Acheni kutunga muendage shule mjue kazi na mipaka ya mahakama hiyo
hata mimi leo kutwa nimewaza sana hali hii inavutia magaidi na wale jirani zetu walafi wanaotamani kinuke waingie kwa urahisiHuu mpasuko utazalisha mabaya mengi sahv hata magaidi yatapenya nawaza tu
Tatizo wanaomshauri wana muaminisha she doesnt need them. In no time ushawish wake utapotea kabisa,m sababu ya huo ukimyaHaya mambo bi mkubwa angewaita pande zote za siasa, majaji wastaafu na viongozi wa dini kama alivyoeleza jaji warioba wakaa na kuyazungumza, huko tunakoenda hali ikiwa hivi mambo yataharibika kabisa
Maza anashauriwa na waovuhata mimi leo kutwa nimewaza sana hali hii inavutia magaidi na wale jirani zetu walafi wanaotamani kinuke waingie kwa urahisi
MSimuingize mungu kwenye ujinga wenu ,mahakama ile haina mamlaka na haitothubutu kugusa hili swala la kisiasa na lipo mahakamani acheni kufanywa kama mazombiSafi sana, tundu lissu ni shujaa wa Tanzania, mzalendo wa kweli! Wananchi tupo nyuma yake asiogope! Atakayetaka kushindana naye ajue anashindana Mungu mwenyewe
UWT nyie endeleeni kukata viuno, kunywa pombe, nyama na ngonoMuwaambie kuwa ameenda kinyume na katiba ya nchi na wala wao siyo mahakama ya Tanzania,kuendendelea kuongelea mambo yasiyowahusu ni kuthibitisha kuwa wao ndo walimtuma.
Muwaambie kuwa hata wafanyeje hatumwachii,hadi mahakama za Tanzania zitakapo amua hiyo kesi yake
Inafanyaje tuelekeze wewe unayejuaFake 100% icj haifanyi kazi namna hiyo ndugu zangu
Kwanza mhakama ya kimataifa haijatoa taarifa yoyote na hiyo siyo kazi yake mleta post na wanaomwamini wote mazombi tu ndio uone akili za watanzania wengi zilivyo hovyoMuwaambie kuwa ameenda kinyume na katiba ya nchi na wala wao siyo mahakama ya Tanzania,kuendendelea kuongelea mambo yasiyowahusu ni kuthibitisha kuwa wao ndo walimtuma.
Muwaambie kuwa hata wafanyeje hatumwachii,hadi mahakama za Tanzania zitakapo amua hiyo kesi yake
Humuachii wewe kenge ni naniMuwaambie kuwa ameenda kinyume na katiba ya nchi na wala wao siyo mahakama ya Tanzania,kuendendelea kuongelea mambo yasiyowahusu ni kuthibitisha kuwa wao ndo walimtuma.
Muwaambie kuwa hata wafanyeje hatumwachii,hadi mahakama za Tanzania zitakapo amua hiyo kesi yake
Nenda kasome kazi zake, na ile ni mahakama hairuhusiwi kuingilia kazi ya mahakama nyingineInafanyaje tuelekeze wewe unayejua
Nakumbuka jinsi Asad wa Syria alivyowatesa wapinzani wake kwa kuwatia gerezani, kuwachinja na kuwaua. Ni roho za ajabu sanaDini ya mama ni moja ya dini zenye kupenda vurugu, ukatili na kulipiza Visasi a.k.a. JIHAD.
toka nyuma ya kibodi uende kujitoa muhangaSafi sana, tundu lissu ni shujaa wa Tanzania, mzalendo wa kweli! Wananchi tupo nyuma yake asiogope! Atakayetaka kushindana naye ajue anashindana Mungu mwenyewe
Kwenda zako hukoSafi sana, tundu lissu ni shujaa wa Tanzania, mzalendo wa kweli! Wananchi tupo nyuma yake asiogope! Atakayetaka kushindana naye ajue anashindana Mungu mwenyewe
Acheni kushabikia na kuongeza chumvi hawa kina lissu na wenzake regime iliyopita si walikimbia nchi? Walimkimbia mama samia?Nakumbuka jinsi Asad wa Syria alivyowatesa wapinzani wake kwa kuwatia gerezani, kuwachinja na kuwaua. Ni roho za ajabu sana