Tunapita... Weweee....
Pesa, Magari, Majumba... Takataka zoote. TUTAAACHAAA!!!