PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

Taarifa ya pamoja ya jumuiya hizo iliyosainiwa na Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki, Jumuiya ya Wanasheria ya Zambia, Chama cha Wanasheria Kenya, Jumuiya ya Wanasheria wa Mataifa ya SADC, Chama cha Wanasheria Tanganyika, Chama cha Wanasheria Uganda, Internation Commission of Jurists Kenya na International Commission of Jurists imebainisha kuwa Jumuiya, vyama, mashirika, na wanachama wote waliokuwa chini yao wanalaani vikali suala hilo, kutoka na kile walichokiita uwepo wa wasiwasi mkubwa unaotokana na ukandamizaji wa mikutano ya amani na kukamatwa kwa njama kwa Tundu Lissu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 202

Sambamba na hilo wamesema Lissu ambaye pie amekuwa mtetezi wa masuala ya Haki za Binadamu kwa muda mrefu nchini Tanzania, Mbunge na mwanasiasa mashuhuri amekamatwa kwa nguvu baada ya kuzungumza na umati wa wanachama na wafuasi wa chama chake waliokuwa wamejitokeza katika mkutano wa hadhara wa kawaida huko Mbinga, mkoani Ruvuma, mkutano uliolenga kutoa elimu kuhusu kampeni ya 'No Reforms, No Election' iliyoasisiwa na chama hicho kwa ajili ya kudai mageuzi ya mifumo ya uchaguzi nchini Tanzania

Aidha, taarifa hiyo imeendelea kufafanua kuwa Jeshi la Polisi limeuvunja kwa nguvu mkutano huo huku likitumia nguvu kutawanya wananchi sambamba na kuwapiga mabomu ya machozi raia wasiokuwa na silaha

"Baada ya kupiga mabomu hayo ya machozi walimtaka Mheshimiwa Lissu kuripoti katika Kituo cha Polisi cha wilaya ya Mbinga, lakini hawakutoa sababu yoyote ya agizo hilo, baadaye alilazimishwa kuingia kwenye gari la Polisi bila kuelezwa sababu ya kukamatwa kwake wala mashtaka dhidi yake, jambo ambalo ni kinyume na sheria za Tanzania na mikataba ya kimataifa ambayo nchi ya Tanzania imeridhia"

Wanataaluma hao wa masuala ya sheria wameendelea kufafanua kuwa, baada ya Lissu kukamatwa alishikiliwa bila mawasiliano yoyote kwa karibu saa 24, kwani Jeshi la Polisi nchini Tanzania halikutoa taarifa yoyote kuhusu sehemu alipo
 
Thank You Lord for Giving Us Tundu Lissu
 
Utawala wa sheria unataka mtu akikamatwa apelekwe Mahakamani, sheria imefatwa. Kwa hiyo hawa wana sheria wa nadhani aliyekamatwa ni malaika huwa hatendi makosa ya jinai? Au mahakama ni za wengine tu, Lissu hazimuhusu
 
Satan company
 
GofD0NsWUAAyHl5.jpeg

Aachiliwe TAL huru bila masharti yoyote.

Rhumba liendelee:

Gmvy_y4XsAAn4lO.jpeg
 
LAKINI HAWAJALANI ILE KAULI ALIYOITOA AKITAMKA NENO UASI?
HAWA NAO NDO WALE WALE..INA MAANA WAKIWA VIONGOZI WA NCH ZAO WATARUHUSU UASI?

NB: mimi huwa siamini demokrasia isiyokuwa na viashiria vya maendeleo.
 
Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

Taarifa ya pamoja ya jumuiya hizo iliyosainiwa na Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki, Jumuiya ya Wanasheria ya Zambia, Chama cha Wanasheria Kenya, Jumuiya ya Wanasheria wa Mataifa ya SADC, Chama cha Wanasheria Tanganyika, Chama cha Wanasheria Uganda, Internation Commission of Jurists Kenya na International Commission of Jurists imebainisha kuwa Jumuiya, vyama, mashirika, na wanachama wote waliokuwa chini yao wanalaani vikali suala hilo, kutoka na kile walichokiita uwepo wa wasiwasi mkubwa unaotokana na ukandamizaji wa mikutano ya amani na kukamatwa kwa njama kwa Tundu Lissu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 202

Sambamba na hilo wamesema Lissu ambaye pie amekuwa mtetezi wa masuala ya Haki za Binadamu kwa muda mrefu nchini Tanzania, Mbunge na mwanasiasa mashuhuri amekamatwa kwa nguvu baada ya kuzungumza na umati wa wanachama na wafuasi wa chama chake waliokuwa wamejitokeza katika mkutano wa hadhara wa kawaida huko Mbinga, mkoani Ruvuma, mkutano uliolenga kutoa elimu kuhusu kampeni ya 'No Reforms, No Election' iliyoasisiwa na chama hicho kwa ajili ya kudai mageuzi ya mifumo ya uchaguzi nchini Tanzania

Aidha, taarifa hiyo imeendelea kufafanua kuwa Jeshi la Polisi limeuvunja kwa nguvu mkutano huo huku likitumia nguvu kutawanya wananchi sambamba na kuwapiga mabomu ya machozi raia wasiokuwa na silaha

"Baada ya kupiga mabomu hayo ya machozi walimtaka Mheshimiwa Lissu kuripoti katika Kituo cha Polisi cha wilaya ya Mbinga, lakini hawakutoa sababu yoyote ya agizo hilo, baadaye alilazimishwa kuingia kwenye gari la Polisi bila kuelezwa sababu ya kukamatwa kwake wala mashtaka dhidi yake, jambo ambalo ni kinyume na sheria za Tanzania na mikataba ya kimataifa ambayo nchi ya Tanzania imeridhia"

Wanataaluma hao wa masuala ya sheria wameendelea kufafanua kuwa, baada ya Lissu kukamatwa alishikiliwa bila mawasiliano yoyote kwa karibu saa 24, kwani Jeshi la Polisi nchini Tanzania halikutoa taarifa yoyote kuhusu sehemu alipo
Waambie wasituingilie mbona sisi hatuwaingilii mambo yao
 
Utawala wa sheria unataka mtu akikamatwa apelekwe Mahakamani, sheria imefatwa. Kwa hiyo hawa wana sheria wa nadhani aliyekamatwa ni malaika huwa hatendi makosa ya jinai? Au mahakama ni za wengine tu, Lissu hazimuhusu
Logical truth= comformity between what is in your mind and what you speak or write.

Aisee kama vinakinzana hivi(no comformity) nikuikatili vibaya nafsi na akili yako mwenyewe😁

The object of the mind is truth always 🤣
 
Back
Top Bottom