PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aisee,
Aione ostadh ubwabwa Mzinge..
Hakuna kitu hapo fake news nendeni shule mkajue kazi ya mahakama hiyo ,mnajitungia vitu halafu mnashangilia
 
Tatizo wanaomshauri wana muaminisha she doesnt need them. In no time ushawish wake utapotea kabisa,m sababu ya huo ukimya
Hawa washauri wa mother wakina mulio na kingai hawakosi, wanamwambia we tuachie mchezo tuwashughulikie bila kujua wanamwaribia mama wa watu, naye bila kutafakari anaua imani yake kwa wananchi unamsikia anasema ety kuna watu wanataka kuharibu amani, hii nchi hii
 
Acheni kushabikia na kuongeza chumvi hawa kina lissu na wenzake regime iliyopita si walikimbia nchi? Walimkimbia mama samia?
Sasa hivi wamerudi na wanarndelea na siasa zao hapa nchini, hapo bado samia mbaya eti?
Roho mbaya ya Samia ukiichanganya na uislamu wake anakuwa hatari zaidi ya jiwe.
 
Muwaambie kuwa ameenda kinyume na katiba ya nchi na wala wao siyo mahakama ya Tanzania,kuendendelea kuongelea mambo yasiyowahusu ni kuthibitisha kuwa wao ndo walimtuma.
Muwaambie kuwa hata wafanyeje hatumwachii,hadi mahakama za Tanzania zitakapo amua hiyo kesi yake
acha ujinga wewe
 
Bibi chura naye aje kupelekwa huko
 

Attachments

  • Screenshot_20250504_182754_Chrome.jpg
    Screenshot_20250504_182754_Chrome.jpg
    431.3 KB · Views: 17
Lakini pia huwezi mbalagaza mwanasheria machachari kama Lisu, ambaye ni mwanachama wa vyama vingi vya wanasheria ukahisi uko salama, nadhani ni wakati sahihi bi mkubwa kuangalia ni namna gani anaweza yamaliza haya
 
Roho mbaya ya Samia ukiichanganya na uislamu wake anakuwa hatari zaidi ya jiwe.
angekuwa na roho mbaya hawa kina lissu na lema wasingerudi ila wanajua kama samia ni mtu wa haki ndio maana wanarndelea na siasa zao za maji taka
Acheni kugeuzwa mitaji ya kisiasa na hawa watu wa vurugu huku wao familia zao zipo nje ya nchi
 
You know what? Dini ya mama ni moja ya dini zenye kupenda vurugu, ukatili na kulipiza Visasi a.k.a. JIHAD.
Angalia nchi karibu zote duniani zenye misuko suko ya Kisiasa na Utawala usio bora ni za KIISLAMU. Tafakari!!
Kwa bongo ni kiburi tu na uanamke wa huyu mama unamfanya asijue ashike lipi aache lipi amsikilize nani na nani asimsikilize,sometimes anatamani atende tofauti na yanayotokea tatizo jinsia yake haikupewa uwezo wa kujisimamia so wale anaowauliza afanyeje (wanaume) ndiyo wanaomloweka kwenye acid kali ya uovu!

Hizo nchi zinatawaliwa kwa misingi ya kidini ndiyo maana hayo yanatokea Tanzania hatuna serikali ya dini haya ni madhaifu ya raisi mwanamke
 
angekuwa na roho mbaya hawa kina lissu na lema wasingerudi ila wanajua kama samia ni mtu wa haki ndio maana wanarndelea na siasa zao za maji taka
Acheni kugeuzwa mitaji ya kisiasa na hawa watu wa vurugu huku wao familia zao zipo nje ya nchi
Wanafanya siasa za kukukomboa wewe mpumbavu na future ya watoto wako..... Hizo fujo unazosema walizifanyia wapi??
 
angekuwa na roho mbaya hawa kina lissu na lema wasingerudi ila wanajua kama samia ni mtu wa haki ndio maana wanarndelea na siasa zao za maji taka
Acheni kugeuzwa mitaji ya kisiasa na hawa watu wa vurugu huku wao familia zao zipo nje ya nchi
Kudai mabadiliko ya kikatiba ya tume ya uchaguzi ni siasa za maji taka? 2024 watu wameuawa, watu wamepita bila kupingwa, Yaani kwa akili yako hizo ndiyo siasa safi, mimi mwenyewe nipo upande wa mama but katika hili hapana, lazima tuheshimuane tufanye siasa zinazokubalika tupate kiongozi aliyechaguliwa kihalali
 
Haki inaongelewa mdomoni tu kama ilivyo kwenye nchi zote za kiislam lkn ukandamizaji, mauaji na ugaidi vimetamalaki miongoni mwao.
Huyu jamaa yetu anataka teuzi hadi huku jf, si kwa kujitoa ufahamu huko, na hapa kazi ipo kwelikweli
 
Huu sio wakati wa kuwapiga mikwara CCM huu ni wakati wa kuact, maana wameshaua na kuumiza sana watu, tunapaswa kukusanya ushahidi na kuuweka pamoja.

Angalizo: tunapaswa pia kutozitegemea sana hizi taasisi, baadala yake Watanzania wenyewe tuamke sasa kuidai haki.
Hizi taasisi zipo chini ya Mataifa makubwa ambayo wakati mwingine yako serious na natural resources zetu zaidi, katika hili CCM wako tayari kutoa hata bahari yote ichimbwe gas kwa assurance ya wao kutoguswa.
 
Acheni kutunga muendage shule mjue kazi na mipaka ya mahakama hiyo
Haya soma kupitia hii link labda ndio utaamini. Ungeenda shule ungejaribu hata kufanya Google search kabla ya kuja na hoja yako.

 
Haya soma kupitia hii link labda ndio utaamini. Ungeenda shule ungejaribu hata kufanya Google search kabla ya kuja na hoja yako.

Hii siyo mahakama ya kimataifa mzee hii ni international coomission of jurists ni taasisi ya wanasheria na majaji inayojihusisha na maswala ya haki za binaadamu siyo mahakama ile unayoisikia ya kimataifa ya uhalifu ,unaona sasa mnachanganya mambo
 
Back
Top Bottom