Huru gan wa fikra wenye kuchukulia poa miujiza ya mama kwa kwanae kumweka miez tisa tumboni kumnyonyo mawiza miaka miwili na zaid Tena mfululizo sio dakk masaa sik mpaka mwenz wewe unaongelea fikra ganUmesoma vizuri alichoandika au bado haujajiweka huru kifikra?
😊🙌😃😂
Wewe ukitaka uone Umama Huna Ñguvu yoyote Kwa Mtoto au kuzaa Hakuna nguvu yoyote Kwa Mtoto.
Beba Mimba hata miezi Kumi na tano, Kisha ukishazaa telekeza Mtoto Alelewe na Watu wengine alafu baàda ya Miaka 20 Rudisha tendegu zako semà wewe ni Mamaake. Alafu sikilizia Show.
Alivyowaacha na kutimkia alipopapenda ilikuwa sawa?Huru gan wa fikra wenye kuchukulia poa miujiza ya mama kwa kwanae kumweka miez tisa tumboni kumnyonyo mawiza miaka miwili na zaid Tena mfululizo sio dakk masaa sik mpaka mwenz wewe unaongelea fikra gan
Huyo hana athari, songa na maisha yako acha kujibebesha magunia ya misumari wakati ulichofuata ni carton ya juice.Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.
Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.
Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa na miaka 8,
Nimeishi na baba peke yake hadi alipooa mwanamke mngine.
Mama wa kambo huyo ameishi kutunyanyasa sana hadi mzee alipomtimua nikiwa na miaka 17.
Nilipofika form 3 tukapata mawasiliano ya mama tukawa tunawasiliana naye ila yeye hakuwahi kututafuta , tukampotezea.
Sasa niko chuo nina miaka 24 , wanalalamika kwamba simjali mama yangu
Mama huwa naye analalamika japokuwa hajawahi kunipigia hata kunijiulia hali , ila nikimchek ni lawama.
Kiukweli sio kwamba simpendi ila namchukulia kawaida tu.
Sasa wakuu katika hali kama hii ushauri wenu ni upi
Kama walikuwa na ugomvi na mume wake, kwanini baada ya kuondoka akakata mawasiliano na kijana wake wa kiume? Kijana wake ndio mume wake?"Mpende adui yako Muombee anayekuudhi".wewe hujui kilichomtoa mama yenu hapo nyumbani.usitake akusimulie maana unaweza ukampiga baba yako.ameamua kunyamaza ili muendelee kumheshimu baba yenu.Wewe hujiulizi kwa nini aliamua kuondoka na watoto wa kike tuu akawaacha nyinyi wa kiume.Huyo ni mama yenu yaani hamna mama mwingine.Endeleeni kumtia moyo ili amalize maisha yake yaliyobaki kwa amani
Moyo wa mtu umeumbwa kumpenda anaemfanyia wema.
Hali unayopitia hauko nayo peke yako ila ndo hivyo Mama ni mama kwa sisi watu wa Imani Mama mbele ya Mungu ananafasi ya upendeleo ya kutendewa haki na kuhurumiwa mara 3 zaidi ya Baba.
Tunapitia changamoto nyingi tujaribu tu kuzisamehe na kuwatendea wema wazazi.
Miaka 24 tu unajidai umeshakuwa kiasi cha kutoona umuhimu wa Mama.Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.
Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.
Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa na miaka 8,
Nimeishi na baba peke yake hadi alipooa mwanamke mngine.
Mama wa kambo huyo ameishi kutunyanyasa sana hadi mzee alipomtimua nikiwa na miaka 17.
Nilipofika form 3 tukapata mawasiliano ya mama tukawa tunawasiliana naye ila yeye hakuwahi kututafuta , tukampotezea.
Sasa niko chuo nina miaka 24 , wanalalamika kwamba simjali mama yangu
Mama huwa naye analalamika japokuwa hajawahi kunipigia hata kunijiulia hali , ila nikimchek ni lawama.
Kiukweli sio kwamba simpendi ila namchukulia kawaida tu.
Sasa wakuu katika hali kama hii ushauri wenu ni upi
Ni ngumu kumpa attention mtu ambaye hamna bond tangu mwanzo,binafsi nimekulia kwa watu yaani mama yangu namuona kama watu wengine.Jitahidi umpe tu attention kidogo mkuu kwa sababu ni mama yako. Usimpotezee sana.
Kumchukulia kawaida,,, ndiyo kutompenda, ungemchukulia zaidi ya kawaida ungempenda.Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.
Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.
Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa na miaka 8,
Nimeishi na baba peke yake hadi alipooa mwanamke mngine.
Mama wa kambo huyo ameishi kutunyanyasa sana hadi mzee alipomtimua nikiwa na miaka 17.
Nilipofika form 3 tukapata mawasiliano ya mama tukawa tunawasiliana naye ila yeye hakuwahi kututafuta , tukampotezea.
Sasa niko chuo nina miaka 24 , wanalalamika kwamba simjali mama yangu
Mama huwa naye analalamika japokuwa hajawahi kunipigia hata kunijiulia hali , ila nikimchek ni lawama.
Kiukweli sio kwamba simpendi ila namchukulia kawaida tu.
Sasa wakuu katika hali kama hii ushauri wenu ni upi
Ukishakuwa mzee utajua umuhimu wa wazazi.
Sio sawa Ila icho sio kipimo Cha kuchukulia mama kawahida at sekund je angeamua we usizaliwe kabsa leo ungesema ushuzi hapAlivyowaacha na kutimkia alipopapenda ilikuwa sawa?
Ni ngumu kumpa attention mtu ambaye hamna bond tangu mwanzo,binafsi nimekulia kwa watu yaani mama yangu namuona kama watu wengine.
Hatujawahi hata kukumbatiana yeye ndo naona ukaribu unakuja kuja labda kwa sababu nampa visenti mwisho wa mwezi ila huo ukaribu haukuwepo tangiapo.
Umesema kweli bro mimi ni mmoja kati ya watu ninao experience hii hali kupitia mzazi wangu mmoja, nikiwa mtoto nilikua na upendo mkubwa sana kwa wazazi wawili ila hapa katikati ilitokea hali iliyovunja sana moyo wangu iliyosababishwa na mzazi mmoja ikapelekea hisia zangu za upendo kwake zipungue kwa kiasi kikubwa.Umesema Sahihi Kabisa
Hat Mnyama tuu ukimtendea Wema Anakupenda na lazima awe na bond na wéwe.
TATIZO linakuja hata akiwatendea Wema hatawatendea kama Mama au Baba Bali atawatendea kama binadamu Wengine. Yaani hatawachukulia kama Wazazi wake hata iweje.
Hicho ndicho Mama yake anachokililia Sasa hivi kama ulikuwa hujampata.
Yaani hakuna connection hata akienda kumsalimia ndàni ya dakika Kumi tuu wanakosa cha kuzungumza. Akimpigia Simu, dakika Mbili wanabaki kimya.
No connection.
Hapo Mzazi anachokitafuta Kwa Mtoto NI Msamaha Wakati Mtoto anaona hajakosewa. Unaona hiyo.
Yàani unatafuta kusamehewa Kwa Mtu àmbaye anaona hukumkosea