Kindness Grateful
Member
- Aug 26, 2024
- 34
- 40
Yes ningemshauri hivyo hivyo maana hakuna Baba wala Mama wa DukaniAngekua ni baba yake ungemshauri hivyo?🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ningemshauri hivyo hivyo maana hakuna Baba wala Mama wa DukaniAngekua ni baba yake ungemshauri hivyo?🤔
Huo ni Mtazamo wako..ondoa hizo NegativityWatu wanafiki Sana
Upendo ni kama uhai.Hutungwa,kutunzwa,kukua kwa kuchanua na kupata muendelezo wa kutunzwa kiustadi zaidi.Huwezi kumwambia tu mtu ampende mtu au amchukie tu bila viunganisho anuai.Watu wanafiki Sana
Ni mama yako jitahidi kumpa attention. Haujui nini kiliwatenganisha na mshua, kwaiyo usiweke akilini kwa sababu huo ni ugomvi wa wazazi. Suala la lawama ni kawaida kwa wanawake ndivyo walivyoumbwa.Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.
Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.
Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa na miaka 8,
Nimeishi na baba peke yake hadi alipooa mwanamke mngine.
Mama wa kambo huyo ameishi kutunyanyasa sana hadi mzee alipomtimua nikiwa na miaka 17.
Nilipofika form 3 tukapata mawasiliano ya mama tukawa tunawasiliana naye ila yeye hakuwahi kututafuta , tukampotezea.
Sasa niko chuo nina miaka 24 , wanalalamika kwamba simjali mama yangu
Mama huwa naye analalamika japokuwa hajawahi kunipigia hata kunijiulia hali , ila nikimchek ni lawama.
Kiukweli sio kwamba simpendi ila namchukulia kawaida tu.
Sasa wakuu katika hali kama hii ushauri wenu ni upi
Huo ni Mtazamo wako..ondoa hizo Negativity
Hakuna uhûsiano wa Upendo na kumzaa Mtu.
Hujawahi kubeba kiumbe tumboni huwezi kuelewa..Mwanamke Pekee aliebahatika kuitwa Mama ndio anaelewa ata nielezeje ni kama napoteza mda tuHakuna uhûsiano wa Upendo na kumzaa Mtu.
Upendo ni kama uhai.Hutungwa,kutunzwa,kukua kwa kuchanua na kupata muendelezo wa kutunzwa kiustadi zaidi.Huwezi kumwambia tu mtu ampende mtu au amchukie tu bila viunganisho anuai.
😊Naongea kitu ambacho Ninakijua wewe unaongea assumptions.
Kuzaa na Kupenda hakuna uhûsiano.
Asilimia kûbwa ya Watoto à mbao hawajalelewa na Wazazi waô wanamuelewa mtoa Mada anachokisema.
Ninyi Wengine mnafanya assumptions na kuwafundisha unafiki, waigize
Na kwa sababu kaeleza ni mama.Angetajwa baba ungeona vibweka na ushauri wa waja!Hapo Hakuna bond wanataka wamtese tuu Mshikaji aanze kuwapa umuhimu à mbao hakuwepo/haukujengwa
Una uzoefu na iyo hali anayo pitia au niubutu wa akili yako kumshauri mambo usiyo weza au kuyapitiaMkuu mamako anatafuta kupendwa sehemu ambayo hakupanda upendo.
Usiingie kwenye mtego wa kutaka kuonesha kuwa yeye ni muhimu sana kwenye maisha yako.Alichopanda anayo haki ya kuvuna.
Hakikisha msingi wa maisha yako hautegemei hisia za watu wengine.
Amua na kufanya unachoona ni sahihi kwako na hauvunji sheria za nchi.
Umesoma vizuri alichoandika au bado haujajiweka huru kifikra?Una uzoefu na iyo hali anayo pitia au niubutu wa akili yako kumshauri mambo usiyo weza au kuyapitia
Hujawahi kubeba kiumbe tumboni huwezi kuelewa..Mwanamke Pekee aliebahatika kuitwa Mama ndio anaelewa ata nielezeje ni kama napoteza mda tu
Na kwa sababu kaeleza ni mama.Angetajwa baba ungeona vibweka na ushauri wa waja!
Analeta sentensi za kujidekeza kwenye ulimwengu usio na huruma?Ndîo maana kûna Hako kadada kanaleta Hisia kwèñye Fact Kindness Grateful
Ati kuwa mama tuu unakuwa na uchungu unaleta methali za Kiswahili kwenye ulimwengu wa facts?
Kwaiyo ajiforce?Jitahidi umpe tu attention kidogo mkuu kwa sababu ni mama yako. Usimpotezee sana.
Analeta sentensi za kujidekeza kwenye ulimwengu usio na huruma?
🤣🙌Analeta sentensi za kujidekeza kwenye ulimwengu usio na huruma?
Kwaiyo ajiforce?
😊Ndîo maana kûna Hako kadada kanaleta Hisia kwèñye Fact Kindness Grateful
Ati kuwa mama tuu unakuwa na uchungu unaleta methali za Kiswahili kwenye ulimwengu wa facts?