kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Pole bbyNataman uvae viatu vyangu sijawah muona mama ang TOKA NIZALIWE inasemekana alivyo nizaa hakuish muda mrefu alifarik aseee kuna hal flan ya maumiv ,,,NATAMAN HUYO MAMA AKO AWE MAMA ANGU,,
Nisamehe Sana me mwenye sio Tabia yangu ya kuwajibu wajinga wajinga kama we imekuwa mara ya kwanza na imekuwa bahati kwako uwenda ikakusaidia kubadilisha mtazamo wa akili yako mbovuWe shida yako ni nini mbona unahitaji nijue kwamba we ni empty set unaendeshwa na mihemko,ebu achana na mimi
Huna hadhi ya kubishana na mimi,kajifunze kwanza kuandika.
Hapana hawajaumbwa hivyo ni kujiendekeza tu.Suala la lawama ni kawaida kwa wanawake ndivyo walivyoumbwa.
Hata usipomjali ni haki yako tu.Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.
Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.
Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa na miaka 8,
Nimeishi na baba peke yake hadi alipooa mwanamke mngine.
Mama wa kambo huyo ameishi kutunyanyasa sana hadi mzee alipomtimua nikiwa na miaka 17.
Nilipofika form 3 tukapata mawasiliano ya mama tukawa tunawasiliana naye ila yeye hakuwahi kututafuta , tukampotezea.
Sasa niko chuo nina miaka 24 , wanalalamika kwamba simjali mama yangu
Mama huwa naye analalamika japokuwa hajawahi kunipigia hata kunijiulia hali , ila nikimchek ni lawama.
Kiukweli sio kwamba simpendi ila namchukulia kawaida tu.
Sasa wakuu katika hali kama hii ushauri wenu ni upi
Huwezi ukaelewa kwakuwa bado unanuka maziwa.Kipindi cha utoto Mzazi ndîo ana umuhimu Mkubwa.
Uzee siô Umri wa kuona umuhimu wa waliokuzaa Bali NI Umri wa kuweka Sawa wale uliowazaa(waliotoka kwako)
Mtoto anahitaji Malezi na kukuzwa na Mzazi.
Mzee atahitaji kitu gàni Kwa Mzazi wake Wakati wôte washazeeka?
Seriously unamshauri hiviWazazi wa hivi inabidi umtake akueleze sababu za yeye kukukimbia. Usipozielewa mteme mazima kwa sababu hakuna connection.
Na ongezea kidogo hapo.Hakuna kitu Kama hicho.
Wàpo Wanawake maelfu wametelekeza Watoto, Wengine wameua Kwa Kutoa Mimba na kutupa vichanga alafu unasema kitu gàni l.
Wadanganye wasiojua jinsi binadamu alivyo.
Mama au Baba huwa na uchungu na Mtoto aliyemzaa na kumlea na siô vinginevyo.
Tenà aliyelea anakuwa na uchungu zaidi ya Yule aliyezaa.
Kubeba Mimba hata Wanyama wanabeba,
Upendo na uchungu msingi wake Mkûu siô kuzaa Bali Malezi, Muda uliotumika kumkuza Mtoto ndîo unafanya thamani na Mzazi kuona uchungu Kwa Mtoto.
Fikra potofu Kabisa.
Mama ni mama tuu.Sioni kama ni fahari sana kumzila mzazi wako kwa makosa.kuna watu walikataliwa na baba zao ila baadaye wakafanikiwa wakasamehe wazazi waoKama walikuwa na ugomvi na mume wake, kwanini baada ya kuondoka akakata mawasiliano na kijana wake wa kiume? Kijana wake ndio mume wake?
Kwani wapi umeona mleta mada analalamika mama yake kumuacha baba yake. Wazazi wamegombana, mama kamsusa mwanae wa kiume kaenda na wa kike na akakata mawasiliano na wa kiume. Sasa kwanini asitafutwe na wa kike aliokuwa anawasiliana nao tu?
Hajaona fahari wewe hata hujamuelewa kazi kulaumu na kushutumu tu. Au umeona anajitapa na kujitamba kutokuwa na mahusiano mazuri na mama yake?Mama ni mama tuu.Sioni kama ni fahari sana kumzila mzazi wako kwa makosa.kuna watu walikataliwa na baba zao ila baadaye wakafanikiwa wakasamehe wazazi wao
Hata wajinga wanazeekaWe kijana unaumri wa miaka mingap Kwanza maana ushauri unaendana na umri
Na ongezea kidogo hapo.
Hata mtoto anapo fariki akiwa mdogo uchungu wake sio sawa na yule ulie mliea mpaka akafikia utu uzima.
Huwezi ukaelewa kwakuwa bado unanuka maziwa.
Nimependa sana mchango wako, huwa nawaambia wazazi wote tu, wababa kwa wamama. Waleeni watoto wenu kwa upendo, sababu ndio mbegu unapanda utakayovuna baadae uzeeni nguvu zikikuisha.Mkuu mamako anatafuta kupendwa sehemu ambayo hakupanda upendo.
Usiingie kwenye mtego wa kutaka kuonesha kuwa yeye ni muhimu sana kwenye maisha yako.Alichopanda anayo haki ya kuvuna.
Hakikisha msingi wa maisha yako hautegemei hisia za watu wengine.
Amua na kufanya unachoona ni sahihi kwako na hauvunji sheria za nchi.
Pole kwa changamoto unayopitia. Inawezekana mama yako alipitia hali ngumu alipohama na watoto wa kike, na hivyo kushindwa kudumisha mawasiliano na nyie. Jaribu kumuelewa na kuanzisha mawasiliano bila kuangalia sana yaliyopita. Ingawa hujawahi kuona juhudi kubwa kutoka kwake, unaweza kumjulia hali wewe kwanza. Usilaumu, bali jaribu kutafuta namna ya kuimarisha uhusiano wenu kwa sasa na baadaye. Kukarabati uhusiano na wazazi ni mchakato unaohitaji muda, uvumilivu, na juhudi zako binafsi. Kumbuka una Mama Mmoja tu.Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.
Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.
Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa na miaka 8,
Nimeishi na baba peke yake hadi alipooa mwanamke mngine.
Mama wa kambo huyo ameishi kutunyanyasa sana hadi mzee alipomtimua nikiwa na miaka 17.
Nilipofika form 3 tukapata mawasiliano ya mama tukawa tunawasiliana naye ila yeye hakuwahi kututafuta , tukampotezea.
Sasa niko chuo nina miaka 24 , wanalalamika kwamba simjali mama yangu
Mama huwa naye analalamika japokuwa hajawahi kunipigia hata kunijiulia hali , ila nikimchek ni lawama.
Kiukweli sio kwamba simpendi ila namchukulia kawaida tu.
Sasa wakuu katika hali kama hii ushauri wenu ni upi
Huyu mama anaroho mbaya tu, anataka kuvuna asipopandaAngekua ni baba yake ungemshauri hivyo?🤔
Nafikiria ilikuwa wajibu wa mama kipindi cha kutengana kuhakikisha mawasiliano na mtoto wake yapo, na yapo hai na vizuriPole kwa changamoto unayopitia. Inawezekana mama yako alipitia hali ngumu alipohama na watoto wa kike, na hivyo kushindwa kudumisha mawasiliano na nyie. Jaribu kumuelewa na kuanzisha mawasiliano bila kuangalia sana yaliyopita. Ingawa hujawahi kuona juhudi kubwa kutoka kwake, unaweza kumjulia hali wewe kwanza. Usilaumu, bali jaribu kutafuta namna ya kuimarisha uhusiano wenu kwa sasa na baadaye. Kukarabati uhusiano na wazazi ni mchakato unaohitaji muda, uvumilivu, na juhudi zako binafsi. Kumbuka una Mama Mmoja tu.
Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.
Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.
Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa na miaka 8,
Nimeishi na baba peke yake hadi alipooa mwanamke mngine.
Mama wa kambo huyo ameishi kutunyanyasa sana hadi mzee alipomtimua nikiwa na miaka 17.
Nilipofika form 3 tukapata mawasiliano ya mama tukawa tunawasiliana naye ila yeye hakuwahi kututafuta , tukampotezea.
Sasa niko chuo nina miaka 24 , wanalalamika kwamba simjali mama yangu
Mama huwa naye analalamika japokuwa hajawahi kunipigia hata kunijiulia hali , ila nikimchek ni lawama.
Kiukweli sio kwamba simpendi ila namchukulia kawaida tu.
Sasa wakuu katika hali kama hii ushauri wenu ni upi
Ni swala la muda tu utakuwa sawa na mama yako Usijilaumu sana kwa hali iliyopo sasa.Wakuu kwema.