PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ngoma inogile inabamba, asije mtu akachanika missmba
 
Tumepata mwanamke dikteta Kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru!

Nina waonea huruma wananchi wa Taifa la Namibia
 
Yaan watu wa nje ya nchi wanaona huo uovu ulivyotendeka lkn bado baadhi wanatetea alafu wao ni wa tz
Ukoloni na utumwa kwa Afrika vilipata nguvu kwa waafrika kuwasaliti waafrika wenzao, tena kwa vizawadi vya hovyo kama shanga. Watu weusi tu tatizo
 
Hao wote ni municipal lawyers, hakuna international lawyers. Wana practice ndani ya mipaka ya nchi yao.
 
Haha Ila Chadema kwa mikwara haha

Hayo Matamko yametolewa sana kwa Kagame ila mpaka leo anadunda

Chadema ilidai ni nguvu ya Umma .. Huo Umma mnaoringia mbona unaendelea na Mambo yake?
 
Back
Top Bottom